Ushindi wa vyama vya siasa kali za mrengo wa kulia nchini Ufaransa na Ujerumani, haujaweza kuvipindua vyama vya kihafidhina vyenye wingi wa viti katika bunge la Ulaya na kumfanya Ursula von der Leyen kuwa katika mkondo wa kuendelea kuongoza Halmashauri ya Umoja huo hadi mwaka 2029. Hata hivyo ushindi wa vyama hivyo, umekuwa ni pigo. Rashid Chilumba na mwandishi nguli Abdul Mtulya walijadili hili.