JamiiUmeisherehekea vipi sikukuu ya wapendanao?To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiLubega Emmanuel14.02.202414 Februari 2024Haya tuambie leo umeisherehekea vipi siku hii maalumu kwa ajili ya wapendanao? Huko Uganda kila mmoja ana mtizamo wake kuhusiana na siku hii. Tizama kwanza video hii iliyoandaliwa na Lubega Emmanuel, kisha nawe utuambie mtizamo wako.https://p.dw.com/p/4cOwiMatangazo