1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dawa za sindano zinaweza kuleta unafuu kwa wanaoishi na HIV

2 Desemba 2024

Nchini Afrika Kusini dawa mpya za kuzuwia maambukizi ya HIV huenda zikaleta mabadiliko kwa wanaoishi na HIV na kutoa matumaini pamoja na kuyalinda makundi hatarishi kama wanawake na jamii ya watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja, LGBTQ.

https://p.dw.com/p/4nfCJ