You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Matangazo
App
Ruka sehemu inayofuata Habari
Habari
10.11.2024
10 Novemba 2024
Droni 62 kati ya 45 za Urusi zadunguliwa Ukraine
Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi
Ripoti na Uchambuzi
Qatar yajiondowa upatanishi vita vya Gaza
Qatar yajiondowa upatanishi vita vya Gaza
Qatar imejiondowa kwenye upatanishi wa kusaka makubaliano ya kusitisha vita vya Gaza na kuachiliwa kwa mateka.
Waasi wauwa 26 Baluchistan
Waasi wauwa 26 Baluchistan
Mashambulizi ya bomu yaliyofanywa na kundi linalopigania kujitenga nchini Pakistan yameuwa watu 26.
Makala ya Afrika Wiki Hii
Makala ya Afrika Wiki Hii
Amina Abubakar ana mengi katika Makala ya Afrika Wiki hii, ikiwemo kile kinachoendelea Marekani, Donald J Trump kurejea tena madarani kama rais wa 47 wa taifa hilo. Je ushindi wake una maana gani kwa Bara la Afrika? Nchini Msumbiji ghasia za baada ya uchaguzi zashuhudiwa na Kongo na Rwanda zathibitisha haja ya kuheshimu usitishaji mapigano mashariki mwa Kongo.
Viongozi wa Ulaya waahidi mageuzi ya kiuchumi
Viongozi wa Ulaya waahidi mageuzi ya kiuchumi
Viongozi wa Umoja wa Ulaya waliokutana Budapest, Hungary wameahidi kuufanyia mageuzi ya haraka uchumi wa kanda hiyo.
Raia ni 70% ya waliouawa Gaza - Umoja wa Mataifa
Raia ni 70% ya waliouawa Gaza - Umoja wa Mataifa
Umoja wa Mataifa unasema takribani 70% ya waliouawa kwenye vita vya Gaza ni wanawake na watoto.
Zelensky adai wanajeshi 11,000 wa Korea Kaskazini wako Kursk
Zelensky adai wanajeshi 11,000 wa Korea Kaskazini wako Kursk
Zelensky amedai wanajeshi 11,000 wa Korea Kaskazini wamewasili katika mpaka wa nchi yake na Urusi kwenye eneo la Kursk.
Onesha zaidi
Matangazo
Ruka sehemu inayofuata Yenye kuangaziwa
Yenye kuangaziwa
Demokrasia yashuka ulimwenguni - IDEA International
Idadi ya wapigakura inazidi kushuka na matokeo ya chaguzi yanazidi kutiliwa mashaka katika nchi mbalimbali ulimwenguni.
Hofu yatanda kufuatia mlipuko mpya wa homa ya nyani
Miaka miwili tangu mlipuko wa mpox, sasa hofu imetandaugonjwa huo naweza kuenea zaidi nchi jirani na Kongo.
Shinikizo la Biden kutowania tena urais laongezeka
Shinikizo la kumtaka Joe Biden asiwanie muhula wa pili wa urais nchini Marekani limeongezeka.
Mashaka juu ya hali ya kiafya ya Rais Joe Biden
Baadhi ya viongozi wa chama cha Democrat wametilia shaka uwezo wa Rais Joe Biden kuongoza kampeni za urais.
Je, maandamano ya Kenya yamepoteza dira?
Maandamano ya vijana maarufu kama Gen Z yameingiliwa na wahalifu wanaodaiwa kufadhiliwa na wanasiasa.
Muelekeo mpya wa waasi wa M23 utawafikisha wapi?
Mwishoni mwa wiki, waasi wa M23 walichukua udhibiti wa miji ya Kanyabayonga na Kirumba.
Maudhui yote (6368) kwenye mada hii