You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Matangazo
Bunge
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Uchaguzi wa wabunge wafanyika Mauritius
Raia nchini Mauritius wanashiriki kupiga kura katika uchaguzi wa wabunge unaotarajiwa pia kuamua nafasi ya Waziri Mkuu.
Georgia yafanya uchaguzi wa bunge
Georgia yafanya uchaguzi wa bunge huku mustakabali wa EU ukiwa hatarini ikiwa viongozi wa sasa wataibuka na ushindi.
Korea Kaskazini yashtumiwa kwa kuwapeleka wanajeshi Urusi
Bunge la Urusi laidhinisha mkataba wa ulinzi na Korea Kaskazini unaoagiza kusaidiana kijeshi wakati wa uchokozi.
US yachunguza kuvuja nyaraka za shambulio la dhidi ya Iran
Marekani inafanya uchunguzi kuhusu kuvuja kwa nyaraka za siri zinazohusu mpango wa shambulio la Israel dhidi ya Iran.
Rigathi Gachagua amshutumu bosi wake Ruto kwa ukatili
Gachagua alisema alishtushwa na jinsi mtu aliyemsaidia kuwa rais na kumwamini, anaweza kuwa na ukatili mkubwa dhidi yake
Mahakama Kuu Kenya yasimamisha mchakato wa kumtoa Gachagua
Uamuzi huo umetolewa na Jaji Enock Chacha Mwita, ambaye anatowa zuio la muda hadi hapo tarehe 24 Oktoba.
Ruto amteua Kindiki kuwa naibu mpya wa rais wa Kenya
Utaratibu wa kumuidhinisha Kithure Kindiki, waziri wa usalama wa taifa, kuchukua nafasi ya naibu wa rais umekamilika.
Naibu Rais wa Kenya 'anaumwa sana' mawakili wake wasema
Wakili mkuu wa naibu rais wa Kenya Rigathi Gachagua aliambia seneti kuwa Gachagua "anaumwa sana" na amelazwa hospitali.
Gachagua augua ghafla katikati mwa kesi yake mbele ya Seneti
Wakili wa Gachagua Paul Muite ameliambia Baraza la Seneti kuwa Gachagua yuko taabani na amelazwa hospitalini.
Seneti ya Kenya kupiga kura kumuondoa naibu rais mamlakani
Baraza la Seneti nchini Kenya limeanzisha kikao cha siku ya pili kumuondoa madarakani naibu wa rais Rigathi Gachagua.
Seneti ya Kenya kupiga kura kuamua hatma ya Gachagua
Naibu wa Rais wa Kenya Rigathi Gachagua anasubiri kuijua hatma yake wakati maseneta wanajiandaa kupiga kura dhidi yake.
Baraza la Seneti laanza kujadili hoja ya kuondolewa Gachagua
Seneti ya Kenya imeanza kujadili muswada uliopitishwa na Bunge kuhusu kuondolewa madarakani kwa Rigathi Gachagua.
Ujerumani inahitaji kuongeza wanajeshi
Ujerumani inahitaji wanajeshi wengine wasiopungua 35,000 ili kukidhi mahitaji mapya ya Jumuiya ya kujihami ya NATO
Bunge la Ujerumani kujadili ulinzi wa Mahakama ya Katiba
Wabunge wa Ujerumani watajadiliana kuhusu pendekezo la kuimarisha ulinzi wa Mahakama ya Katiba ya nchi hiyo Alhamis, wak
Baraza la Seneti Kenya kujadili hoja ya kuondolewa Gachagua
Wakenya wamegawanyika na wanatoa maoni yao mseto kuhusu mchakato huo wa kumuondoa naibu wa rais Gachagua madarakani.
Baraza la Seneti Kenya kujadili hoja ya kuondolewa Gachagua
Maseneta Kenya wakutana baada ya Bunge la Taifa Jumanne usiku kupiga kura ya kumuondoa madarakani Naibu Rais Gachagua.
Bunge la Kenya lapiga kura kumuondoa madarakani Gachagua
Wabunge 281 wamepiga kura ya kuunga mkono hoja ya kumuondoa Gachagua madarakani huku wengine 44 wakiipinga.
Wabunge wa Ethiopia wamchagua rais mpya wa awamu ya tano
Wabunge wa Ethiopia wamchagua rais mpya wa awamu ya tano
Wabunge wa Kenya kupiga kura ya kumuondoa au la Gachagua
Wabunge wa Kenya kupiga kura ya kumuondoa au la Gachagua
Gachagua akanusha madai ya ufisadi na kujilimbikizia mali
Hoja ya kumuondoa madarakani Gachagua iliwasilishwa mnamo Septemba 26 na mbunge wa Kibwezi Magharibi Mwengi Mutuse.
Dissanayake avunja bunge Sri Lanka
Rais mpya wa Sri Lanka, Anura Kumara Dissanayake, amelivunja bunge la nchi hiyo na kutangaza tarehe mpya ya uchaguzi.
Bunge la Ulaya lamtambua Gonzalez rais halali Venezuela
Bunge la Ulaya limemtambua mgombea wa upinzani wa Venezuela, Edmundo Gonzalez Urrutia, kuwa rais halali wa nchi hiyo.
Rais wa Senegal atangaza kulivunja bunge
Kiongozi wa Senegal Bassirou Diomaye Faye ametangaza kulivunja bunge la nchi hiyo lenye wapinzani wengi.
Scholz na upinzani walumbana bungeni kuhusu uhamiaji
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema upinzani unalitumia swala la uhamiaji kama mtaji wa kisiasa nchini humo.
