Waombolezaji wameendelea kuweka maua kwa wingi, mishumaa na wanasesere au midoli, mbele ya kanisa la Johanneskirche, katika mji wa Magdeburg+++Juhudi za kusaka suluhisho kwa mgorogoro nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo zinaonekana kugubikwa na mkwamo kufuatia matamshi ya rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi kwamba katu hawezi kuzungumza na waasi wa M23