You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani
Picha: DW
Zainab Aziz
Mhariri na mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya DW
Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Zainab Aziz
Taarifa zilizoonesha na Zainab Aziz
Vita Gaza ni mtaji wa kisiasa kwa watalawala wa kiimla?
Vita vya Gaza vimegeuka kuwa mtaji wa kisiasa kwa watawala wa kiimla katika eneo la Mashariki ya Kati.
Vijana waanguasha utawala wa miaka 15 Bangladesh
Aliekuwa Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina alisalimu amri baada ya waandamanaji kumtaka ajiuzulu.
Je mafanikio ya Biden yanaweza kumfaidisha Kamala Harris?
Utawala wa Biden umeweza kuiondoa Marekani kutoka kwenye mdororo wa kiuchumi na kupunguza kiwango cha ukosefu wa ajira.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Zainab Aziz
Taarifa na Zainab Aziz
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Yaliyozingatiwa kwenye magazeti ya Ujerumani juu ya Afrika wiki hii ni pamoja na mzozo uliozuka kati ya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya Kongo kukusudia kuwachukua wanyarwanda sita waliokuwa na hatia ya mauaji ya kimbari baada ya kutumikia vifungo jela. Jumuiya ya kimataifa inageukia kwingine wakati vita vinaendelea nchini Sudan. Mtayarishaji Zainab Aziz.
Kiongozi wa chama cha CDU, Friedrich Merz, kugombea ukansela
Kiongozi wa chama cha CDU, Friedrich Merz, kugombea ukansela
CDU na CSU zasema lengo lao kuu ni kuiondoa madarakani serikali iliyopo na kuirejesha Ujerumani mahala pazuri
Israeli yaongeza masharti katika vita vya Gaza
Israeli yaongeza masharti katika vita vya Gaza
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kulijadili tamko la kuitaka Israel ikomeshe ukaliaji wake katika maeneo ya wapalestina.
Matangazo ya Jioni: 15.09.2024
Matangazo ya Jioni: 15.09.2024
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesisitiza kuwa nchi yake haitapeleka makombora ya masafa marefu aina ya Taurus nchini Ukraine. Netanyahu aapa kulipiza kisasi kwa Wahouthi baada ya shambulio la Kombora kuilenga Israel. Watu kadhaa wamekufa kutokana na mafuriko Ulaya ya kati
Matangazo ya Mchana: 15.09.2024
Matangazo ya Mchana: 15.09.2024
Jeshi la Israel lasema limefanikiwa kuzuia kombora la masafa marefu lililorushwa kuelekea mji wa Tel Aviv likitokea Yemen Jumapili asubuhi. Urusi na Ukraine zashambuliana kwa droni usiku kucha. Watu 18 wameuwawa katika shambulio la kigaidi nchini Somalia
Mashambulizi ya wanamgambo yanaongezeka Pakistan
Mashambulizi ya wanamgambo yanaongezeka Pakistan
Mamia ya watu wamepoteza maisha nchini Pakistan mnamo mwezi Agosti katika wakati ambapo mashambulizi yameongezeka.
Onesha taarifa zaidi
Nenda ukurasa wa mwanzo