Jeshi la kongo FARDC limetangaza kuwakamata askari wa kikosi maalum kutoka jeshi la Rwanda wakati wa mapigano huko wilayani Lubero mkoani kivu kaskazini+++Wabunge wa Korea Kusini wamepiga kura ya kumuondoa madarakani kaimu rais wa taifa hilo Han Duck Soo, ikiwa ni chini ya wiki mbili baada ya Yoon Suk Yeol kusimamishwa kazi