You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wasichana wa Chibok
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Rwanda kujenga kiwanda cha kutengeneza chanjo ya Covid-19
WTO imethibitisha kwamba Rwanda, Senegal na Afrika Kusini zimechaguliwa kwa ajili ya ujenzi wa viwanda vya chanjo.
Inspekta wa polisi awauwa watu watano mjini Enugu
Inspekta wa polisi awauwa watu watano katika mji wa Enugu
Tobore Ovuorie: Sikuchulii hapana kuwa jibu
Tobore Ovuorie anajadili uchunguzi wake dhidi ya ulanguzi wa binadamu, marufu ya Twitter nchini kwake Nigeria na mengine
11.06.2021 Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Nigeria yataka mitandao ya kijamii iwe na leseni za ndani
Nigeria imeitaka mitandao ya kijamii ijisajilii na kupata leseni ili iweze kufanya kazi kwenye taifa hilo
Magaidi wauwa raia 100 Burkina Faso
Zaidi ya watu 1,300 wameshauawa na wengine milioni moja kulazimika kuwa wakimbizi wa ndani.
Nigeria yathibitisha watoto 136 kutekwa nyara
Nigeria imethibitisha kutekwa nyara watoto 136 wa skuli moja ya Kiislamu katika jimbo la kati la Niger.
Watoto kadhaa watekwa Nigeria
Takriba watoto 200 wametekwa Nigeria
Mitandao ya ukahaba na ulanguzi wa watu Nigeria
Inaweza kuonekana kama tungo ya kubuniwa kuhusu uhalifu, lakini kwa hakika mwanahabari wa Nigeria Tobore Ovuorie alifanya upekuzi kufichua kadhia ya ulanguzi wa wanadamu. Kisa chake kimetengenezwa kuwa filamu kwenye kampuni ya Netflix. Lakini masaibu aliyopitia yangali yanamtatiza.
Rais Buhari kikaangoni
Changamoto za kiusalama zinazoikabili Nigeria zimeibua hasira na wito wa kumtaka Rais Muhammadu Buhari aachie madaraka.
Jeshi la Nigeria lakataa kutwaa madaraka
Nigeria inazidi kukabiliwa na mashambulizi ya wanamgambo wa itikadi kali pamoja na visa vya utakaji nyara na mauaji
Tuzo ya Uhuru wa Kujieleza ya DW 2021 yamuendelea mwandishi wa upekuzi wa Nigeria Tobore Ovuorie
Mwandishi wa habari wa upekuzi wa Nigeria Tobore Ovurie ashinda tuzo ya Uhuru wa Habari ya DW mwaka 2021.
Rais Buhari akabiliwa na shinikizo la ukosefu wa usalama
Rais Buhari akabiliwa na shinikizo la ukosefu wa usalama
Tobore Ovuorie atunukiwa tuzo ya DW ya Uhuru wa kujieleza
Mkurugenzi Mkuu wa DW, Peter Limbourg, asema ujasiri wa Ovuorie kuripoti mambo yaliyojificha ndio uliompa tuzo hiyo
Kutumia roboti kupambana na COVID-19 Nigeria
Kundi la wanafunzi hawa nchini Nigeria lilipoona maambbukizi ya virusi vya corona yanaongezeka hasa miongoni mwa wahudumu wa afya, waliwaza kuhusu namna ya kukabili hatari hiyo. Ndipo wakaamua kutengeneza roboti inayopeleka dawa kwa wagonjwa na kuchukua vipimo vya viwango vya wagonjwa, bila ya wahudumu wa afya kuwasogelea wagonjwa. Mengi zaidi ni kwenye video hii ya Kurunzi ya Afya.
