1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, umeyatimiza malengo yako ya mwaka 2024?

17 Desemba 2024

Hong’era kwa wote waliokamilisha malengo au baadhi ya malengo yaliyowaweka mwaka huu. Zimesalia takriban siku 14 kwa mwaka 2024 kukamilika. Je, umefanikiwa kwa kiasi gani kutimiza malengo na maazimio uliyoyaweka mwaka huu?

https://p.dw.com/p/4oH14