Katika matangazo yetu leo mchana: Baraza la seneti nchini Poland lapitisha sheria itakayoipa serikali uwezo wa kushawishi mahakama kuu nchini humo. Ujerumani yahimiza urafiki baina ya raia wake na Waturuki walio ndani ya nchi hii. Rais wa mamlaka ya Palestina Mahmoud Abbas akatisha mawasiliano rasmi na Israel