You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wasichana wa Chibok
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Ili kuajiriwa, muhimu ni umjuae au unachojua?
Vijana mjini Lagos Nigeria wanazungumzia suala la ajira, je kupata ajira ni sharti uwe unamfahamu mtu aliye katika ngazi ya uongozi au tajriba yako inatosha kukupa kazi?
Vita dhidi ya usafirishaji haramu wa binadamu
Tangu 2015, wanawake 20,000 wa Nigeria wamekuwa waathiriwa wa usafirishaji haramu wa watu. Mji wa Benin ambao ni makao makuu ya mkoa huo umekuwa kitovu cha uhalifu huo. Sasa maafisa wanataka kuuangamiza mtandao huo wa usafirishaji wa watu. Mwandishi wa habari wa DW katika makala ya Vijana Mubashara Jan-Phillip Scholz aliandamana nao
Hofu ya utekwaji wa wasichana wa Chibok yarejea Nigeria
Zaidi ya wasichana 90 wa shule wanahofiwa kupotea baada ya watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa kundi la kigaidi.
Unazungumziaje suala la kujichubua?
Yasikilize maoni ya msanii wa vipodozi kutoka Nigeria kuhusiana na suala la Waafrika kujichubua ngozi. Je, kama Mwafrika analizungumziaje suala hili?
Morocco washinda kombe la CHAN 2018
Morocco iliizidi nguvu Nigeria kwa kuilaza mabao manne kwa sifuri katika fainali ya CHAN 2018
Nigeria: Kundi la Niger Delta kushambulia sekta ya mafuta
Mashambulizi kulenga operesheni za mataifa kadhaa
Watu wasiopungua 12 wauawa katika vurugu za kijamii Nigeria
Vurugu kati ya wakulima wa Bachama na wafugaji wa Fulani zilitokea wilayani Lau jimboni Taraba Ijumaa na Jumamosi.
UNICEF: Watoto walishambuliwa mno 2017
Watoto waliuawa, kujeruhiwa, kutumika kama ngao vitani, kubakwa na washambuliaji wa kujitoa muhanga.
Nigeria: Wanamgambo 14 wa Boko Haram wauawa
Wanajeshi wamewaokoa watu 30
Nigeria: Mripuko waua watu 50 msikitini
Kundi la Boko Haram limehusishwa na shambulizi hilo
Vita dhidi ya Boko Haram vinavyoathiri upatikanaji chakula
Ukikosekana kwenye mashambulizi ya Boko Haram, unajikuta mbele ya jeshi na yakikukosa hayo, kuna njaa inakungojea.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Baadhi ya viongozi wa Afrika pia wamelaumiwa kwa kuwapendelea watoto wao.
Amri ya kutotoka nje Biafra
Waigbo wa Biafra wanataka uhuru wa jimbo lao na nguvu kubwa za kiuchumi na kijeshi.
Nigeria yajiweka vizuri kufuzu kwenda Urusi
Nigeria kuumana na Cameroon katika mchuano wa kufuzu fainali za kombe la dunia
Buhari arejea rasmi Nigeria
Rais wa Nigeria amerejea nyumbani baada ya kuwa nchini Uingereza kwa miezi mitau alikokwenda kutibiwa.
Buhari kurejea nyumbani baada ya matibabu UK
Kurejea kwa Buhari kunatazamiwa kuboresha utekelezaji wa kisera, na kampeni dhidi ya rushwa na ufisadi nchini Nigeria.
Tarehe 07.08.2017:Taarifa ya habari ya asubuhi
Tuliyo nayo ni pamoja na : Israel yapanga kupiga marufuku matangazo ya televisheni ya Al Jazeera// China yaunga mkono vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini// Watu 11 wauawa katika shambulizi Nigeria.
Taarifa ya habari ya asubuhi: 03.08.2017
Kwenye taarifa yetu ya habari leo asubuhi: Rais Temer wa Brazil anusurika kufikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya rushwa. Uturuki yafanya mabadiliko ya uongozi katika jeshi lake. Raia sita wauliwa na kundi la magaidi wa Boko Haram Kaskazini Mashariki mwa Nigeria
Idadi ya watu duniani kufika bilioni 9.8 mwaka 2050
Bara la Afrika latajwa kuwa na ukuaji wa kasi wa idadi ya watu, asilimia 60 ya Waafrika wako chini ya umri wa miaka 20
Je, Trump akiuka sheria kuzuia mawasilaino na raia Twitter
Rais wa Marekani Donald Trump analaumiwa kwa kuzuia mawasiliano na wananchi wanaothubutu kumpinga misimamo yake katika ukurasa wake wa Twitter. Baadhi ya Wamarekani wanasema kufanya hivyo ni kukiuka sheria ya kulinda uhuru wa kujieleza. Na nchini Nigeria ibada ya nyimbo za injili yashamiri Instagram.
Maradhi ya Buhari yaiyumbisha Nigeria
Ugonjwa wa Muhammadu Buhari waiyumbisha Nigeria, taifa lililotambulika kuwa na nguvu kiuchumi na kijeshi
Nigeria yapitisha sheria kuzuwia utakatishaji fedha
Watakatishaji fedha wanajificha na kushirikiana na wahalifu wa kawaida.
Wasichana wa Chibok waungana na wenzao
Zaidi ya wanafunzi 200 wa kike walitekwa nyara miaka mitatu iliyopita katika shule moja mjini Chibok.
