1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makala ya Afrika wiki hii

29 Novemba 2024

Nchini Uganda, watu 100 bado hawajulikani waliko kufuatia mkasa wa maporomoko ya ardhi yaliyotokea eneo la mashariki mwa nchi hiyo. Uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Tanzania uliingiwa na dosari. Na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda zilitia saini hati muhimu kwa ajili ya kuendeleza mchakato wa amani katika eneo tete la mashariki mwa DRC.Kwa hayo na mengine, ungana na Bakari Ubena

https://p.dw.com/p/4nal6