You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wasichana wa Chibok
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Buhari ataka majibu baada ya uchaguzi
Mpinzani mkuu wa Buhari, Atiku Abubakar adai serikali ndio iko nyuma ya kuahirishwa kwa uchaguzi
Tume ya Uchaguzi Nigeria yakanusha kushawishiwa kisiasa
Wapigakura waonesha kukasirishwa sana na uamuzi wa kuahirishwa kwa uchaguzi masaa matano tu kabla ya kura kupigwa.
Wagombea wataka amani Nigeria baada ya uchaguzi kuahirishwa
Wagombea wakuu katika uchaguzi wa Nigeria uliocheleweshwa kwa wiki moja wahimiza utulivu
Uchaguzi wa Rais Nigeria waahirishwa
Tume ya Uchaguzi ya Nigeria imetaja sababu za matatizo ya kiufundi kuahirisha uchaguzi wa Rais, ubunge na useneta.
Buhari: Uchaguzi utakuwa huru na wa haki.
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amesema serikali yake imejizatiti kuwa uchaguzi wa Jumamosi unakuwa wa huru na haki.
Gavana ashambuliwa siku chache kabla ya uchaguzi Nigeria
Wanigeria watakwenda katika vituo vya kupigia kura kumchagua rais wa Nigeria
Wagombea urais Nigeria waahidi kuyakubali matokeo
Wagombea wawili wakuu wa urais nchini Nigeria wametowa mwito wa kuwepo utulivu wakati wa uchaguzi na kuyabali matokeo.
Ukeketaji ni nini na unafanyika wapi?
Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu watoto UNICEF linasema wasichana na wanawake wanakeketwa katika nchi karibu 30.
Rais Buhari amsimamisha kazi jaji mkuu
Hatua ya Rais Buhari imekuja ikiwa ni wiki chache tu kabla ya kufanyika uchaguzi wa rais
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Tshisekedi ni rais wa kwanza kuingia madarakani baada ya kufanyika mabadiliko ya uongozi kwa njia ya kidemokrasia
Niger: Wanamgambo 280 wa Boko Haram Wauawa
wizara ya Ulinzi nchini Niger imesema zaidi ya wanamgambo 280 wameuawa karibu na mpaka wa Nigeria.
Serikali ya Nigeria yalaumiwa kwa kusababisha vifo
Zaidi ya watu 3500 wameuwawa huku serikali ya Nigeria ikielekezewa lawama kwa kusababisha vifo hivyo.
Vinyago vilivyochukuliwa wakati wa Ukoloni virejeshwe Afrika
Vinyago vilivyochukuliwa wakati wa Ukoloni virejeshwe Afrika
Waasi wa Boko Haram wanatumia ndege zisiondeshwa na marubani
Mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Nigeria yameongezeka huku wanajeshi 39 wakiuawa mwezi huu pekee
Boko Haram yauwa wanajeshi watatu wa Nigeria
Wapiganaji wa kundi la Boko Haram wamewauwa wanajeshi watatu katika shambulio Nigeria
Nigeria: Wakulima wawili wauwawa na Boko Haram
Wapiganaji wa jihadi wamewauwa wakulima wanne karibu na mji wa kaskazini mashariki mwa Nigeria wa Maiduguri
Taarifa ya habari za asubuhi 11.11.2018
Viongozi wa dunia waadhimisha mkataba wa kumaliza WW1 mjini Paris Ufaransa. Maafisa wa nchi kadhaa wasikiliza ukanda wa sauti ya mauaji ya Khashoggi nchini Uturuki. Idadi ya waliouawa katika shambulio la Somalia yaongezeka hadi watu 53.
Nigeria yateua kamanda mpya kupambana na Boko Haram
Kamada wa operesheni dhidi ya Boko Haram nchini Nigeria abadilishwa kwa mara ya tano, huku mashambulizi yakiendelea.
Nigeria: Watu 15 wauwawa na Boko Haram
Kundi la Boko Haram lashambulia vijiji
Kiongozi aliyetoweka wa waasi Nigeria atangaza yuko Israel
Kiongozi aliyetoweka wa waasi nchini Nigeria Nnamdi Kanu anayetaka kuundwa taifa lao la Biafra, atangaza yuko Israel.
Maafisa wa soka Nigeria washitakiwa kwa kutumia fedha vibaya
Maafisa 3 wa soka nchini Nigeria wameshitakiwa kwa kosa la matumizi mabaya ya dola milioni 9.5
Wanajeshi wawili wa Nigeria wameuwawa na wengine kujeruhiwa
Miripuko imetokea Kumshe na Dikwa
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Waziri wa awali Nhlanhla Nene alikiri mbele ya tume ya uchunguzi kwamba aliwahi kuitembelea familia ya Gupta mara kadhaa
Kiongozi wa #BringBackOurGirls kuwania urais Nigeria
Anampa changamoto rais Muhadu Buhari kuhusu ahadi alizotoa wakati wa kampeini ya kuelekea uchaguzi uliompa madaraka
Uchaguzi wa rais nchini Cameroon wakabiliwa na vurugu
Uchunguzi wa maoni waonesha kuwa Biya ana uhakika wa kushinda. Watu milioni saba wa Cameroon wana haki ya kupiga kura.