Miaka miwili ya Buhari madarakani
Kuzorota kwa afya yake na kushamiri kwa ughali wa maisha ya Wanigeria kunawakatisha tamaa walio wengi.
Rwanda,Boko Haram na Uchumi wa Afrika Magazetini
Rwanda,Boko Haram na Uchumi wa Afrika Magazetini
AFRICOM yazungumzia ugaidi Afrika
Jenerali Thomas Waldhauser anasema makundi ya kigaidi yanaendelea kutoa changamoto kubwa kwa mataifa ya Afrika.
Boko Haram wapanga kushambulia Abuja
Boko Haram wapanga kushambulia mji mkuu wa Nigeria Abuja
Buhari akutana na wasichana 82 wa Chibok
Wasichana hao waliachiwa huru baada ya serikali ya Nigeria kuwaachia makamanda watano wa Boko Haram
Wasichana 82 wa Chibok waachiwa huru na Boko Haram
Wasichana hao 82 wa Chibok walioachiwa huru Jumamosi ni kati ya wasichana 200 waliokuwa bado wanazuiwa na waasi hao
Maoni: Buhari aachie ngazi
Uvumi kuhusu afya ya rais wa Nigeria umesambaa hivi karibuni na inaelezwa anafanya kazi kutokea nyumbani.
Afrika yasaka fursa za kiuchumi kupitia kilimo
Wataalamu kukutana Durban kujadili njia za Afrika kufaidika na kilimo chake.
Boko Haram wapanga kuzishambulia Marekani, Uingereza
Watoto wamefanya mashambulizi 27 ndani ya miezi mitatu ya mwaka huu,walifanya mashambulizi kama hayo mara 30 mwaka jana.
China yaoongoza katika utoaji hukumu ya kifo duniani
Shirika la Amnesty International lasema China bado inoongoza duniani kote katika utoaji hukumu ya kifo.
Trump kuiuzia Nigeria ndege za kivita
Duru zinasema huenda mauzo hayo ya ndege za kivita yakaigharimu Nigeria dola milioni 600
Maisha ya Waafrika nchini India
Kuwa Mwafrika nchini India inamaanisha nini? Ndio mada ya Mohamed Dahman katika Mbiu ya Mnyonge kufuatia kuwekwa Youtube video yenye kuonyesha Wanigeria wawili wakipewa kipigo na kundi la watu waliojichukulia sheria mikononi mwao ambapo kila kilichopatikana kilitumika kama silaha ya kuwapigia ikiwa ni pamoja na nondo, matofali, viti vya chuma na mapipa ya taka.
Marais 10 waliofariki wakiwa madarakani
Maraiis 10 waliofariki dunia wakiwa madarakani kuanzia 2008 hadi 2014 kwa mauaji, magonjwa na maafa mbalimbali.
Mateka 455 wakombolewa na jeshi la Nigeria
Msemaji wa jeshi la Nigeria amethibitisha taarifa hiyo
UN yasema watu milioni 20 wako katika hatari ya kufa njaa
Zaidi ya watu milioni 20 Yemen, Sudan Kusini, Somalia na Nigeria wanakabiliwa na hatari ya kufa njaa
Buhari arudi Nigeria
Rais Buhari awasili Nigeria kutoka uingereza alipokuwa kwa matibabu
Ukweli kuhusu baa la njaa
Shirika la Chakula Duniani linasema watu zaidi ya milioni 20 wako hatarini ndani ya kipindi cha miezi sita ijayo.
UNICEF: Njaa yatishia maisha ya watoto milioni 1.4
Nchini Sudan Kusini, zaidi ya watoto 270,000 wanakumbwa na utapiamlo
Mgomo wa madakitari Kenya na viwavi jeshi Magazetini
Mgomo wa madakitari Kenya na viwavi jeshi Magazetini
Hali ya afya ya rais Buhari nzuri
Wapiganaji 31 wa Boko Haram wajisalimisha Niger
Hatua hiyo inadhihirisha kudhoofika kundi hilo la wanamgambo wa itikadi kali wanaoitikisa Nigeria na nchi jirani
Watu sita wauawa Nigeria
Nigeria yazungumza na Boko Haram
Kiasi cha wasichana 270 walitekwa na Boko Haram mwezi Aprili 2014 kutoka skuli yao mjini Chibok, jimbo la Borno.
Mapigano ya kikabila yauwa 6 Nigeria
Kamishna wa polisi, Yunana Yakubu Babas, anasema ghasia hizo zimelazimisha mamia ya watu kukimbia makaazi yao.
EU na Mali wakubaliana kudhibiti uhamiaji
Miongoni mwa waliyokubaliana ni wahamiaji watakaofika katika fukwe za Ulaya watarejeshwa makwao
Matangazo ya Jioni 11.12.2016
Taarifa tulizokuletea jioni ya leo ni pamoja na: Waziri wa mambo ya nje wa Italia ateuliwa kuwa waziri mkuu mpya//Zaidi ya watu 100 wamekufa nchini Nigeria baada ya paa la kanisa moja kuanguka//Serikali ya Uturuki yatangaza maombolezo ya taifa baada ya watu kadhaa kuuwawa katika mashambulio ya mabomu
Vietnam yakamata kilo 500 za pembe za ndovu
Sehemu kubwa ya pembe za ndovu zinazoingia kwenye soko la Asia hutokea kwenye nchi za kusini mwa jangwa la Sahara.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 11 wa 20
Ukurasa unaofuatia