You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Bunge
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Urusi yashambulia maeneo mbalimbali nchini Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amezungumza kwa njia ya simu na Spika wa Bunge la Marekani
Katiba mpya Togo: Wabunge sasa kumchagua Rais
Mabadiliko hayo ya katiba yalipendekezwa na kundi la wabunge walio wengi kutoka chama kinachotawala cha UNIR.
UK: Bunge kujadili tena juu ya wakimbizi kupelekwa Rwanda
Kulingana na tangazo la kiongozi wa Bunge Penny Mordaunt, wabunge watalijadili swala hilo tarehe 15 Aprili
Scholz: Nina sababu za kutoipa Ukraine makombora ya Taurus
Scholz ameelezea hofu yake kwamba kwa kuipa Ukraine silaha kutaisukuma Ujerumani kwenye mzozo wa moja kwa moja na Urusi.
AfD cha Ujerumani kutajwa kama kundi la itikadi kali?
Kwa muda mrefu AfD kimekuwa kikivutana na idara za upelelezi nchini Ujerumani kutokana na misimamo mikali.
Mshauri wa zamani wa Trump Navarro aamriwa kuripoti gerezani
Mshauri wa zamani wa Donald Trump Peter Navarro ameagizwa kuripoti gerezani.
Bundestag yapinga kuipatia Ukraine makombora ya Taurus
Uamuzi huu ni pigo kwa serikali mjini Kyiv ambayo imekuwa ikiitaka Ujerumani kuipatia makombora hayo ya kisasa
Baraza la Seneti Marekani lapitisha msaada kwa Ukraine
Baraza la Seneti la Bunge la Marekani limepitisha muswada wenye kitita cha dola bilioni 95.3 unaojumuisha msaada zai
Washirika wa Imran Khan washinda vita vya bunge Pakistan
Matokeo ya uchaguzi yamechelewa kutolewa.
Wabunge watatu wa upinzani wakamatwa Senegal
Hatua hiyo ya kuahirisha uchaguzi imesababisha maandamano makubwa katika miji kadhaa nchini Senegal
Senegal: Wabunge wapitisha mswada wa kuahirisha uchaguzi
Hatua hii imezusha maandamano mapya mjini Dakar
Scholz atarajia Bunge la Marekani kuafikiana kuisaidia Kiev
Kansela huyo wa Ujerumani ataanza siku ya Alhamisi ziara yake mjini Washington.
Maseneta wa Marekani wachapisha rasimu ya mpango wa usalama
Rais Joe Biden amewatolea wito wabunge wa Republican kuunga mkono rasimu hiyo
Je, ni wagombea wepi wanaowania uteuzi wa vyama Marekani?
Wagombea wawili wanawania uteuzi wa chama cha Republican kuelekea uchaguzi mkuu wa Marekani utakaofanyika Novemba 2024.
Sunak apata "pigo" katika kuwapeleka wahamiaji Rwanda
Mpango wenye utata wa serikali ya Uingereza kuwapeleka wahamiaji nchini Rwanda umepata pigo Jumatatu, baada ya Baraza la
Ujerumani yatoa heshima za mwisho kwa Wolfgang Schäuble
Schäuble alihudumu kama mbunge kwa miaka 51
Ujerumani yaifanyia mageuzi sheria ya uraia
Bunge la Ujerumani limeidhinisha sheria inayorahisisha kanuni za kupata uraia.
Bunge Urusi kujadili utaifishaji mali za wapinzani wa vita
Spika wa bunge la Urusi Vyacheslav Volodin amesmea sheria hiyo itawalenga maadui wa taifa na wapinzani wa vita Ukraine.
Chama cha UDPS cha ongoza matokeo ya uchaguzi wa bunge Kongo
Rais Felix Tshisekedi atatakiwa kushirikiana na vyama vingine kadhaa ilikupata uwingi wa viti bungeni.
Trump kuhudhuria kesi dhidi yake katika Mahakama, Washington
Mawakili wa Trump wanajaribu kufuta mashtaka dhidi ya mteja wao kwa hoja mpya kwamba rais wa zamani ana "kinga kamili"
Sheikh Hasina ashinda uchaguzi wa Bunge nchini Bangladesh
Chama cha Hasina hakikukabiliwa na upinzani mkubwa katika viti kinavyopigania.
Uingereza yasusia mkutano wa Kampala wa Jumuiya ya Madola
Kongamano la maspika wa mabunge ya Jumuiya ya Madola mjini Kampala, Uganda limesusiwa na Uingereza.
Waziri wa jimbo la Ujerumani ahimiza usalama zaidi wa mipaka
Wito huo unafuatia maelewano yaliyofikiwa wiki hii na Umoja huo kuhusu waomba hifadhi
Bunge la Ujerumani laidhinisha bajeti ya ziada ya mwaka 2023
Bunge la Ujerumani, Bundestag limeidhinisha bajeti ya nyongeza ya serikali kwa mwaka 2023.
