Maelfu ya raia wa Syria washerehekea kuondolewa madarakani kwa rais wa zamani wa nchi hiyo Bashar al-Assad, Urusi yafanya mashambulizi makubwa ya anga dhidi ya Ukraine na kikosi cha wanamgambo cha RSF nchini Sudan chashambulia hospitali kuu katika mji wa al-Fashir