You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Hali ya hewa
Iwe mvua au jua - ni suala la mazingira
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Nguo zilizotengenezwa kwa rangi za taka za chakula, Kenya
Kampuni ya nchini Kenya inayotengeneza nguo za wanawake pekee, inafafanua upya mtindo kwa kuunda mavazi kutumia rangi za matunda na mboga zinazotokana na taka za chakula.
Mvua kubwa zasababisha daraja kuu Marsabit kuvunjika
Kwa siku ya tano idadi kubwa ya wakaazi hao hawajapata mlo huku watoto na akina mama wajawazito wakiathirika zaidi.
Dr. Bahati, msanii mhamasishaji Tanzania
Dr. Bahati ambaye majina kamili ni Anne Christina Achterberg-Bonness, ni mwanaharakati wa masuala ya afya na mazingira anayeendesha kampeni za kuhamasisha jamii kupitia matamasha ya muziki sehemu mbali mbali Tanzania. Ahmad Juma alikutana naye na kuandaa ripoti ifuatayo.
Wataalam: Watetezi wa nishati ya visukuku wasishiriki COP28
Mwaka jana, mamia ya watetezi wa nishati za mafuta, gesi na maka ya mawe walikilishwa katika mkutano wa COP27 Misri.
Bundesliga yashuhudia mvua ya mabao
Mabao 42 yalipachikwa wavuni katika mechi za mzunguko wa 9.
Majiko Banifu kukabiliana na uchafuzi wa mazingira
Licha ya kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi chache ambazo sehemu kubwa ya ardhi yake imezungukwa na miti, iko katika hatari ya kutoweka, ikiwa suluhu za nishati safi na endelevu hazitapewa kipaumbele ili kuwasaidia wananchi hasa wa vijijini kuachana na matumizi ya mkaa na kuni. Tunaangazia hilo kwa undani kwenye makala ya 'Mtu na Mazingira'. Msimulizi ni Salma Mkalibala.
Kutambua mzozo wa hali ya hewa kama dharura ya kiafya
Wataalamu kutoka kote ulimwenguni wataka hatua za kutambua mzozo wa hali ya hewa kama dharura ya kiafya.
Dunia imeshindwa kufikia lengo la kusitisha ukataji miti
Ukataji miti duniani uliongezeka kwa asilimia 4 mwaka jana, na ulimwengu bado unajikongoja ili kufikia malengo hayo.
Kane: Bayern itazidi kuimarika msimu unavyosonga
Harry Kane alifunga goli lake la 9 katika Bundesliga msimu huu katika ushindi wa 3-1 wa Bayern Munich dhidi ya Mainz sik
Guterres: Watu milioni 780 wanakabiliwa na njaa duniani
Katika kuadhimisha siku ya chakula duniani leo, Umoja wa Mataifa umesema kila sekunde chache mtu mmoja anakufa njaa.
IGAD na jukumu la vijana katika utunzaji wa mazingira
Wakio Mbogho anazungumza na vijana wa nchi wanachama wa Jumuiya ya IGAD kwenye ulinzi na utunzaji mazingira.
Watoto 4 wafa, 15 wajeruhiwa kwa kuangukiwa na kanisa
Watoto wanne wamekufa na wengine kumi na watano wamejeruhiwa baada ya kuangukiwa na jengo la kanisa kusini mwa Burundi.
Matangazo ya Asubuhi, Oktoba 16, 2023
Zelensky azuru makao makuu ya NATO na kuomba msaada zaidi
Zelensky anasema mkazo mkubwa ni namna nchi hiyo itakavyoweza kuhimili mashambulizi ya Urusi katika msimu wa baridi.
Watu 28 wauawa kutokana na maporomoko ya ardhi Cameroon
Idadi ya waliofariki yatarajiwa kuongezeka
UNICEF: Mamilioni ya watoto wapoteza makazi
Watoto hao walipoteza makazi kati ya mwaka 2016 hadi 2021
Mtu na Mazingira: Ijue biashara ya hewa ya Ukaa na faida kwenye misitu ya asili
Serikali ya Tanzania kupitia Wakala wa Misitu, kwa kushirikiana na taasisi binafsi na makampuni mbalimbali amenza biashara ya kununua hewa ya ukaa itakayowanufaisha wakulima wa misitu ya asili. Je unajua kuhusiana na biashara kama hii ya hewa ya ukaa? Na je inawanufaishaje wakulima hawa. Sikiliza makala ya Mtu na Mazingira kujua zaidi kuhusu hili.
