1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msichana anayeelimisha jamii kuhusu ukatili dhidi ya watoto

13 Septemba 2024

Kutokana na ongezeko la ukatili unaondelea katika jamii Dolice amemua kutoa elimu ya kujikinga na ukatili kwa watoto hasa walio shuleni pamoja na vijana vyuoni. Licha ya kuamua kuitoa elimu hii kwa jamii lakini bado kuna baadhi ambao ameshindwa kuwafikia kutokana na changamoto za umbali pamoja na kifedha lakini imani yake ni kuwa elim hii itakuwa na manufaa kwa jamii nzima. #MsichanaJasiri

https://p.dw.com/p/4kaov