Waasi waliotaka kuipindua serikali ya Rais Museveni wa Uganda wapewa msamaha na Serikali
10 Julai 2007Matangazo
Hapo awali watu 12 wa kundi hili ya PRA tayari walikuwa wameshapewa msamaha na serikali.
Mwandisho wetu wa Kampala Omar Mutasa amezungumza na Alhaji Burhan Ganyanamiro, kamishna wa tume ya kutoa msamaha kwa waasi wanaojisalimisha. Bw. Ganyanamiro kwanza anaeleza jinsi tume hii inavyofanya kazi.