Kimbunga Chido kilisababisha maafa makubwa na uharibifu katika mataifa mbalimbali. Mabadiliko katika uongozi wa jeshi nchini DRC yaliyofanywa na rais Tshisekedi yazusha mjadala. Tanzania na Somalia zatia saini mkataba wa ushirikiano. Kauli za mtoto wa rais wa Uganda na Mkuu wa majeshi wa nchi hiyo Jenerali Muhoozi Kainerugaba yaendelea kuzusha hali ya sintofahamu.