1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUganda

Uganda yakanusha shutma za kuiunga mkono M23

9 Julai 2024

Kundi la wataalamu wa Umoja wa Mataifa limezituhumu Rwanda na Uganda kuwaunga mkono waasi wa M23 wanaoendesha harakati zao mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Amina Abubakar amelijadili hili kwa kina na Kassim Kayira mwandishi Habari na mchambuzi wa masuala ya kisiasa aliyeko Uingereza.

https://p.dw.com/p/4i4V6