You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Yakub Talib
Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Yakub Talib
Taarifa na Yakub Talib
Polisi Tanzania wamkamata Freeman Mbowe
Polisi Tanzania wamkamata Freeman Mbowe
Mwenyekiti wa cha upinzania nchini Tanzania Chadema Freeman Mbowe amekamatwa na polisi na taarifa zinasema pia makamu mwenyekiti Tundu Lissu pia naye amekamatwa.
Fahamu mfumo wa kisasa wa uzalishaji samaki
Fahamu mfumo wa kisasa wa uzalishaji samaki
Farida Buzohela Mtanzania anayefuga samaki kwa njia ya kisasa ya upandikizaji kupitia mfumo wa IPRS. Farida anawashauri wavuvi kuanza kufikiria njia za kisasa za ufugaji samaki wakati huu dunia inatingwa na changamoto za mabadiliko ya tabia nchi kupanda kwa joto baharini na maziwani na kupungua kwa samaki kutokana na joto kali.
Ongezeko la maji Ziwa Tanganyika laathiri biashara Kigoma
Ongezeko la maji Ziwa Tanganyika laathiri biashara Kigoma
Baadhi ya wakazi wa eneo hilo wamehama na waliobaki wanaishi kwa hofu kwa kuwa maji bado yanaongezeka.
Ni vipi uvuvi na uchakataji dagaa unanawiri Kigoma?
Ni vipi uvuvi na uchakataji dagaa unanawiri Kigoma?
Uchumi wa buluu husaidia kundi kubwa la wanawake kiuchumi. Nchini Tanzania, licha ya hofu ya mabadiliko ya tabia nchi na majanga yake, wanawake kutoka Kigoma wanapiga hatua kujijenga kiuchumi kutokana mazao ya baharini ikiwemo dagaa.
Sanaa ya grafiti inavyobadili jiji la Dar es salaam
Sanaa ya grafiti inavyobadili jiji la Dar es salaam
Ni kama vile msanii Mawila Khamsini amefungua lango la aina mpya ya sanaa yenye kutuma ujumbe moja kwa moja kwa hadhira kupitia kuta za majengo ya mitaa ya jiji la Dar es salaam nchini Tanzania, huku akibadili mandhari ya mitaa hasa ile ambayo ni duni. Namna sanaa hii inavyofikia jamii tazama video hii.
Msanii aliyejitosa kutetea haki za Maalbino
Msanii aliyejitosa kutetea haki za Maalbino
Mutalemwa Jason kwa jina la kisanii Mc Nash kutokea Tanzania ni msanii wa muziki wa kufokafoka au Hip Hop. Ametumia jukwaa hilo kuchangia mageuzi ya jamii yake. Nash anapambana kuzima vitendo vya ukatili, mauaji na utekaji nchini Tanzania. #kurunzi
Onesha taarifa zaidi
Nenda ukurasa wa mwanzo