1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mazingira: Ziwa Turkana lafurika

Michael Kwena (HON)2 Oktoba 2024

Ziwa Turkana, ambalo limekuwa sehemu muhimu ya maisha ya jamii za watu wa kaskazini mwa Kenya limekuwa likifurika mara kwa mara kutokana na mabadiliko ya tabianchi na kusababisha hasara badala ya manufaa kwa umma. Michael Kwena anasimulia majaliwa ya ziwa hilo muhimu.

https://p.dw.com/p/4lLRt
Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Makala zetu