Bunge la Ukraine lakubali kujiuzulu kwa Kuleba
Bunge la Ukraine limekubali kujiuzulu kwa waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Dmytro Kuleba.
Azerbaijan inafanya uchaguzi wa bunge
Azerbaijan inafanya uchaguzi wa bunge
Manaibu gavana Kenya walalamikia kutokuwa na kazi
Manaibu Gavana nchini Kenya wakiongozwa na Naibu Gavana wa Laikipia Reuben Kamuri wamefika mbele ya kamati ya bunge la S
Macron akwaa kisiki uundwaji wa serikali mpya ya Ufaransa
Zaidi ya wiki 7 tangu kumalizika kwa uchaguzi wa bunge usiyokuwa na mshindi wa wazi, Macron bado hajateua waziri mkuu.
Seneti ya Marekani kumuhoji naibu mkurugenzi wa CIA
Seneti ya Marekani kumuhoji naibu mkurugenzi wa CIA
China yawashinikiza wabunge kutoka nchi 6 dhidi ya Taiwan
China imekuwa ikitishia kulipiza kisasi dhidi ya wanasiasa na nchi zinazoonyesha kuiunga mkono Taiwan.
Iran yakosoa vikali ziara ya Netanyahu nchini Marekani
Iran: Marekani haikupaswa kumpokea Netanyahu wakati vita vya kikatili vinaendelea Gaza kwa zaidi ya miezi tisa.
Vita vyaendelea Gaza, mchakato wa mazungumzo wakwama
Wizara ya afya huko Gaza imesema kuwa zaidi ya Wapalestina 39,100 wameuawa.
Netanyahu aapa kuendelea na vita Gaza
Netanyahu amewashutumu waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina kwa kuwaita "wajinga wenye manufaa."
Netanyahu kuhutubia Bunge Marekani
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anatarajiwa kulihutubia bunge akiwa ziarani nchini Marekani
Zelensky ahutubia Baraza la Mawaziri la Uingereza
Rais Volodymyr Zelensky amepokea pongezi nyingi kutoka kwa mawaziri wa Uingereza.
Ursula von der Leyen achaguliwa tena
Ursula von der Leyen amechaguliwa kwa muhula wa pili baada ya kuahidi kuunda "muungano wa ulinzi."
Von der Leyen kuongoza tena Halmashauri ya Ulaya
Chama cha mrengo mkali wa kulia cha Ndugu wa Italia cha Waziri Mkuu wa Italia Giorgia kilimpinga von der Leyen.
Roberta Metsola achaguliwa tena kuwa Spika wa Bunge wa Ulaya
Bibi Metsola amechaguliwa na wabunge 562 kati ya wabunge 699 walioshiriki katika kupiga kura.
Wanyarwanda wanapiga kura kuchagua rais na wabunge
Mamilioni ya raia wa Rwanda wanapiga kura katika uchaguzi wa rais na wabunge huku Paul Kagame akitarajiwa kushinda.
Ujerumani yalia na njama ya kumuua mkuu wa kampuni ya silaha
Ikulu ya Kremlin imepuuza taarifa hizo na kuziita habari za upotoshaji zisizopaswa kuchukuliwa kwa uzito wowote.
Wabunge nchini Gambia waunga mkono ripoti dhidi ya ukeketaji
Wabunge 35 wamepiga kura kuidhinisha ripoti dhidi ya ukeketaji wanawake nchini Gambia.
Keir Starmer: Mpango wa kuwapeleka wahamiaji Rwanda umekufa
Uhamiaji limekuwa suala kuu la kisiasa tangu Uingereza ilipojitoa kutoka kwa Umoja wa Ulaya mwaka 2020.
Israel kushiriki tena mazungumzo ya kusitisha vita Gaza
Afisa wa Israel amesema Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu atatuma wajumbe ili kuanza upya mazungumzo ya kusitisha vita Gaza
Vyama vya siasa Ufaransa kuungana kukizuia chama cha Le Pen?
Hatua hiyo ni baada ya chama hicho kupata mafanikio ya kihistoria kwa kushinda duru ya kwanza ya uchaguzi wa Bunge.
Hungary yachukua urais wa zamu wa Umoja wa Ulaya
Hungary yachukua jukumu la urais wa kupokezana wa Jumuiya ya Umoja wa Ulaya.
Chama cha Le Pen chashinda duru ya kwanza ya uchaguzi
Nafasi ya pili imechukuliwa na kundi la vyama vya mrengo wa kushoto. Duru ya pili ya uchaguzi huo itafanyika Julai 7.
Wafaransa wajitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi wa Bunge
Rais Emmanuel Macron aliitisha uchaguzi wa mapema baada ya chama chake kupata pigo katika uchaguzi wa Bunge la Ulaya.
Rais wa India azindua bunge jipya baada ya uchaguzi
Rais wa India amezindua bunge jipya Alhamisi baada ya uchaguzi wa kitaifa na kutaja vipaumbele vya Narendra Modi.
Germany kuwafukuza wanaotoa machapisho ya chuki
Mageuzi hayo ya serikali kuu ya Ujerumani yanalenga kukabiliana na kuenea kwa chuki ikiwemo kupitia mitandao ya kijamii.
Wabunge wa Marekani wakutana na Dalai Lama
Wabunge wa Marekani wamekutana na kiongozi wa kidini wa Tibet, Dalai Lama, na serikali yake iliyo uhamishoni India.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 14
Ukurasa unaofuatia