Rais wa Kenya William Ruto aliondoa muswada wa sheria ya fedha (Kenya Finance Bill 2024) uliokusudiwa kuongeza kodi, akisalimu amri kwa waandamanaji waliovamia bunge.