You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Smartphone
Smartphone ni simu ya mkononi inayojumlisha sifa za simu ya kawaida na computer.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Scholz ampigia simu Zelensky baada ya kuzungumza na Putin
Ujerumani: Mazungumzo yalikuwa ya tija na Zelensky aliishukuru serikali ya Ujerumani kwa msaada wake wa kijeshi.
Pakistan yasitisha huduma za simu na intaneti
Mamlaka nchini Pakistan imesimamisha huduma za simu za mkononi na intaneti katika maeneo yenye matatizo ya usalama.
Urusi na Ukraine zashambuliana vikali na droni
Mashambulizi hayo yamejiri licha ya mazungumzo yanayoripotiwa kufanywa baina ya Putin na rais mteule wa Marekani Trump
Tanzania: Kupekua simu ya mwenzi wako faini hadi ml.20
Mkuu wa Polisi wilaya ya Ludewa, Tanzania, Celestine Luhende amesema kupekuwa simu ya mwenzi wako ni kosa kisheria.
Mtandao wa simu za mkononi wakatwa Maputo
Mtandao wa simu uliathirika kwenye maeneo mengi katika mji huo mkuu, ingawa mawasiliano mengine hayakuathirika.
Simu za mkononi za Trump, Vance zadaiwa kudukuliwa
Marekani inatarajiwa kufanya uchaguzi wa urais mwezi Novemba.
Matumizi ya lugha ya mkato katika mawasiliano
Vijana mchakamchaka leo inaangazia matumizi ya lugha ya mkato katika maisha ya ya kila siku ya kijana.
Mahakama yaruhusu udukuzi wa simu Munich
Mahakama imetupilia mbali malalamiko dhidi ya udukuzi wa mazungumzo ya simu za wanaharakati wa mazingira.
Kuna umuhimu kwa wanafunzi kwenda na simu mashuleni?
Ulaya nzima inajadili kupiga marufuku simu za mkononi mashuleni. Nchini Ujerumani, wito kama huu pia umekuwa ukiongezeka kwa kuwa hali ni mbaya sana kwa sasa kuliko hapo awali kulingana na utafiti wa kimataifa (PISA 2022).
Tshisekedi asema simu za kiganjani zina damu ya Wakongo
Tshisekedi akosoa wanaofanya biashara ya 'madini ya damu' kutoka Kongo, na kuiandama Rwanda kama 'mhujumu halisi.'
Programu ya simu DigiCow yaleta mapinduzi kwa wafugaji
Peninah Njeri ambae anazitambua changamoto zinazowakabili wafugaji wa ngo'ombe wa maziwa nchini Kenya, ameunda jukwaa la kidijitali ambalo linatoa habari na rasilimali muhimu katika masuala ya ufugaji. DigiCow, imeleta mapinduzi makubwa kwa wafugaji na sasa takriban wafugaji 60,000 barani Afrika wanategemea jukwaa hilo kwa ufugaji wa kisasa.
Usiweke simu yako kwenye mchele mkavu
Katika Sema Uvume wiki hii Suleman Mwiru anatizama tahadhari iliyotolewa na kampuni ya Apple juu ya tabia ya kuziweka simu kwenye mchele mkavu pindi zinapodondoka kwenye maji, badala yake fanya yafuatayo.
Vijana Mchakamchaka: Je, unaitumiaje simu yako?
Je, wewe unaitumiaje simu yako? Ungana na Selina Mdemu akizungumzia matumizi ya simu kwa vijana.
Wakenya wapinga serikali kufuatilia watu kupitia simu
Wanaharakati wa masuala ya kidigitali nchini Kenya wamepinga hatua ya serikali kufuatilia watu kupitia simu za mkononi.
Gaza yakabiliwa na ukosefu wa mtandao wa intaneti
Hali hiyo imeelezwa na msambazaji mkuu wa huduma hiyo kwenye eneo hilo
Jeshi la Israel laashiria kushambulia Kusini mwa Gaza
Gaza pia yakumbwa na hitilafu ya mawasiliano ya simu na huduma za intaneti
Vijana wanatumia Internet kuleta matokeo chanya kwenye jamii
Kampuni tatu za vijana wa kitanzania zimechaguliwa kuwa ndio kampuni bora zinazotoa huduma za kidigitali.
Simu za mkononi zapunguza idadi ya mbegu za kiume
Watafiti wamegundua uhusiano kati ya matumizi ya simu za mkononi na kupungua kwa idadi ya mbegu za kiume kwa vijana.
