Naibu Rais wa Kenya William Ruto amesema hatishwi na watu wenye ushawishi mkubwa wa kuamua ni nani atakuwa Rais ifikapo mwaka 2022. Amesisitiza azma yake ya kuingia Ikulu bado ingalipo. DW imezungumza na mchambuzi wa siasa za Kenya Martin Oloo juu ya hilo.