1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi Tarehe 18.10.2023

V2 / S12S18 Oktoba 2023

Mamia ya watu wahofiwa kufa baada ya hospitali kushambuliwa katika ukanda wa Gaza.// Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupiga kura leo kuhusu azimio la kusitisha mzozo ili kuwezesha misaada kufika Gaza.// Ukraine yathibitisha kutumia makombora ya masafa marefu na kuharibu ndege za Urusi.

https://p.dw.com/p/4XfCu