Fahamu namna ambavyo mionzi dawa inavyotengenezwa TanzaniaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoTatu Yahaya10.06.202410 Juni 2024Cyclotron Kiube ni aina Mionzi dawa ambayo hutumika katika uchunguzi wa awali wa saratani kwa kupiga picha kwa kutumia PET-CT Scan ili kujua hatua ya saratani na kumsadia mtaalamu kujua ni aina gani ya dawa ambayo itakua na msaada kwa mgonjwa.https://p.dw.com/p/4gsV8Matangazo