You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Bunge
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Luxembourg kunafanyika uchaguzi wa bunge
Luxembourg kunafanyika uchaguzi wa bunge
Spika wa bunge la Marekani McCarthy aondelewa madarakani
Kevi McCarthy ndiye spika wa kwanza wa Baraza la Wawakilishi katika historia ya Marekani kupigiwa kura ya kuondolewa.
Kevin McCarthy aondolewa kama Spika wa Bunge la Marekani
Wabunge wa mrengo wa kulia kutoka chama cha Republican wamemtimua spika wa bunge la Marekani katika kura ya kihistoria.
Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani aondolewa
Spika wa Baraza la Wawakilishi la Bunge la Marekani aondolewa
Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani aondolewa.
Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani aondolewa
Ankara: Mlipuko wa bomu karibu na Bunge la Uturuki
Mlipuko wa bomu watokea karibu na majengo ya Bunge jijini Ankara nchini Uturuki.
Iran : Wabunge waidhinisha adhabu kali dhidi ya wanawake
Wabunge wa Iran wamepitisha muswada wa kutaka adhabu kali zaidi kwa wanawake wanaokiuka kanuni ya mavazi ya Kiislamu.
Marekani: Bunge laanzisha uchunguzi wa kumshtaki rais Biden
Ikulu ya Marekani imezitaja juhudi hizo kuwa za mrengo mbaya wa kisiasa
Ujerumani kubana matumizi katika bajeti yake mpya
Makato hayo ni tata kwenye serikali ya shirikisho ambayo muungano wake unahusisha chama cha kansela Olaf Scholz.
Kiongozi wa zamani wa Proud Boys afungwa miaka 22 jela
Tarrio ni mwanachama wa kwanza wa Proud Boys kufungwa kwa kipindi kirefu kuhusiana na shambulizi hilo dhidi ya bunge.
Spika azuia mjadala kuhusu mkataba wa bandari ya Tanzania
Apika Ackson amezuia mjadala juu ya mkataba wa bandari baina ya serikali ya Tanzania na kampuni ya DP World ya Dubai
Raia wa Malaysia wapiga kura kuchaguwa wabunge
Raia nchini Malaysia wanashuka vituoni leo, kwenye majimbo sita kuwachaguwa wabunge wao .
Pakistan kuvunja bunge kutoa nafasi ya uchaguzi mpya
Paskitan inakabiliwa na mkwamo mkubwa wa kisiasa kwa muda mrefu tangu kuondolewa madarakani Imran Khan
Chama cha AfD cha Ujerumani chasema EU ni mradi ulioshindwa
Chama cha siasa kali za mrengo wa kulia cha Mbadala kwa Ujerumani AfD kimetangaza Umoja wa Ulaya kuwa "mradi ulioshindwa
Ujumbe wa Marekani wakutana na wawakilishi wa Taliban, Doha
Maafisa wa Marekani wakutana na wawakilishi wa Taliban mjini Doha, Qatar
AfD chachagua kiongozi wa kampeni uchaguzi wa bunge la Ulaya
Maxmillian Krah ataongoza kampeni za chama cha AfD katika uchaguzi wa mwakani wa bunge la Ulaya
AfD kuamua wagombea wake katika bunge la Ulaya
Chama cha siasa kali za mrengo wa kulia cha Ujerumani AfD kuamua majina ya wagombea uchaguzi ujao wa bunge la Ulaya.
Wawakilishi wa Marekani kukutana na wa utawala wa Taliban
Maafisa wa Marekani watakutana na wawakilishi wa Taliban kujadiliana masuala ya kiuchumi, usalama na haki za wanawake.
Mahakama kuu ya Israeli kusikiliza rufaa ya sheria mpya
Mahakama Kuu ya Israeli imesema itasikiliza rufaa dhidi ya sheria mpya
Chama cha Republican huenda kikatafakari kumuondoa Joe Biden
Chama cha Republican huenda kikatafakari kumuondoa Joe Biden madarakani
Knesset yapitisha sheria tata ya mageuzi ya mahakama
Kiongozi wa upinzani, Yair Lapid, amesema majadiliano ya dakika za mwisho na serikali ya Netanyahu yameshindwa.
Biden, Herzog wazungumzia mivutano ya Israel
Biden, Herzog wazungumzia mivutano ya Israel katika ikulu ya White House nchini Marekani
Scholz: Usalama wa Ujerumani ni kipaumbele
Kansela Olaf Scholz amesema usalama wa taifa lake umepewa kipaumbele katika bajeti ya 2024 kutokana na vita vya Ukraine.
Rais wa Tanzania azindua mkutano wa mabunge wa SADC
Mkutano huo pamoja na mambo mengine umejadili changamoto ya usalama wa chakula katika nchi hizo za SADC.
Ugiriki: Kyriakos Mitsotakis ameapishwa
Wapiga kura wamempa Mitsotakis ushindi mkubwa katika uchaguzi wa marudio uliofanyika ndani ya kipindi cha wiki tano.
