You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza David Lammy azuru India
Waziri Lammy atakutana na waziri mwenzake wa mambo ya nje wa India S. Jaishankar na waziri wa biashara Piyush Goyal.
Mawaziri EU wahadhari wito wa kususia mikutano ya Hungary
Waziri Mkuu wa Hungary, ambayo ndiyo mwenyekiti wa mzunguko wa EU, alifanya ziara ya "amani" Urusi.
Mawaziri wa EU kukutana na kuijadili Ukraine na Gaza
Mawaziri wa mambo ya nje wa mataifa wanachama wa Umoja wa Ulaya wakutana mjini Brussels
Rais Zelensky alihutubia Baraza la Mawaziri la Uingereza
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amekuwa kiongozi wa kwanza wa kigeni kulihutubia baraza la mawaziri la Uingereza.
Zelensky ahutubia Baraza la Mawaziri la Uingereza
Rais Volodymyr Zelensky amepokea pongezi nyingi kutoka kwa mawaziri wa Uingereza.
Starmer aahidi kufufua uhusiano na Ulaya
Starmer amewaambia zaidi ya viongozi 45 wa Ulaya kwamba Uingereza itakuwa "rafiki na mshirika wao wa karibu.”
Je, wingi wa von der Leyen EU unatosha kumpa mhula wa pili?
Ursula von der Leyen anakabiliwa na kura ngumu akitafuta mhula wa pili kama rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya.
Southgate ajiuzulu kama kocha wa England
England ilipoteza fainali ya pili mfululizo ya mashindano ya Ulaya baada ya kupigwa 2 - 1 na Uhispania.
Tume ya Ulaya kuususia kwa kiasi Urais wa EU wa Hungary
Hungary ndiyo inashikilia urais wa kupokezana wa Umoja wa Ulaya kwa kipindi cha miezi sita.
Polisi yamsaka aliyeweka mabaki ya miili ya watu sandukuni
Polisi bado inawasaka watu wengine wanaohusika na miili iliyotelekezwa.
Rwanda yafahamu nia ya Uingereza juu ya mpango wa uhamiaji
Waziri mkuu wa Uingereza ametangaza kufutilia mbali mpango wa uhamiaji na Rwanda.
Waziri Mkuu mpya wa Uingereza ziarani Ireland Kaskazini
Starmer anabeba matumaini ya kurejesha utulivu na maelewano kwa mahusiano ya Uingereza na Ireland
Starmer aanza kazi kwa kufuta mpango wa uhamiaji wa Sunak
Serikali ya Starmer inakabiliwa na changamoto chungu nzima zikiwemo za kiuchumi na kisiasa.
Keir Starmer: Mpango wa kuwapeleka wahamiaji Rwanda umekufa
Uhamiaji limekuwa suala kuu la kisiasa tangu Uingereza ilipojitoa kutoka kwa Umoja wa Ulaya mwaka 2020.
Keir Starmer aanza kazi rasmi hii leo
ama cha Labour kimejikusanyia viti 412 kwenye uchaguzi wa Alhamisi wiki hii.
Starmer aanza 'ujenzi mpya' alioahidi
Waziri mkuu mteule wa Uingereza, Keir Starmer, anaanza rasmi kazi yake mpya hivi leo.
Keir Starmer aanza majukumu kama Waziri Mkuu wa Uingereza
Starmer anakuwa Waziri Mkuu baada ya chama chake cha Labour kukishinda chama cha Conservative.
Nini kitarajiwe baada ya Labour kurudi madarakani Uingereza?
Baada ya miaka 14 ya kuiongoza Uingereza, chama cha Conservative chini ya Rishi Sunak kimepoteza mamlaka katika uchaguzi uliokipatia ushindi wa mserereko chama cha upinzani cha Labour kinachoongozwa na Keir Starmer. Kipi kilichokiibua chama hicho? Ahmed Rajab mchambuzi wa siasa za kimataifa aliyeko jijini London, alizungumza na mwenzetu Sudi Mnette.
Keir Starmer achukua wadhifa wa Waziri Mkuu wa Uingereza
Kiongozi wa chama cha Labour cha Uingereza Keir Starmer amechukua wadhifa wa Waziri Mkuu leo.
Keir Starmer wa Labour ajiandaa kuiongoza Uingereza
Chama cha Labour kimepata karibu viti 326 na kupindukia viti vinavyohitajika kupata ushindi mkubwa wa moja kwa moja.
Labour kuzowa viti 410, Conservative yaambulia 131 tu
Utabiri baada ya kura kupigwa nchini Uingereza unaonesha kuwa chama cha Labour kimeibuka na ushindi wa kishindo.
Ten Hag arefusha mkataba United
Ten Hag amesema ana furaha kufikia makubaliano na klabu ya kuendelea kuwa pamoja, na bado kuna kazi ngumu ya kufanywa.
Mamilioni ya Waingereza wapiga kura katika uchaguzi mkuu
Waingereza wanapiga kura katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kukirejesha madarakani chama cha upinzani cha Labour.
Uingereza yapiga kura huku wapinzani wakitarajia ushindi
Chama cha Labour kiko mbioni kupata idadi kubwa ya kura na kuunda serikali mpya kwa mara ya kwanza katika miaka 14.
Starmer atabiriwa kumbwaga Sunak uchaguzi Uingereza
Waingereza wanapiga kura kwenye uchaguzi mkuu huku kiongozi wa chama cha upinzani cha Labour akitabiriwa ushindi.