Hali mbaya ya hewa yasababisha watoto kupoteza makazi
Wataalamu watahadharisha kuwa katika miaka 30 ijayo, mafuriko yanaweza kusababisha watoto milioni 96 kuhama makaazi yao.
Ufadhili wa mabadiliko ya tabianchi wazidi kupungua
Mkutano wa kilele wa kimataifa wa hali ya hewa wa COP28 unatarajiwa kufanyika Dubai, mwishoni mwa mwezi Disemba.
Mabadiliko ya tabianchi yawahamisha Watoto milioni 43.1
Vimbunga vinakadiriwa kuwa vitawahamisha watoto milioni 10.3.
Steinmeier aahidi kuisaidia Cape Verde
Steinmeier yuko kwenye ziara ya kiserikali ya siku mbili nchini Cape Verde.
Tahadhari ya mvua ya El Nino yatolewa Kenya
Idara ya utabiri wa hali ya hewa Kenya imeitaka serikali kujiandaa kwa mvua kubwa ya El Nino inayotarajiwa wakati wowote kutoka sasa hadi mwezi Disemba, huku ikitoa tahadhari ya mafuriko na mmomonyoko katika maeneo ya pwani, magharibi na Bonde la Ufa nchini humo. Serikali ya Kenya inakadiria kwamba inahitaji shilingi bilioni 10 kukabiliana na athari za mvua ya El nino. Msikilize wakio Mbogho.
Ukraine: Tumedunguwa ndege 29 zisizo na rubani za Urusi
Wachambuzi wa Uingereza wanasema Urusi inafanikiwa katika kudhibiti maoni ya umma kwa kutumia jina 'wakala wa kigeni'
APR FC ya Rwanda yanyeshewa mvua ya magoli
Timu ya jeshi la Rwanda APR FC imetupwa nje baada ya kunyeshewa mvua ya magoli.
Joto lahusishwa na vifo vya watu 3,100 Ujeumani
Joto lahusishwa na vifo vya watu 3,100 Ujeumani
Mabadiliko ya Tabianchi yanavyotishia maisha ya Wahadzabe
Makala ya Mtu na Mazingira wiki hii inamulika jinsi jamii ya Wahadzabe ilivyoathirika na mabadiliko ya Tabia nchi.
Viongozi wahutubia Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amewatolea wito viongozi kuchukua hatua za pamoja kwa maslahi ya walimwengu.
Viongozi wahimiza kumalizwa mizozo na uchafuzi wa mazingira
Miito ya kumaliza mizozo na uchafuzi wa mazingira yatawala siku ya kwanza ya mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu bila ya Messi na Ronaldo
Ronaldo amejiunga na klabu ya Al Nassr inayoshiriki Ligi Kuu ya Saudi Arabia huku Messi akitimkia Ligi ya Marekani MLS.
Kenya kuwapa fidia waathirika wa mabadiliko ya tabianchi
Serikali ya Kenya itaanza mchakato wa kuwafidia wahanga wa mabadiliko ya tabianchi kwa awamu kuanzia Oktoba mwaka huu.
UN: Idadi ya vifo vya mafuriko nchini Libya yafikia 11,300
Libya imekabiliwa na hali ngumu kutokana na mafuriko makubwa yaliyosababisha idadi kubwa ya vifo vya raia.
Wanaharakati wa mazingira kuendeleza maandamano leo
Maandamano hayo yanalenga kuzishinikiza serikali duniani kuondokana na matumizi ya nishati ya kisukuku.
Wanaharakati wa hali ya hewa waanza maandamano makubwa
Maelfu ya wanaharakati wa mazingira, wameanza maandamano leo, wakitoa wito wa kukomesha matumizi ya mafuta ya visukuku.
Maelfu ya wanaharakati wa mazingira kuandamana kwa siku 3
Wiki iliyopita Umoja wa Mataifa ulionya mataifa bado yako nyuma kufikia lengo la kupunguza ongezeko la joto duniani.
