Kenya inajiandaa kufanya uchaguzi mkuu mnamo Agosti 9, 2022. Joto la kisiasa linaendelea kuongezeka huku wagombea nafasi ya urais, ubunge na ugavana wakizunguka nchi nzima kuwinda kura.