Ziwa Tanganyika lililopo nchini Tanzania, linakabiliwa na kitisho cha kukauka maji yake kutokana na sababu mbalimbali. Maji yake hutumiwa na si tu Tanzania, bali hata nchi jirani, hivyo kuathiri pia hata nchi hizo. Ni kwa kiasi gani na ni kwa namna gani ziwa hilo limeathirika. Sikiliza makala haya ya Mtu na mazingira.