1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 01.07.2024

V2 / S12S1 Julai 2024

Muhtasari: Chama cha mrengo wa kulia nchini Ufaransa chashinda duru ya kwanza ya uchaguzi wa bunge, kulingana na matokeo ya awali. Rais wa Kenya William Ruto amesema hapaswi kulaumiwa kwa vifo vya watu vilivyotokea kwenye maandamano ya kuipinga serikali yake. Israel yasema wanajeshi wake 18 wamejeruhiwa katika shambulio la Hezbollah.

https://p.dw.com/p/4hhvw
Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki

Zaidi kutoka kipindi hiki

Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Symbolbild Weltwirtschaft Global Economy Globalisierung
Picha: Kheng Ho Toh/PantherMedia/imago imagesPicha: Kheng Ho Toh/PantherMedia/imago images

Asubuhi: Taarifa ya Habari, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

Pata Taarifa ya Habari ya Asubuhi, saa 12:00 (Afrika Mashariki)