Wabunge Poland wanajiandaa kuipigia kura serikali ya Tusk
12 Desemba 2023Matangazo
Utawala wake unaounga mkono Umoja huo unatarajiwa kuungwa mkono kwa kiasi kikubwa ili kumaliza kipindi cha miaka minane cha Poand kuwa chini ya utawala wa vyama vya siasa kali za mrengo wa kulia
Soma pia:Donald Tusk atarajiwa kuwa waziri mkuu wa Poland
Tusk, aliyewahi kuwa Waziri Mkuu nchini humo kuanzia mwaka 2007 hadi 2014 na baadae kuwa rais wa Baraza la Ulaya kuanzia mwaka 2014 hadi 2019 ameahidi kuanzisha tena mtiririko wa mabilioni ya dolamsaada wa Umoja wa Ulaya kwa nchi hiyo uliokuwa umezuiliwa kutokana na mvutano wa muda mrefu kati ya Umoja huo na serikali inayoondoka ya Andrezej Duda