You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Picha: DW
Bakari Ubena
Mhariri na mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya DW
Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Bakari Ubena
Taarifa zilizoonesha na Bakari Ubena
Uchimbaji madini haramu ni tishio kwa mustakabali wa Afrika
Uchimbaji madini haramu unaendelea kudhoofisha uwezo wa kilimo na kuhatarisha afya ya umma.
Je, NATO inapaswa kudungua droni za Urusi?
Lakini NATO inalipinga pendekezo hilo, ikisema kuwa linaiweka kwenye hatari ya muungano huo kuwa sehemu ya mzozo huo.
Ulaya na ukaguzi wa muda wa mipakani kukabili wahamiaji
Sheria za Schengen zinaruhusu nchi wanachama kuanzisha ukaguzi wa mipakani ili kuepusha tishio la usalama wa ndani.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Bakari Ubena
Taarifa na Bakari Ubena
Mwangaza wa Ulaya: Athari za utalii uliokithiri Barcelona
Mwangaza wa Ulaya: Athari za utalii uliokithiri Barcelona
Jiji la Uhispania la Barcelona ni lenye historia ya kipekee, hali ya hewa ya joto na fukwe za kupendeza. Lakini sifa zote hizi zimeifanya Barcelona kuwa kivutio kwa mamia ya maelfu ya wageni na hivyo kuathirika na viwango vya juu vya utalii. Idadi ya watalii wanaoutembelea mji huo inazidi kuongezeka na hivyo kuchochea hasira miongoni mwa wenyeji wanaolalamika kwamba mambo mengi yamebadilika.
23.10.2024: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
23.10.2024: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Israel imethibitisha kumuua kiongozi wa Hezbollah aliyetazamiwa kuchukua nafasi ya Hassan Nasrallah. Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya BRICS inaingia katika siku yake ya pili hivi leo huko Kazan, nchini Urusi. Watu 11 wafariki nchini Uganda baada ya lori la mafuta kupata ajali na kuripuka.
Mkutano wa BRICS: Putin akutana na viongozi mbalimbali
Mkutano wa BRICS: Putin akutana na viongozi mbalimbali
Urusi yausifu mkutano huo kuwa tukio kubwa zaidi kuwahi kuandaliwa na Moscow.
Israel yathibitisha kumuua aliyetazamiwa kumrithi Nasrallah
Israel yathibitisha kumuua aliyetazamiwa kumrithi Nasrallah
Taarifa hiyo imesema Safieddine aliuawa wiki tatu zilizopita kufuatia shambulio katika vitongoji vya Beirut.
Watu 11 wafariki Uganda baada ya lori la mafuta kulipuka
Watu 11 wafariki Uganda baada ya lori la mafuta kulipuka
Taarifa ya Polisi imeongeza kuwa baadhi ya miili iliharibiwa na moto kiasi cha kutotambulika.
UN yatahadharisha kuhusu hali mbaya nchini Haiti
UN yatahadharisha kuhusu hali mbaya nchini Haiti
Afisa huyo amesema ghasia hizo zinaongezeka licha ya kutumwa kwa kikosi cha kimataifa.
Onesha taarifa zaidi
Nenda ukurasa wa mwanzo