Wanaharakati wa mazingira kuandamana nchi zaidi ya 50
Maandamano hayo yanalenga kuzishinikiza serikali za mataifa mbalimbali zisitishe uchomaji wa nishati ya visukuku.
Je pana hatari ya janga la corona kurudi tena Ujerumani?
Kwa mujibu wa taarifa kwa sasa pana aina mbili za virusi vinavyoenea duniani, vinavyojulikana kama Pirola na Eris
Colombia yaongoza kwa mauaji ya wanaharakati wa mazingira
Idadi ya waliouawa imepungua kidogo ukilinganisha na rekodi ya watu 227 waliouawa mwaka 2020
Rwanda kujenga kinu cha nyuklia kuzalisha umeme
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Rwanda anasema mradi huo unayaweka maisha ya raia wa Rwanda hatarini.
Uchafuzi wa hewa bado ni tatizo kubwa barani Ulaya
Ingawa EU ina baadhi ya sheria kali zaidi za ubora wa hewa duniani, viwango vya uchafuzi wa hewa bado viko juu.
Fahamu zaidi kuhusu homa ya baridi ya bisi
Homa kali ya baridi ya bisi au rumatizimu kitaalamu 'rheumatic fever' ni ugonjwa ambao husababishwa na bakteria aina ya steptococcs matokeo yake huwa ni kushambuliwa kwa viungo kama vile kiwiko na magoti hivyo hupelekea baadhi yao kuharibika au kuziba kwa mishipa ya moyo.
UN, Iran zahimiza ushirikiano kukabili dhoruba za mchanga
Mataifa katika Mashariki ya Kati, Afrika na Asia yametakiwa kushirikiana ili kukabiliana na dhoruba za mchanga na vumbi.
UN: Ulimwengu unarudi nyuma kutimiza malengo ya mazingira
Umoja wa Mataifa umesema kuwa ulimwengu uko nje ya lengo lililokusudiwa la kupunguza ongezeko la joto duniani.
Afrika yazungumza kwa sauti moja kuhusu tabia nchi
Miongoni mwa yalimulikwa katika Afrika wiki hii ni mkutano wa kihistoria wa bara la Afrika kuhusu tabia nchi uliofanyika Kenya. Na mkutano wa jukwaa la chakula barani Afrika uliofanyika Dare-Salaam Tanzania ambapo viongozi wa Afrika wasema wako tayari kuulisha ulimwengu. Nchini Gabon,Jenerali Nguema aapishwa kuwa rais wa mpito. Jiunge na Saumu Mwasimba kwa hayo na mengine.
Hong Kong yakumbwa na mafuriko makubwa
Watu wawili wameripotiwa kufariki dunia kufuatia mafuriko hayo. Hali ambayo imelazimisha shule kufungwa mjini humo.
UN: Mabadiliko ya tabianchi yasababisha joto kali
Moshi wa mioto ya nyika huenda ukawa ishara inayoonekana zaidi ya uchafuzi wa hewa
Mkutano wa mazingira wa Nairobi umekuwa na mafanikio yapi?
Sikiliza uchambuzi wa Hussei Khalid ambaye ni mwanaharakati wa Mazingira na Mkurugenzi wa Shirika la Haki Afrika lenye makao yake nchini Kenya.
Viongozi wa Afrika wahimiza matumizi ya nishati jadidifu
Wito huo umetolewa katika siku ya mwisho ya mkutano wa kihistoria wa mabadiliko ya tabia nchi uliofanyika Kenya.
Azimio la Nairobi la hali ya hewa kutiwa saini
Viongozi hao walikusanyika jijini Nairobi kuweka vipaumbele kwa mkutano wa kimataifa wa COP28 huko Dubai
China yaonya mataifa juu ya kitisho cha Vita Baridi vipya
Qiang amesema hayo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Mataifa ya Kusini Mashariki mwa Asia, ASEAN huko Jakarta Indonesia.
Ulimwengu washuhudia joto kali zaidi miezi mitatu iliyopita
Mwezi Agosti ulivunja rekodi ya kuwa na joto kali zaidi kwa tofauti kubwa na wa pili kwa kiwango cha juu baada ya Julai.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 7 wa 27
Ukurasa unaofuatia