Katika matangazo yetu leo jioni: Viongozi wa upinzani wailaumu serikali ya Uturuki kwa kudhoofisha demokrasia. Duru za usalama nchini Misri zimearifu kuwa aliyewashambulia na kuwauwa watalii wawili wa Kijerumani katika hoteli ya kitalii chini Misri ni mfuasi wa IS. Mkurugenzi wa shirika la habari la taifa la Sudan Kusini akamatwa