You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Scotland
Scotland imekuwa sehemu ya Muungano wa Ufalme wa Uingereza na Ireland ya Kaskazini tangu 1707
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Brexit: Kansela wa Ujerumani kukutana na Theresa May
Wakati huo huo, May anazidi kukabiliwa na shinikizo ndani ya chama chake cha Kihafidhina wanaomtaka ajiuzulu.
May akiri makubaliano ya Brexit hayatapita bungeni
May amesema kuna hatari kubwa ya kutokuwepo Brexit ikiwa hakutopatikana muafaka haraka.
Theresa May yaomba muda zaidi kwa Brexit
Waziri Mkuu ataka muda zaidi wa mchakato wa Brexit
Michel Barnier:Uingereza hatarini kutoka EU bila makubaliano
Kiongozi wa mjadala wa Brexit Umoja Ulaya Michel Barnier aonya hatari ya Uingereza kuondoka EU bila Makubaliano
Uingereza kujitoa kutoka Umoja Ulaya bila makubaliano
Uingereza kujitoa katika hali ya mtafaruku kutoka Umoja wa Ulaya bila makubaliano
Brexit kupigiwa kura ya tatu Uingereza
Makubaliano ya Brexit kupigiwa kura kwa mara ya tatu na wabunge wa Uingereza
Wabunge wa Uingereza wapinga mapendekezo mbadala ya Brexit
Chama cha DUP kimesema mpango wa Theresa May ni hatari kwa umoja kati ya Ireland na majimbo mengine ya Uingereza.
Wabunge wa Uingereza wampinga Waziri Mkuu Theresa May
Baadhi ya wajumbe wa chama chake cha Kihafidhina wamtaka Waziri Mkuu May ajiuzulu nafasi yake.
Bunge lashinikiza kuhodhi mchakato wa Brexit
Bunge la Uingereza huenda likashinda katika kura ya kushinikiza kuchukua udhibiti wa mchakato wa Brexit
Shinikizo laongezeka dhidi ya May
May aliwahi kuwaambia wabunge angejiuzulu iwapo bunge lingeupigia kura mpango wa Brexit
Hatima ya waziri mkuu Theresa May Magazetini
Hatima ya waziri mkuu Theresa May Magazetini
Brexit: Mawaziri wa May wapanga kumuondoa madarakani
Mawaziri 11 wameripotiwa kumuasi May wakati ambapo miito ikizidi kutaka kura mpya ya raia kuhusu Brexit.
Umoja wa Ulaya waipa Uingereza muda zaidi wa Brexit
Uingereza imepewa hadi Mei 22 kuuidhnisha mpango wa May wa kutalikiana na Umoja wa Ulaya
Mchakato wa Brexit kuhodhi Mkutano wa kilele mjini Brussels
Mchakato wa Brexit kuhodhi Mkutano wa kilele mjini Brussels
Mpango wa Brexit wa Theresa May wapata pigo jingine
Spika wa Bunge la Uingereza auwekea ngumu mpango wa May kuhusu Brexit
Mpambe wa Merkel apendekeza Brexit kupewa muda zaidi
Suala la Brexit linatarajiwa kupewa kipaumbele katika mkutano wa viongozi wa Umoja wa Ulaya baadaye wiki hii.
Bunge laridhia kuchelewesha Brexit
Maoni mbalimbali baada ya Uingereza kupiga kura jana usiku kuomba mchakato wa kujiondoa kutoka kwenye Umoja wa Ulaya.
Wabunge wa Uingereza wachagua kurefusha Brexit
Wabunge wa Uingereza wachelewesha muda wa nchi hiyo kujitoa kutoka Umoja wa ulaya
Wabunge wazuia Uingereza kuondoka EU bila makubaliano
Wabunge wa Uingereza wamepiga kura kuizuia nchi hiyo kuondoka katika Umoja wa Ulaya bila makubaliano.
Uingereza yatakiwa ibadilishe mkakati katika suala la Brexit
Umoja wa Ulaya wasimama pamoja wakati bunge la Uingereza linapoukataa kwa manyingine mpango wa Theresa May.
Bunge la Uingereza laukataa mpango wa May kuhusu Brexit
Wabunge wa Uingereza wamepiga kura kuupinga mpango wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May kuhusu Brexit.
Walimwengu wasubiri kuijua hatima ya Brexit
Walimwengu wasubiri kuijua hatima ya Brexit
Brexit: Suala la mpaka wa Ireland bado halijapata ufumbuzi
Hata hivyo duru za pande zote mbili zimesema mazungumzo hayo yataendelea miongoni mwa maafisa wa ngazi za chini.
Merkel na Macron wagusia kuchelewa kwa Brexit
Brexit yatawala
May aliahidi bunge kuchelewesha Brexit
Theresa May aliahidi bunge la Uingereza kuuchelewesha mchakato wa Brexit kwa miezi mitatu.