Labour yatabiriwa kuwagaragaza Conservative uchaguzi UK
Chama cha Labour kimeongoza kwa alama 20 dhidi ya Conservative kwa muda wa miaka mwili iliyopita.
Uingereza yahofia udukuzi katika uchaguzi wake mkuu
Naibu waziri mkuu wa Uingereza Oliver Dowden ameonya kwamba uchaguzi mkuu ujao unakabiliwa na vitisho.
Viongozi wakuu wa Ulaya wateua timu ya kuiongoza EU
Kundi la vyama vya mrengo mkali wa kulia limelalamika kuachawa nje kwenye ugawaji wa nafasi za juu za Baraza la Ulaya.
Viongozi wa EU wamteuwa von der Leyen kwa muhula wa pili
Uteuzi wa Von der Leyen ulifikiwa Jumanne, lakini uamuzi rasmi ulifanywa Alhamisi katika mkutano wa Umoja wa Ulaya.
Rais Zelensky asaini makubaliano ya kiusalama na EU
Rais wa Ukraine Volodymr Zelenskiy amesaini makubaliano ya kiusalama na Umoja wa Ulaya
Brussels yaimarisha usalama kuelekea mkutano wa kilele wa EU
Usalama umeimarishwa mjini Brussels wakati viongozi wa Umoja wa Ulaya wakikusanyika kwa ajili ya mkutano wa kilele.
Sunak, Starmer wakabiliana katika mdahalo wa Uingereza
Viongozi hao wawili walishambuliana vikali kuhusu uaminifu wao na wa vyama vyao kabla ya uchaguzi wa Uingereza.
Ukraine inajiandaa na majadiliano ya kujiunga na EU
Hatua hii inafaynika ikiwa ni zaidi ya miaka miwili tangu kuanza vita vya uvamizi wa Urusi.
EU yaidhinisha msaada zaidi wa kijeshi kwa Ukraine
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya wameidhinisha msaada wa kijeshi wa dola bilioni 1.4 kwa ajili ya Ukraine.
Scholz azirai EU na China kujadiliana mvutano kuhusu ushuru
Kansela wa Ujerumani amehimiza China na Umoja wa Ulaya kutumia nafasi ya majadiliano kutatua mvutano kuhusu ushuru.
Umoja wa Ulaya waridhia vikwazo vipya dhidi ya Urusi
Mataifa ya Umoja wa Ulaya yameridhia juu ya nyongeza ya vikwazo vipya dhidi ya Urusi kutokana na vita vyake Ukraine.
Urais wa Hungary utaimarisha au kuudhoofisha Umoja wa Ulaya?
Hungary itachukua urais wa kupokezana wa baraza la Umoja wa Ulaya mnamo Julai mosi. Hilo litabadili kitu gani?
EU kushirikiana kiusalama na ulinzi na Japan, Korea Kusini
Umoja wa Ulaya unatafuta ushirikiano wa sekta ya ulinzi na Japan, Korea Kusini
Nchi za EU zakubaliana kuiwekea Urusi vikwazo vipya
Urusi imejitahidi kutafuta njia ya kuvikwepa vikwazo hivyo ili kuweza kuendesha uchumi na shughuli zake za kijeshi.
Viongozi wa EU wakutana kujadili matokeo ya uchaguzi
Viongozi 27 wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya wapo mjini Brussels kutathmini matokeo ya uchaguzi wa bunge la Ulaya.
Je, EU inaanzisha vita vya biashara na China
Umoja wa Ulaya umetangaza kupandisha ushuru kwa magari ya umeme ya China. Je, ni vita vya biashara?
England yapata ushindi wa tabu dhidi ya Serbia
England inateremka tena uwanjani siku ya Alhamisi kucheza dhidi ya Denmark katika uwanja wa Deutsche Bank Park.
Ufaransa, Ujerumani, Uingereza zalaani Iran kuhusu nyuklia
Washirika hao watatu wamesema hatua za Irak zinadhoofisha makubaliano ya nyuklia ya 2015 kuhusu mpango wake wa nyuklia.
Chama cha Labour chaahidi neema Uingereza
Labour inaongoza maoni ya wapigakura, ikiashiria kuwa kiongozi wake Keir Starmer ndiyo Waziri Mkuu ajae wa UK.
Chama cha Labour chazindua ilani kuelekea uchaguzi Uingereza
Chama kikuu cha upinzani nchini Uingereza cha Labour kimezindua ilani yake ya uchaguzi kuelekea uchaguzi mwezi ujao.
Rwanda yaituhumu UNHCR kwa kudanganya kuhusu wahamiaji
Viongozi wa Rwanda wakanusha tuhuma kuwa waomba hifadhi wanaosubiri kupelekwa katika nchi hiyo huenda wakahamishwa tena.
Hungary yakubali kutopinga msaada wa NATO kwa Ukraine
Serikali ya Hungary imekubali kutopinga uungaji mkono wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO kwa Ukraine.
Hong Kong yafutilia mbali pasi za usafiri za wanaharakati
Serikali ya Hong Kong imesema imezifutilia mbali pasi za usafiri za wanaharakati sita wa demokrasia waliokimbia nje.
UN : Mfumo wa hifadhi ya wakimbizi wa Rwanda haujitoshelezi
Shirika la wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limesema mfumo wa kuwahifadhi wakimbizi wa Rwanda bado haujitoshelezi.
UN: Mfumo wa hifadhi ya wakimbizi wa Rwanda haujitoshelezi
UN: Mfumo wa hifadhi ya wakimbizi wa Rwanda haujitoshelezi
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 4 wa 46
Ukurasa unaofuatia