You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Uchaguzi Mkuu Kenya 2017
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Kenya yasaka mikopo zaidi kutoka China
Mradi huo unajulikana kama Belt and Road Initiative
Rais Ruto amhamisha waziri wa mambo ya nje Alfred Mutua
Waziri Alfred Mutua amekuwa akipigia chapuo suala la kupeleka wanajeshi nchini Haiti kusaidia kurejesha utulivu.
Wakaazi wa Busia waanza kuhama wakihofia El Nino
Hii ni kufuatia utabiri uliotolewa na idara ya hali ya hewa kwamba kutashuhudiwa mvua kubwa za El Nino mwezi ujao.
Helikopta ya jeshi la Kenya yaanguka Somalia
Helikopta ya jeshi la Kenya imeanguka karibu na mpaka wa Somalia na kusababisha vifo vya watu wapatao wanane.
Mackenzie kusalia kizuizini miezi sita zaidi
Mahakama ilisema mshukiwa huyo angeliendelea kuwa mikononi mwa vyombo vya usalama wakati ushahidi ukikusanywa.
Wakenya walia na bei mpya za petroli na dizeli
Bei hizo mpya za mafuta zilizoanza kutumika Ijumaa zitaathiri sekta ya usafiri wa matatu unaotumiwa na Wakenya wengi.
Kenya: Mwaka wa kwanza mgumu kwa Ruto madarakani
Ghara za chakula na kodi ziko juu, upinzani ni mkali na Wakenya wengi wana hasira na utawala wa Rais William Ruto.
Matumizi ya Mihadharati yaongezeka Kenya
Matumizi ya dawa za kulevya nchini Kenya yanazidi kuongezeka. Matumizi yake sasa yanavuka mipaka na kuingia katika milango ya taasisi za elimu ya juu, kunakopikwa wanafunzi watakaotoa mwelekeo wa taifa siku za baadaye na inasikitisha kwamba nusu ya idadi ya wanafunzi huko ni watumiaji wa dawa za kulevya. Shisia Wasilwa anasimulia.
Hazina: Deni la Kenya lapanda hadi kiwango cha kihistoria
Ruto amesisitiza nyongeza ya ushuru inahitajika ili kuunda nafasi za kazi na kujaza hazina ya serikali.
Mazungumzo ya kusaka maridhiano Kenya kuanza Jumatano
Bado Rais William Ruto na mkuu wa upinzani, Raila Odinga, wanaendelea kutupiana maneno makali baina yao.
Waathirika mashambulizi ya ubalozi wa Marekani hawajafidiwa
Zaidi ya watu 200 waliuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa kwenye mashambulizi hayo yaliyofanywa na kundi la al-Qaida.
Ethiopia yaipa Kenya masharti ya mazungumzo baina yao
Ethiopia imetoa masharti makali kwa Kenya kabla ya kushiriki mazungumzo ya amani ya kutuliza wasiwasi mpakani mwao.
Vikosi vya usalama Kenya vyauwa wapiganaji 60 wa al-Shabaab
Vikosi vya usalama vya Kenya vimewauwa karibu wapiganaji 60 wa kundi la itikadi kali za kiislamu la al-Shabaab.
Obasanjo aingia kati kuwapatanisha Ruto, Raila
Odinga na Ruto wameridhia kusaka muafaka baada ya vikao vyao na rais wa zamani wa Nigeria, Olusegun Obasanjo.
Haiti yakubali kupokea kikosi cha askari wa Kenya
Haiti imelikubali pendekezo la Kenya kuongoza kikosi cha kimataifa cha askari 1,000 kuimarisha usalama nchini humo.
Ruto aanza ziara pwani ya Kenya
Rais William Ruto ameanza ziara yake ya siku tano katika eneo la pwani ya Kenya, kwa kuzitembelea Lamu na Tana River.
Dhulma na ubaguzi dhidi ya wajane na mayatima nchini Kenya
Madhila wanayopitia wajane na mayatima katika baadhi ya jamii nchini Kenya
Amnesty yailaumu Kenya uvunjifu haki za binaadamu
Naibu Rais Rigathi Gachagua ameyaita maandamano ya upinzani kuwa ni aibu yenye maafa na uharibifu wa kusikitisha.
Maandamano ya upinzani yaendelea kuiandama Kenya
Aidha kumetokea hofu ya kuzuka mapigano ya kikabila katika mpaka wa majimbo mawili ya eneo la Nyanza na Bonde la Ufa.
Afrika Mashariki iendelee kuleta amani Kongo - Kenyatta
Mpatanishi huyo maalum wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwenye mzozo huo alikuwa kwenye ziara mashariki mwa Kongo.
Watu 6 wauawa katika maandamano ya upinzani Kenya
Polisi walikuwa wameyapiga marufuku maandamano hayo ya kitaifa na waliopatikana barabarani walikamatwa
Mapigano yazuka tena Rutshuru kati ya M23 na Mai Mai
Mpatanishi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais wa zamani wa Kenya - Uhuru Kenyatta, anatarajiwa kuwasili Goma
Sudan yakataa kushiriki mkutano wa IGAD na Kenya
Wizara ya mambo ya nje ya Sudan ilisema katika taarifa kuwa ujumbe wake isingelishiriki ikiwa Kenya haikuondolewa.
Polisi Kenya washutumiwa kutumia nguvu kupita kiasi
Familia za wahanga na wanaharakati wanataka Kamisheni ya Usimamizi na Uchunguzi wa Polisi ifanye uchunguzi wa kina.