Uingereza yaongeza kasi kuelekea wasi wasi kuhusu Brexit
Uingereza yajaribu kupata muafaka kuhusiana na mabadiliko ya makubaliano ya Brexit
Mpasuko ndani ya Labour ya Uingereza
Corbyn anasema amefadhaishwa na uamuzi wa walioshindwa kuzifanyia kazi sera ambazo ziliwavutia mamilioni ya wapigakura.
Mkutanao wa kimataifa kuhusu Usalama Magazetini
Mkutano wa kimataifa kuhusu Usalama Magazetini
Brexit: Theresa May ataka wabunge wampe muda zaidi
Wapinzani wa Theresa May wanadai kuwa bibi May anapoteza muda kwa makusudi ili wajikute kwenye njia panda.
Ireland inaitegemea kiasi gani Uingereza kibiashara?
Suala la mpaka limetawala mawazo ya Ireland katika kizungumkuti cha Uingereza kuondoka kwenye Umoja wa Ulaya
May aihakikishia Ireland kuhusu mpaka
Theresa May aihakikishia Ireland kwamba hakutakuwa na mpaka na Ireland ya kaskazini
Magazetini: Mpango mbadala wa May wa Brexit
Magazeti ya Ujerumani yamezungumzia kuhusu mpango mbadala wa Brexit, waziri wa ulinzi wa Ujerumani na mradi wa jeshi
Viongozi wa Ulaya wasema makubaliano ya Brexit hayabadiliki
May kutafuta makubaliano mapya
Theresa May ataka kubadilisha makubaliano ya Brexit
Hata hivyo taarifa ya makao makuu ya Umoja wa Ulaya mjini Brussels imesema haitawezekana mpango huo kujadiliwa tena.
Ujerumani na Ufaransa kutia saini mkataba wa ushirikiano
ujerumani na Ufaransa kutia saini makubaliano ya kuimarisha urafiki baina ya nchi zao
Mkataba wa Urafiki kati ya Ujerumani na Ufaransa
Mkataba wa Urafiki kati ya Ujerumani na Ufaransa
Maysasa ataka mazungumzo na vyama vya upinzani kuhusu Brexit
Lakini May hakuzungumzia uwezekano wa kuongezewa muda wa miaka miwili kubakia Umoja wa Ulaya baada ya mwezi Machi.
Theresa May atoa wito kwa wapinzani kuhusu mpango wa Brexit
May alipata ushindi mdogo kwenye kura ya kutokuwa na imani naye
Wabunge wa Uingereza waiweka pabaya Ulaya
May anakabiliwa na kipindi kigumu kabisa kwenye historia yake ya kisiasa
Mwelekeo ni upi baada ya makubaliano ya Brexit kuangushwa?
Wabunge wa Uingereza Jumanne waliyakataa pakubwa makubaliano ya Waziri Mkuu Theresa May na Umoja wa Ulaya kuhusu Brexit.
Bunge la Uingereza kupiga kura ya Brexit
Bunge la Uingereza Jumanne litafanya kura ya kihistoria kuhusiana na mpango wa Uingereza wa Brexit.
Magazetini: Kura ya Brexit kuamua hatimaya Uingereza na EU
Wahariri wamezungumzia kuhusu kura ya Brexit, na mgogoro kati ya Uturuki na Marekani
Wabunge wa Uingereza waanza mjadala kuhusu mpango wa Brexit
Wabunge wa Uingereza wanaanza mjadala kuhusu mpango wa Waziri Mkuu Theresa May wa kuondoka katika Umoja wa Ulaya, Brexit
Uingereza: Kura muhimu kupigwa kuamua mchakato wa Brexit
Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May amewakabili wapinzani wa mpango wake juu ya Uingerezakujiondoa Umoja wa Ulaya,
Matangazo ya Jioni 16.12.2018
Qatar yataka sheria za muungano wa mataifa ya Ghuba GCC zifanyiwe marekebisho. Umoja wa mataifa wahimiza ufanyike uchunguzi huru juu ya mauaji ya mwandishi Jamal Khashoggi. Waziri wa Uingereza akanusha habari juu ya kura nyingine ya maoni kuhusu Brexit
Magazetini: Theresa May anusurika kura ya kutokuwa na imani
Wahariri wameandika kuhusu ushindi wa Theresa May bungeni, shambulizi mjini Strasbuorg na mkutano wa mazingira wa UN
Theresa May apeleka kilio chake Brussels
Wabunge wa Uingereza wamegawika kwa kiasi kikubwa kutokana na mpango wa Brexit wa Theresa May
May anusurika kura ya kutokuwa na imani naye
Kiongozi huyo wa Uingereza anakabiliwa na kibarua kigumu kuhusu mchakato wa Uingereza kujiondoa kutoka Umoja wa Ulaya.
May akabiliwa na kura ya kutokuwa na imani
Mdahalo mkali washuhudiwa kati ya Waziri Mkuu Theresa May na kiongozi wa upinzani, Jeremy Corbyn, wa Labour.
Magazetini
Juu ya uamuzi wa makahama kuu ya Ulaya wahariri wansema benki ya Ulaya ilikuwa sahihi kununua hatifungani za serikali.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 4 wa 8
Ukurasa unaofuatia