Nigeria yatangaza kikosi kushiriki Kombe la Mataifa Afrika
Kwa mara nyengine tena nahodha wa timu hiyo John Obi Mikel, hayumo katika kikosi hicho.
App ya kugundua dawa bandia Nigeria
Wasichana watano wa shule ya sekondari nchini Nigeria wamefanikiwa kutengeneza programu ya simu ya mkononi ama App ya kutambua dawa bandia, tatizo ambalo ni sugu nchini humo. Inafanyaje kazi, sikiliza makala haya ya Sema Uvume.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Gazeti la Süddeutsche linasema katika makala yake kwamba watu hao wameahidi maisha mazuri kwa wananchi wote.
Kansela Angela Merkel akamilisha ziara yake barani Afrika
Kansela Angela Merkel akamilisha ziara yake barani Afrika
Utafiti: Migogoro ya kivita yauwa watoto milioni 5 Afrika
Kwa mujibu wa utafiti uliotolewa na wanasayansi, migogoro hiyo iliwanyima nafasi ya kupata matibabu ya kimsingi au maji.
Nigeria: Waandishi wa habari na wanaharakati wakamatwa
Hatua za hivi karibuni za kukamatwa kwa wanaharakati na waandishi wa habari nchini Nigeria zimesababisha wasiwasi.
Ekpo: mwanasiasa wa kwanza wa kike Nigeria
Margaret Ekpo alisaidia kubadilisha sura ya siasa za Nigeria katika kipindi ambacho kilikuwa kinatawaliwa na wanaume.
Nigeria: Watu 13 wamekufa kwa moto baada ya basi lao kuwaka
Polisi yasema ajali ilisababishwa na trekta kuteleza
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Magazeti pia yameandika juu ya kurudi nchini Kongo mwanasiasa Jean Pirre Bemba baada ya miaka 10 nje ya nchi.
Macron aitembelea Nigeria
Aliwahi kuitembelea Ghana mwaka jana na Nigeri yenye uchumi mkubwa Afrika ni kituo chake kingine cha kimkakati.
Tishio la ugaidi laongezeka barani Afrika
Viongozi hao wanaangazia muktadha wa kuongezeka kwa hatari inayotokana na makundi yenye itikadi kali barani mwao.
Watu 9 wamekufa Nigeria kutokana na ajali ya lori la mafuta
Watu 9 wafariki Nigeria katika ajali ya malori la mafuta
Nigeria yailaza Iceland 2-0, Ujerumani kuivaa Sweden
Ujerumani ina kibarua kizito
Nigeria yafufua matumaini yake kombe la dunia
Nigeria yafufua matumaini yake kombe la dunia, Uswisi haikubali kufungwa, na Serbia yasalimu, Brazil kidedea
Nigeria yatandikwa mabao 2-0 na Croatia
Kombe la dunia
Hatuhitaji kuwa na Salah Kikosini - Gernot Rohr
Mchezo mzuri wa Nigeria umewafanya mashabik waanze kufikiria kuhusu ushindi wa Kombe la Dunia.
Shirika la WHO laidhibiti Ebola nchini Congo
Wakati huo shirika la WHO lilikaa miezi kadhaa pasipo kuchukua hatua tangu kisa cha kwanza cha ebola kilipogunduliwa.
AI: Jeshi Nigeria liliwabaka wanawake
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International, limeitaka Nigeria kuyashughulikia madai kwamba wanajeshi na baadhi ya wanamgambo; wamewabaka wanawake na wasichana katika kambi za wakimbizi wa machafuko yanayosababishwa na uasi wa Boko Haram
Kesi ya rushwa dhidi ya kampuni ya Shell na Eni yaanza
Kesi dhidi ya makampuni ya mafuta za Shell na Eni yaanza mjini Milan na Lagos
Mashambulizi pacha yauwa zaidi ya 20 Msikitini Nigeria
Msemaji wa polisi ya Adamawa amesema shambulio hilo lilitokea wakati wa swala na wengi waliuawa wakati wanakimbia.
Wasichana wa "Chibok" watimiza miaka minne
Karibu nusu ya idadi ya wasichana hao wameokolewa huku waliosalia wakiwa hawajulikani waliko, miaka minne baadaye.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Pia magazeti hayo yameandikia kuhusu teknolojia inayowanufaisha akina mama huko nchini Malawi.
UNICEF yasema watoto zaidi ya 1,000 wametekwa nyara
UNICEF yasema watoto zaidi ya 1,000 wametekwa nyara na makundi ya itikadi kali
Mji wa Lagos nchini Nigeria
Lagos ni kati ya miji mikubwa barani Afrika na duniani kwa ujumla. Mji huu uliojaa shughuli mbalimbali ni kitovu cha uchumi nchini Nigeria. Makala ya "Vijana Mubashara 77-Asilimia" inakupeleka katika mji huo kupitia video hii. Tuandamane basi
Boko Haram yawaachia wasichana iliowateka
Kundi hilo halikutaka malipo ya aina yoyote
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 10 wa 20
Ukurasa unaofuatia