Kenya yaandaa kongamano na mifum ya afya Afrika Mashariki
Hii ni mara ya kwanza kwa Kenya kuwa mwenyeji wa kongamano hilo katika eneo la Afrika Mashariki.
Rais wa Kenya Ruto asaini mswada wa fedha 2023
Rais William Ruto alitia saini mswada wa fedha wa 2023 kuwa sheria na kodi mpya zitaanza kukusanywa Julai mosi mwaka huu
Wakimbizi Kakuma, Dadaab waitaka Kenya kulegeza vikwazo
Wengi wa wakimbizi hao hawana nyaraka rasmi zinazowaruhusu kuendesha biashara nje ya kambi hizo kubwa nchini Kenya
Kenya, Umoja wa Ulaya zasaini mkataba wa kibiashara
Mazungumzo yalianza muongo mmoja uliopita kati ya EU na mataifa 5 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki
Ruto aapa kuwakutanisha majenerali hasimu wa Sudan
Rais Ruto amesema Kenya inajitolea kuwakutanisha ana kwa ana majenerali Burhan na Dagalo ili kusuluhisha mzozo wa Sudan.
Msitu wa Shakahola kugeuzwa kituo cha kumbukumbu ya kitaifa
Miili 6 ilifukuliwa katika awamu ya tatu ya ufukuaji iliyoanza wiki hii.
Upinzani Kenya waituhumu serikali kukandamiza vijana
Muungano wa upinzani nchini Kenya unadai serikali inatumia kisingizio cha kundi haramu la mungiki kuwagandamiza vijana
Waliofukuliwa Shakahola wafikia 211
Idadi ya watu walioripotiwa kuwa hawajulikani walipo imefikia watu 610.
Afya Yako: Maambukizo ya Ukimwi kwa vijana wadogo Kenya
Idadi ya maambukizo ya Ukimwi kwa vijana walio na umri mdogo nchini Kenya yako juu.
Mke wa Dedan Kimathi afariki dunia
Mjane wa shujaa wa Mau Mau aliyeongoza vita dhidi ya Waingereza nchini Kenya, Dedan Kimathi, amefariki dunia.
Kansela Scholz azungumza na Rais Ruto
Kansela Olaf Scholz wa Ujerumani amekutana na kufanya mazungumzo na Rais William Ruto wa Kenya akiwa ziarani Afrika.
Kansela Scholz ziarani Kenya
Scholz leo anaendelea na ziara yake barani Afrika kwa kuitembelea Kenya na kufanya mazungumzo ya kisiasa.
Guterres ziarani Kenya kujadili hali Sudan
Kenya ni mshirika muhimu katika shirika la maendeleo ya eneo la pembe ya Afrika, IGAD.
Mapigano ya Sudan yaingia siku ya sita na kuua watu 300
Jumuiya za kikanda na kimataifa nazo zinajaribu kutoa wito wa kukomeshwa kwa mapigano na kuwaondoa raia Khartoum
Kenya kuwahamisha raia wake waliokwama Sudan
Kwa mujibu wa Shirika la madaktari wasio na mipaka MSF, hali tete inafanya vigumu kwa wagonjwa kupokea huduma za afya
Rais Ruto awaomba wapinzani kutoa nafasi kwa mazungumzo
Mazungumzo kati ya pande hasimu yanatarajiwa kuanza siku ya Jumatano, lakini kuna mabishano kuhusu maudhui na washiriki.
Tuhuma za upendeleo na ukabila katika serikali ya Kenya
Madai hayo yameibuka katika wakati joto la kisiasa linazidi kupanda ikiwemo mvutano kati ya serikali na upinzani
Maandamano ya upinzani kuendelea baada ya Ramadhan
Kiongozi wa muungano wa upinzani wa Azimio la Umoja nchini Kenya Raila Odinga, amesema kuwa maandamano ya kuipinga serikali yataendelea tena baada ya mwezi mtukufu wa ramadhan sambamba na mazungumzo ya mapatano. Herman Manyora mchambuzi wa siasa anazungumzia hilo kutoka Nairobi
Serikali na upinzani kuanza mazungumzo nchini Kenya
Wanasiasa Kenya kuanza mazungumzo ya kumaliza mivutano
Kenya kuzindua satelaiti mpya ya Taifa-1
Satelaiti hiyo itazinduliwa katika kituo cha usafiri wa anga cha Vandenberg jijini Carlifonia, Marekani mnamo Aprili 10
Waandishi walengwa katika maandamano Kenya
Baraza la Waandishi Habari nchini Kenya, MCK limesema waandishi 25 wameshambuliwa tangu maandamano yalipoanza Machi
Hali ya Kenya yatia wasiwasi
Hali ya wasiwasi imetanda katika mtaa wa Kibra jijini Nairobi leo kufuatia uharibifu uliofanyika wakati wa maandamano.
Umoja wa Afrika waonesha wasiwasi maandamano Kenya
Moussa Mahamat amesema ana wasiwasi mkubwa baada ya maandamano ya kuipinga serikali nchini Kenya kugeuka kuwa machafuko
Kenya, Ujerumani kuondowa vikwazo vya ushuru
Kenya na Ujerumani zimekubaliana kuondowa vizuizi visivyohusiana na ushuru na kupunguza gharama za kibiashara.
Kenya Airways yapata hasara nyengine
Kenya Airways imesema imepata hasara ya dola milioni 290 katika kipindi cha mwaka uliopita.
Rais Ruto atoa wito kwa Raila kuandaa maandamano ya amani
Rais Ruto atoa wito kwa Raila kuandaa maandamano ya amani
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 23
Ukurasa unaofuatia