You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wasichana wa Chibok
Ruka sehemu inayofuata Habari
Habari
27.12.2024
27 Desemba 2024
Takriban watu 10 wauawa kimakosa na jeshi Nigeria
23.12.2024
23 Desemba 2024
Mechi za kufuzu CHAN 2025 zaendelea barani Afrika
22.12.2024
22 Desemba 2024
Idadi ya waliokufa kwa mkanyagano Nigeria yafikia 32
20.12.2024
20 Desemba 2024
Watoto 35 wapoteza maisha kwenye mkanyagano Nigeria
Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi
Ripoti na Uchambuzi
Akusudia kusafiri kwa pikipiki kutoka Kenya hadi Nigeria
Akusudia kusafiri kwa pikipiki kutoka Kenya hadi Nigeria
Ebaide Joy anakusudia kuvunja rekodi ya kuwa mwanamke wa kwanza wa kiafrika kusafiri kwa pikipiki kutoka Mombasa hadi Lagos. Miaka 10 iliyopita Ebaide alipata ajali mbaya ya mgongo lakini sasa amepona na bado anataka kutimiza ndoto zake.
Migogoro Afrika imevuruga elimu kwa mamilioni ya watoto
Migogoro Afrika imevuruga elimu kwa mamilioni ya watoto
Zaidi ya shule 14,000 katika maeneo hayo zilifungwa katika robo ya pili ya 2024, ikiwa ni sawa na shule 1,000 zaidi.
04.09.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
04.09.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
China na Nigeria kuhimiza ushirikiano katika masuala ya fedha. Umoja wa Ulaya waikosoa Mongolia kwa kutomkamata rais wa Urusi, Vladimir Putin. Na Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine apigwa risasi na kujeruhiwa mguuni.
WHO yaitisha mkutano kuujadili ugonjwa wa homa ya nyani
WHO yaitisha mkutano kuujadili ugonjwa wa homa ya nyani
Nchini Nigeria visa 39 vya ugonjwa huo wa homa yanyani vimerekodiwa na tangu mwanzoni mwa mwaka huu.
Rais wa Nigeria atoa wito wa kusitishwa kwa maandamano
Rais wa Nigeria atoa wito wa kusitishwa kwa maandamano
Maandamano nchini Nigeria yameendelea kwa siku ya nne katika maeneo machache ikiwa ni pamoja na mjini Lagos.
Watu 13 wauawa katika siku ya kwanza ya maandamano Nigeria
Watu 13 wauawa katika siku ya kwanza ya maandamano Nigeria
Maandamano ya kupinga ongezeko la gharama ya maisha nchini Nigeria yanaingia siku yake ya pili hii leo Ijumaa.
Onesha zaidi
Matangazo
Ruka sehemu inayofuata Yenye kuangaziwa
Yenye kuangaziwa
Je, Germany inapaswa kupanua ushirikiano kanda ya Sahel?
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock aliashiria mwaka jana umuhimu wa ukanda wa Sahel kwa nchi yake.
Madai ya ubakaji dhidi ya TB Joshua yawatikisa Wanjilisti
Mwinjilisti wa televisheni wa Nigeria marehemu TB Joshua anatuhumiwa kufanya unyanyasaji mkubwa wa kingono.
Uganda yapinga kuondolewa AGOA
Hii ina maana kuwa Uganda imepoteza soko la bidhaa zake mbalimbali ikiwemo zile za vitu vya sanaa, viungo na ngozi.
Je, Rais Bola Tinubu ndio suluhu ya matatizo ya Nigeria?
Wachambuzi wanatilia shaka ikiwa kiongozi huyo ni mtu sahihi wa kukabiliana na changamoto chungu nzima zinazomngojea.
Maudhui yote (955) kwenye mada hii