Waziri Mkuu wa Italia, Meloni, ajikuta mtegoni kwenye simu
Meloni ajikuwa mtegoni na kuwa muhanga wa mawasiliano ya simu za mzaha
Blinken azungumza na Bazoum kwa njia ya simu
Antony Blinken amezungumza kwa njia ya simu na rais wa Niger aliyeondolewa mamlakani Mohamed Bazoum.
Mawaziri wa mambo ya nje wa Marekani na China wazungumza
Mahusiano kati ya madola hayo mawili makubwa kiuchumi yamezorota katika miaka ya karibuni
Moto uliowaua wanafunzi 19 uliwashwa na mwanafunzi
Mwanafunzi alianzisha moto ulioteketeza bweni Guyana kwa sababu ya kunyang'anywa simu.
Kutengeneza filamu kwa gharama ya chini kutumia simu ya mkononi
Tasnia ya filamu ya Nigeria maarufu kama Nollywood, inachukuliwa kuwa ya pili kwa ukubwa ulimwenguni. Lakini kutengeneza filamu nchini Nigeria si nafuu. Hata hivyo jamaa mmoja amegundua njia ya kutumia simu ya mkononi hivyo kutimiza ndoto za watengeneza filamu wanaoinuka huko Nollywood. #VijanaMubashara #77Asilimia
Simu ya Rais Xi wa China kwa Zelensky ina tija gani?
China inataka kuendelea kujinadi kama "mpatanishi" kupitia mawasiliano ya simu ya Xi na Zelenskyy.
Museveni azungumza na Zelensky kwa njia ya simu
Uganda ni mojawapo ya mataifa yaliyojizuia kupiga kura ya kuilaani Urusi kwa vita hivyo kwenye kikao cha Umoja Mataifa
"Tupo site kata simu"
Kuna misemo fulani huzuka na kisha kusambaa katika mitandao na hatimae kuaza hata katika majukwaa rasmi miongoni mwa vijana. Katika Vijana Mchakamchaka tunajadili kwa namna gani misemo hii imekuwa ikirahisisha mawasiliano baina ya vijana
Urusi: Matumizi ya simu chanzo cha shambulizi la Ukraine
Urusi imesema matumizi ya simu ya mkononi ndiyo yaliyochangia shambulizi lililosababisha vifo vya wanajeshi 89.
Modi afanya mazungumzo ya simu na Putin
Kenya: Nguo zilizowekewa chaji ya simu kutumia miale ya jua
Simu za rununu nchini Kenya zimebuni fursa mbalimbali kwa watoa huduma mbalimbali zinakonazo na simu. Ruuj Caflon, mhitimui wa chuo kikuu, ni mmoja wao. Anatengeneza nguo ambazo zinaweza kuchaji simu na kutoa nuru. Tizama juhudi za kijana huyo mvumbuzi wa teknolojia kwenye video hii ya Kurunzi.
Program ya msaada wa kisheria Kenya
Teknolojia ya tehama sasa inazidi kurahisisha mambo, huko Kenya imebuniwa program ya kutoa msaada wa kisheria katika nyanja mbalimbali.Mtumiaji anauchaguzi mpana anaweza kutumia kwa ujumbe, sauti na hata video, watumiaji wanasema haya ni mapinduzi makubwa ya teknolojia katika nyanja ya sheria.
Biden na Xi Jinping wakabiliana kwa njia ya simu
Biden na Xi Jinping wakabliana kwa simu
Uganda yaruhusu matuimizi ya simu janja shuleni
Kutamalaki kwa teknolojia kunalazimisha kuvunja miiko na taratibu kwa baadhi ya nchi na jamii ilizojiwekea. huko Uganda baada ya waliomu kuona kuna haja ya wanafunzi kuanza kutumia simu janja darasani kwa ajili ya masomo serikali imeruhusu, lakini bado wazazi na walezi wanapata wasiwasi, juu ya mienendo ya vijana wao dhidi ya ulimwengu wa teknolojia.
Marekani na Urusi kuzungumza juu ya mgogoro wa Ukraine
Urusi yasema Umoja wa Ulaya na Marekani zimepuuza mapendekezo ya kutaka ipewe uhakika juu ya usalama wake.
App ya simu ya kukodisha trekta nchini Kenya, "Hello Trekta"
Nchini Kenya kuna App mpya "Hello Trekta" ambayo imezinduliwa kuwawezesha wakulima kukodi matrekta kwa urahisi. ni App inayowaunganisha wakulima wasiokuwa na uwezo wa kumiliki mashine zao wenyewe na wamiliki wa matrekta kwa njia ya simu ya mkononi. Utasikia pia jinsi utumiaji wa kupindukia wa simu za mikononi unavyoharibu ubongo wa binadamu. Yote hayo ni kwenye kipindi cha Sema Uvume.
