1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dorice: Nafurahia kazi yangu ya kuhudumu chumba cha maiti

21 Agosti 2024

Unaweza kujivunia kazi yako kwa kiasi gani? Hebu mtazame Dorice mwanamke anaefanyakazi katika chumba cha kuhifadhi maiti katika hospitali ya rufaa ya Temeke jijini Dar es salaam, anasema fursa zipo wanawake wajitokeze kwenye kada hiyo. Bonyeza utazame.

https://p.dw.com/p/4jkrf
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kenia Mombasa Ummi mit Kollegen bei blood festivals
Picha: Fathiya Bayusuf/DWPicha: Fathiya Bayusuf/DW

Kurunzi Wanawake

Vidio ya habari na matukio