Raia wa Sierra Leone wanapiga kura leo
Raia wa Sierra Leone leo wanapiga kura kumchagua rais mpya na wabunge. Uchaguzi huo unakabiliwa na ushindani mkali
Bunge la Lebanon lakosolewa kushindwa kuchagua rais
Bunge la Lebanon sik.u ya Jumatano lilishindwa kwa mara ya 12 kumchagua mtu wa kujaza nafasi hiyo
Wabunge Marekani wahoji uhusiano wa Afrika Kusini na Urusi
Afrika Kusini inatazamiwa kuwa mwenyeji wa Kongamano la kibiashara la AGOA mjini Johannesburg, baadae mwaka huu.
Wanasheria Tanzania wajitosa sakata la kukodisha bandari
Serikali ya Tanzania inataka kukodisha bandari zake kwa kampuni ya DP World ya serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu.
Spika wa bunge Tanzania awaonya waandishi juu ya ripoti za uwongo
Mjadala kuhusu serikali ya Tanzania kuwa mbioni kukodisha bandari zake kwa kampuni ya kigeni ya Dubai bado umeendelea nchini humo wakati spika wa bunge nchini humo, Tulia Akson akivionya vyombo vya habari juu ya kile alichosema kutoa taarifa za upotoshaji kuhusu suala hilo. George Njogopa kutoka Dar es Salaam alituletea ripoti ifuatayo.
Marekani yaepuka hatari ya kushindwa kulipa deni lake.
Mswada ulioidhinishwa na pande mbili unapaswa kutiwa saini na kuwa sheria kabla ya tarehe ya mwisho ya Juni 5.
Bunge la Marekani lapitisha muswada wa ukomo wa kukopa
Rais Joe Biden amesema makubaliano hayo ni habari njema kwa watu wa Marekani
Vyama vya upinzani India vyasusia uzinduzi wa Mordi
Vyama vikuu vya upinzani nchini India vimesusia ufunguzi wa majengo ya bunge uliofanywa na waziri mkuu Narendra Mordi
Wasiwasi waongezeka Marekani kabla ya mkutano kuhusu madeni
Rais Biden alilazimika jana Jumapili kuikatisha ziara yake barani Asia
Wagiriki wapiga kura katika uchaguzi wa bunge
Wagiriki wapiga kura katika uchaguzi wa bunge
Thailand yashiriki uchaguzi wa bunge
Thailand yashiriki uchaguzi wa bunge
Mauritania yaandaa uchaguzi wa bunge na mitaa
Ambao unatarajiwa kuwa mtihani muhimu kuelekea uchaguzi wa rais mwaka ujao.
Scholz ataka Ulaya yenye mageuzi na mtazamo wa kidunia
Kansela Olaf Scholz ametaka Umoja wa Ulaya uliopanuka, wenye kukubali mageuzi na ulio na mtazamo wa kidunia.
Rais wa Ukraine kulihutubia Bunge la Uswisi.
Bunge la Uswisi limeridhia ombi la mamlaka za Ukraine la kumruhusu Rais Volodymyr Zelensky kulihutubia.
Mfalme wa Uingereza Charles lll aanza ziara nchini Ujerumani
Mfalme wa Uingereza Charles lll aanza ziara ya siku tatu nchini Ujerumani
China yapinga Taiwan kukutana na viongozi wa Marekani
China yapnga Rais wa Taiwan kukutana na viongozi wa Marekani.
Bunge la Scotland lamthibitisha Yousaf kuwa Waziri kiongozi
Yousaf ataapishwa kama waziri kiongozi katika sherehe itakayofanyika Jumatano, baada ya kupasishwa na Mfalme Charles
Sharif ataka bunge Pakistan kumchukulia hatua Khan
Waziri Mkuu wa Pakistan Shehbaz Sharif ameliomba bunge kumchukulia hatua mtangulizi wake, Imran Khan.
Bunge la Uingereza launga mkono mkataba wa baada ya Brexit
Boris Johnson amekanusha kuwa alilidanganya bunge kuhusu kashfa inayofahamika kama Partygate.
Ufaransa: Serikali yanusurika kura za kutokuwa na imani nayo
Baraza hilo lina mamlaka ya kukataa vifungu ndani ya miswada lakini kwa kawaida huwa linaiidhinisha.
Kura zahesabiwa Nigeria baada ya uchaguzi wa bunge
Nigeria: Kura zahesabiwa baada ya uchaguzi wa bunge.
Shughuli ya kuhesabu kura imeanza nchini Nigeria.
Shughuli ya kuhesabu kura imeanza nchini Nigeria.
Scholz asema Ukraine itahakikishiwa usalama
Kansela Olaf Scholz amehutubia bunge kutoa muelekeo wa serikali yake kuelekea vita vilivyougawa ulimwengu.
Bunge la Israel lajadili muswada tata wa mageuzi ya mahakama
Bunge la Israel limechukua hatua katika uidhinishaji wa mageuzi ya mahakama yaliyo na utata licha ya maandamano ya umma.
Nchi zipi duniani zinaongoza kwa idadi ya wabunge wanawake?
Kulingana na data kutoka IPU, zipo nchi sita ambazo idadi ya wabunge wanawake ni nusu ya wabunge wote.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 4 wa 14
Ukurasa unaofuatia