1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.11.2024: Taarifa ya Habari ya Asubuhi

V2 / S12S12 Novemba 2024

Asubuhi ya leo kuna mengi yanayogonga vichwa vya habari, na miiongoni mwa taarifa hizo ni: Rais mteule wa Marekani Donald Trump amteua Mike Waltz kuwa mshauri wa masuala ya usalama wa taifa: Korea Kaskazini yaidhinisha mkataba wa kihistoria wa kushirikiana kiulinzi na Urusi Na Rais wa Shirikisho la Ujerumani Frank-Walter Steinmeier aahirisha safari za Saudia Arabia kushughulikia mzozo wa kisiasa.

https://p.dw.com/p/4mtsm
Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki

Zaidi kutoka kipindi hiki

Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Symbolbild Weltwirtschaft Global Economy Globalisierung
Picha: Kheng Ho Toh/PantherMedia/imago imagesPicha: Kheng Ho Toh/PantherMedia/imago images

Asubuhi: Taarifa ya Habari, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

Pata Taarifa ya Habari ya Asubuhi, saa 12:00 (Afrika Mashariki)