Wabunge waanzisha uchunguzi wa kumuondoa Biden madarakani
Hatua hiyo ina nafasi ndogo mno ya kufaulu kwa kuwa hakuna rais yeyote wa Marekani aliyewahi kuondolewa kwa mchakato huo
Wawakilishi wa COP28 wafikia makubaliano "ya kihistoria"
Wawakilishi wa COP28 wafikia makubaliano "ya kihistoria" ili kuepusha athari mbaya zaidi ya mabadiliko ya tabia nchi.
Chama cha CDU chataka hatua kali dhidi ya uhamiaji Ujerumani
Rasimu ya mpango wa CDU inaitaka pia Ujerumani kukumbatia nishati ya nyuklia ya mgeuzi ya pensheni na soko la ajira.
Maseneta wazuia muswaada wa matumizi kwa Ukraine na Israel
Baraza la Seneti la nchini Marekani limeuzuia muswada wa matumizi kewa Ukraine na Israel
Ujerumani yafanya juhudi kuondoa ukomo wa kukopa
Bunge la Ujerumani leo linawahoji wataalamu kuhusu mipango ya serikali ya kutaka kuondoa ukomo wa kukopa.
Rais wa Guinea-Bissau Umaro Sissoco avunja bunge
Rais wa Guinea-Bissau Umaro Sissoco avunja bunge
LHRC: Wafungwa na walio nje Tanzania washiriki uchaguzi.
Wafungwa na walio nje Tanzania washiriki uchaguzi.
Muungano wa upinzani Poland washinda nafasi ya Spika bungeni
Muungano wa vyama vinavyounga mkono Umoja wa Ulaya nchini Poland, umeshinda nafasi ya Spika wa bunge.
Bunge la Marekani lagawika juu ya usaidizi kwa Ukraine
Marekani imekuwa nchi inayotoa msaada wa kiasi kikubwa kwa Ukraine tangu Urusi kuivamia Februari mwaka jana 2022.
Nigeria yapitisha bajeti ya magari ya kifahari kwa wabunge
Zaidi ya wabunge 460 kila mmoja atapata gari linalokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya dola laki moja na nusu
Bunge la Marekani laidhinisha msaada wa kijeshi kwa Israel
Bunge la Marekani limeidhinisha msaada wa kijeshi wa karibu dola bilioni 14.5 kwa Israel
Bunge la Marekani lagawika kuipa msaada Israel na Ukraine
Kura inafanyika wakati bunge la Marekani Congress likiwa linavutana kuhusu msaada mpya kwa Israel na Ukraine.
Guterres: Kuna hatari ya kutanuka mzozo wa Gaza
Hadi sasa, wizara ya afya huko Gaza imesema watu 8,525 wameuawa Gaza huku 3,500 miongoni mwa hao wakiwa ni watoto.
Mike Johnson Spika mpya wa Baraza la Wawakilishi la Marekani
Baada ya mkwamo wa muda mrefu, baraza la wawakilishi la Marekani limemchagua Mike Johnson kuwa spika mpya.
Bunge la Marekani laidhinisha azimio la mshikamano na Israel
Hatua hiyo ilipata uungwaji mkono wa karibu wabunge wote wa Republican na Democrats.
Republican wamteuwa Johnson kuwania uspika wa Wawakilishi
Msuguano mkali unaoendelea umelifanya Baraza hilo kushindwa kufanya kazi zake kwa zaidi ya wiki tatu sasa.
Bunge la Ulaya lamtunuku Mahsa Amini tuzo Uhuru ya Sakharov
Bunge la Ulaya limetanzaga kuwa tuzo ya Uhuru ya Sakharov ya mwaka huu itatolewa kwa mwanamke Mahsa Amin.
Bunge la Brazil lasema Bolsonaro atakiwa kujibu mashitaka
Ni kuhusu jaribio la mapinduzi kwa wafuasi wake kuishambulia ikulu, mahakama ya juu na makao makuu ya bunge.
Upinzani Poland watazamiwa kupata wabunge wengi
Vyama vya upinzani nchini Poland vinavyounga mkono Umoja wa Ulaya vinatazamiwa kushinda viti vingi vya bunge.
Raia wa Poland washiriki katika uchaguzi wa bunge
Chama tawala kinawania muhula wa tatu mfululizo madarakani.
Chamisa alitaka bunge liwarudishe wabunge 15 wa chama chake
Nelson Chamisa amesema kuondolewa kwa wabunge hao ni sehemu ya jitihada za chama tawala ZANU-PF kuwanyamazisha.
Steve Scalise atoka kwenye kinyang'anyiro cha Spika wa Bunge
Ni siku ya kumi sasa kiti cha Spika wa Bunge la Wawakilishi kimekaa wazi nchini Marekani.
Scalise hajathibitisha uungwaji mkono unaohitajika
Mkutano wa chama cha Republican wagawanyika
Warepublican wamteua Steve Scalise kuwania uspika
Chama cha Republican kinachokabiliwa na mgawanyiko mkubwa kimemteua Steve Scalise kuchukua nafasi ya spika.
Liberia yafanya uchaguzi wa rais na bunge
Waliberali wanapiga kura leo Jumanne kuamua kama wampe muhula wa pili Rais George Weah.
Luxembourg kunafanyika uchaguzi wa bunge
Luxembourg kunafanyika uchaguzi wa bunge
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 14
Ukurasa unaofuatia