Zaidi ya wanajeshi 30 wauwawa na wanamgambo Nigeria
Zaidi ya wanajeshi 30 wauwawa na wanamgambo Nigeria
Maelfu wakimbia mashambulizi wabeba silaha Nigeria
Maelfu ya raia wa Nigeria wanayakimbia mashambulizi ya wabeba katika jimbo la Borno kaskazini mashariki mwa Nigeria
Taarifa ya Habari ya Asubuhi Afrika Mashariki
Wakaazi wa vitongoji vya mji mkuu wa Myanmar, Yangon, wayakimbia makazi yao/ Umoja wa Mataifa waonya mzozo wa Yemen waendelea kushika kasi huku taifa hilo likitumbukia katika baa la njaa/ Na Niger leo yaanza maombolezo ya kitaifa kufuatia mauaji ya watu 58.
Utekaji Nigeria wafikia kiwango cha mzozo
Utekaji nyara huo wa wanafunzi kwa wingi kawaida huipelekea jamii ya kimataifa kulaani na kuiwekea shinikizo serikali.
Wanafunzi 279 waliotekwa nyara Nigeria waachiwa huru
Mamia ya wanafunzi wa kike waliokuwa wametekwa nyara Nigeria na makundi ya wahalifu wiki iiyopita, wameachiwa huru.
Uingereza yawachanja zaidi ya watu milioni ishirini
Uingereza imesema itaanza kutoa chanjo kwa watu wenye umri wa zaidi ya miaka 40.UJerumani idadi ya vifo yafikia 70 elfu.
Wanafunzi watekwa tena Nigeria
Serikali ya Nigeria imesema watu waliojihami kwa bunduki wanaoaminika kuwa miongoni mwa genge la majambazi, wameivamia s
WTO kuongozwa na mchumi kutoka Afrika
Shirika la Biashara Ulimwenguni linatarajiwa kwa mara ya kwanza kuongozwa na mtu kutoka barani Afrika.
Maelfu ya wachungaji watoroka kusini mwa Nigeria
Takriban wafugaji elfu 4 wa kabila la Fulani wametoroka Kusini mwa Nigeria wiki moja iliyopita kufuatia mashambulizi
Open Doors: Mateso ya Wakritu yaongezeka duniani
Ripoti hiyo inayozingatia data za kuanzia Oktoba 2019 hadi Septemba 2020, inasema maelfu ya Kikristu wameuawa Nigeria.
Biden kumteua Merrick Garland kuwa mwanasheria mkuu
Joe Biden ametangaza rasmi kwamba atamteua Jaji Merrick Garland kuwa mwanasheria mkuu wa Marekani.
Wavulana waliokolewa Nigeria wakutana na famila zao
Wavulana waliotekwa nyara tangu majuzi kaskazini magharibi mwa Nigeria wamerudishwa nyumbani leo Ijumaa.
Wavulana wa shule waliotekwa Nigeria waachiwa
Gavana wa jimbo la Katsina Aminu Bello Masari amesema jumla ya wavulana 344 wameachiwa na kuwakabidhiwa kwa familia zao
Boko Haram iliwaagiza wahalifu kuwateka wanafunzi
Boko Haram iliyaagiza magenge ya kihalifu kuwateka wanafunzi
Lifahamu kundi la Boko Haram
Unalifahamu vipi kundi la Boko Haramu lililohusika na mashumbulizi na utekaji nchini Nigeria na mataifa jirani?
Boko Haram yakiri kuwateka nyara mamia ya wanafunzi
Boko Haram yakiri kuwateka nyara mamia ya wanafunzi
Ujerumani huenda isiondoe zuio la COVID-19 Januari 10
Mkuu wa utumishi wa ofisi ya Merkel amesema hatua ya kuzifunga shughuli za umma huenda zisiondolewe Januari 10.
Juhudi za kutambua vipaji vya soka Nigeria
Vijana wengi wana ndoto kuwa siku moja watakuwa wakandanda mahiri. Nchini Nigeria, John Solomon ambaye ni wakala na pia kocha anajaribu kutambua vipaji vya watoto kama hao katika familia masikini.