'Kikao App' kwa ajili ya mikutano kwa njia ya video
Kipindi cha Sema Uvume kinaangazia Programu ya Kikao ambayo imeanzishwa na vijana nchini Tanzania kwa ajili ya kufanya mikutano kwa njia ya video. Utasikia pia taarifa zinazohusu kufungwa kwa Apps kadhaa nchini China. Msimulizi ni Sylvia Mwehozi.
Ni kwa nini vijana wanapenda kuzima milio ya simu zao?
Makala hii ya vijana mchakamchaka inaangalia muenendo wa vijana kupendelea kuzima milio ya simu zao na kugeukia mawasiliano ya maandishi. Msimulizi ni Bruce Amani
Programu ya simu 'Haki Yangu App'
Katika makala ya Sema Uvume, safari hii utasikia kuhusu programu ya mtandaoni ya kutoa misaada kwako kujua haki zako. Hawa Bihoga anakufahamisha zaidi kuhusu 'Haki Yangu App'.
Mwanaharakati afungua shauri kortini kupinga uhalali wa tozo ya miamala ya simu Tanzania
Mwanaharakati Odero Charles Odero afungua shauri kortini kupinga uhalali wa tozo ya miamala ya simu, Tanzania. Odero anataka gharama hizo zipunguzwe au ziondolewe kabisa. Sikiliza mahojiano kamili na Rashid Chilumba.
Maoni: Tanzania na nyongeza ya tozo kwenye miamala ya simu
Kipindi cha Maoni kinajadili nyongeza ya tozo kwenye miamala ya fedha kwa njia ya simu iliyozusha malalamiko ya umma.
Changamoto ya mawasiliano mpakani Tanzania na Msumbiji
Kipindi hiki cha Makala yetu leo kinaangazia changamoto ya mawasiliano ya simu katika maeneo ya vijiji vya mpakani mwa Tanzania na Msumbiji.
Mwanadada aliyetengeneza Hedhi App inayotoa msaada kwa wanawake
Kutana na Flora Njelekela mwanaharakati wa masuala ya hedhi salama ambaye ameamua kutengeneza programu ya simu ambayo inatoa msaada kwa wanawake katika masuala yote ya hedhi ikiwemo taarifa sahihi na kuwakutanisha wanawake na madaktari ili kutatua changamoto za wakati wa hedhi. Video na Hawa Bihoga.
Simu mpya zilizotengenezwa Uganda kupima homa ya COVID
Simu mpya ya smartphone iliyozinduliwa hivi karibuni huko Uganda, imewekewa kifaa cha kupima joto na hivyo kusaidia katika mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya corona. Karibu sana katika Sema Uvume na mtayarishaji ni Sylvia Mwehozi.
Athari za kuangalia simu kwa muda mrefu
Je mwanga kutokana na vifaa kama kompyuta runinga na nyinginezo huweza kuathiri macho pamoja na uono wako? Athari zake kwa macho ni zipi? Daktari anatoa maelezo kwenye Kurunzi
Mawasiliano ya simu kati ya UAE na Israel yarejea hewani
huduma hizo zilikatika mwaka 1971
Sema Uvume na Smartphones za Afrika
Yusra Buwayhid anaangazia kampuni ya Mara ya Dubai iliyoanza kutengeneza simu za kisasa barani Afrika.
Sudan Kusini yazindua mfumo wa kutumia simu kutuma pesa.
Mfumo wa kutuma na kupokea pesa kutumia simu umezinduliwa nchini Sudan Kusini.
DW sasa moja kwa moja kupitia Telegram
Unaweza kupokea habari, picha, vidio na sauti zenye ujumbe wa kukuchangamsha moja kwa moja kwenye simu yako.
Fairphone - kampuni ya simu inayozingatia maadili
Je, unajua kama simu yako inaweza kuwa inachangia migogoro na kuchafua mazingira?
Mawasiliano ya simu kati ya wanasiasa Tanzania yadukuliwa?
Wadadisi wa mambo wanaona kwamba kuna jambo linaloendelea kufukuta ndani CCM
Mwanafunzi ashikiliwa kwa kumuuwa mwalimu Kenya
Mwanafunzi wa kidato cha nne akamatwa kwa kumuuwa mwalimu nchini Kenya
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 3
Ukurasa unaofuatia