1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Fahamu mfumo wa kisasa wa uzalishaji samaki

20 Septemba 2024

Farida Buzohela Mtanzania anayefuga samaki kwa njia ya kisasa ya upandikizaji kupitia mfumo wa IPRS. Farida anawashauri wavuvi kuanza kufikiria njia za kisasa za ufugaji samaki wakati huu dunia inatingwa na changamoto za mabadiliko ya tabia nchi kupanda kwa joto baharini na maziwani na kupungua kwa samaki kutokana na joto kali.

https://p.dw.com/p/4kuRE