EU kimya kuhusu migogoro ya kisiasa Afrika Magharibi
Waafrika Magharibi wanatumai kupata msaada wa kigeni, lakini Umoja wa Ulaya umejiweka kando
Kutoka kuwa mhamiaji hadi kuwa nyota wa muziki: Chris Obehi
Mwimbaji wa Nigeria Chris Obehi amekuwa maarufu katika mji anakoishi sasa Palermo Italia. Alitoka mjini kwao akiwa na umri wa miaka 17 kutafuta maisha mazuri Ulaya. Lakini safari haikuwa rahisi. Kwa hivyo alianza muziki kama njia ya kujiliwaza.
Ouattara ashinda uchaguzi huku wakiuonya upinzani
Ivory Coast imekumbwa na maandamano ya kabla ya uchaguzi baada ya Ouattara kutangaza kuwania muhula wa tatu.
Watekaji nyara wa Mmarekani nchini Niger wataka fidia
Watu wenye silaha waliomteka nyara raia wa Marekani Philip Walton kusini mwa Niger, wadai fidia ili kumuachia huru
Marekani yatatiza juhudi za mchakato wa uongozi wa WTO
Mchakato wa Shirika la WTO wa kuchagua kiongozi mpya umekwama baada ya Marekani kumkataa aliyependekezwa
Mafunzo ya densi mtindo wa ‘Ballet’ Lagos Nigeria
Hii ni shule ya densi mtindo wa Ballet katika mtaa wa watu maskini kwenye mji mkubwa Lagos nchini Nigeria. Hutoa mafunzo ya densi maalum kwa watoto katika taifa hilo lenye idadi kubwa zaidi ya watu Afrika. Daniel Ajala anayependa densi ya ballet, aliifungua shule hii mwishoni mwa mwaka 2017 baada ya kusomea mbinu za densi hiyo vitabuni na mitandaoni.
Buhari ahimiza kusitishwa maandamano
Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo ametaka uchunguzi kuanzishwa dhidi ya vikosi vya usalama
Amnesty: Waandamanaji 12 wameuwawa Nigeria
Shirika la Amnesty International, limesema na waandamanaji 12 wanaopinga ukatili wa polisi wameuwawa Nigeria.
Wanajeshi Nigeria wafyatua risasi dhidi ya waandamanaji
Mashuhuda wadai kwamba wananajeshi Nigeria wamewafyatulia risasi waandamanaji mjini Lagos.
Watu wenye matatizo ya akili duniani wanaishi kifungoni
Watu wenye matatizo ya akili duniani wanaishi kifungoni
Nigeria yasherehekea miaka 60 tangu ilipojipatia uhuru
Nigeria yasherehekea miaka 60 tangu ilipojipatia uhuru
Mji wangu: Abuja
Mji mkuu wa Nigeria ulio na shughuli nyingi Abuja ni miongoni mwa miji inayokua kwa haraka ulimwenguni. Pia ni kitovu cha harakati za kisiasa. Mwanablogu ambaye pia ni mwanaharakati kijana, Maryam Laushi, anatuonyesha mji wake huo.
Nigeria: Wafanyakazi na serikali wakubaliana kufuta mgomo
Mgomo wa wafanyakazi wafutwa Nigeria kufuatia makubaliana na serikali
Zaidi ya watu 200 wafariki kutokana na mafuriko Afrika
Mafuriko yaliyosababishwa na mvua kali yamewauwa watu 200 na kuwaacha wengine zaidi ya milioni moja bila makaazi.
Viongozi wa ECOWAS wamtaka Keita kurejea uongozini
Viongozi wa ECOWAS wamesema watatuma ujumbe nchini Mali katika juhudi za kubatilisha mapinduzi ya kijeshi nchini humo
Juhudi za kutafuta upatanishi Mali zagongwa mwamba
Juhudi za viongozi kadhaa wa Afrika Magharibi kuusuluhisha mzozo wa kisiasa nchini Mali zimegonga mwamba.
Wanajeshi 23 wa Nigeria wauwawa na genge la majambazi
Wanajeshi 23 wa Nigeria wauwawa na genge la majambazi
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 8 wa 20
Ukurasa unaofuatia