Muhtasari wa Habari: Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lapitisha azimio la kulaani mashambulizi ya waasi wa Kihuthi katika bahari ya Shamu // Wanamgambo wa Al-Shabaab nchini Somalia, waikamata helkopita ya Umoja wa Mataifa // Mwanadiplomasia mkuu wa Marekani Antony Blinken afanya mazungumzo na kiongozi wa Mamlaka ya Palestina.