1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ya kisiasa Burundi kuelekea uchaguzi mkuu 2020

15 Novemba 2019

Maoni inathmini hali ya kisiasa, Burundi wakati taifa hilo likielekea katika uchaguzi mkuu 2020. Hali huko kwa jicho la ujumbe wa kimataifa sio nzuri ambapo hivi karibuni mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu nchi hiyo Michel Kafando alitangaza kujiuzulu akiweka wazi kuwa ana mashaka ikiwa uchaguzi utafanyika kwa njia ya uwazi na huru. Saumu Mwasimba anayachambua yote hayo katika kipindi hiki.

https://p.dw.com/p/3T6bO