You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wasichana wa Chibok
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Nigeria:Jeshi lakanusha vitendo vya utoaji mimba kwa mateka
Ripoti iliyotolewa mwezi Disemba 2022 ilidai kuwa jeshi lilisimamia takriban vitendo 10,000 vya uavyaji mimba.
UNICEF: Watoto milioni 13 Afrika hawakupewa chanjo
UNICEF imeutaja mgogoro huo wa kimataifa katika utoaji chanjo kwa watoto kwa kipindi cha miaka mitatu kuwa mgogoro mbaya
Nigeria yadhinisha chanjo ya Malaria ya Chuo cha Oxford
Hatua hiyo inaifanya Nigeria kuwa nchi ya pili baada ya Ghana kuidhinisha matumizi ya chanjo ya Malaria wiki iliyopita
Karibu watu 80 watekwa nchini Nigeria
Baadhi ya maeneo nchini Nigeria yamekuwa yakikabiliwa na matukio ya utekaji nyara na kwa ajili ya fedha za kikomboleo.
Watu 12 wauawa katika mashambulizi manne Nigeria
Shambulizi hilo limetokea katika kijini cha Dabna cha wilaya ya Hong ya jimbo la Adamawa kaskazini mashariki mwa Nigeria
Vijana Nigeria wajiingiza kwenye biashara ya 'Soko la Fedha'
Vijana waliojiingiza katika biashara ya soko la fedha nchini Nigeria wanajifunza mbinu zinazohitajika kufaidika kwenye sekta hiyo na kwa haraka. VijanaMubashara 77Asilimia inaangazia vipi mtindo huo wa biashara usio wa kawaida unatoa matumaini kwa vijana wa Nigeria?
Upungufu wa fedha taslimu waanza kupungua Nigeria
Hali hiyo inashuhudiwa baada ya benki kuu ya nchi hiyo kuanza kuingiza noti za zamani katika mzunguko.
Chama kikuu cha upinzani Nigeria chapinga ushindi wa Tinubu
Katiba ya Nigeria huipa mahakama siku 180 kutoa uamuzi kuhusu kesi za uchaguzi, na baadaye mtu huweza kukata rufaa:
Kura zahesabiwa Nigeria baada ya uchaguzi wa bunge
Nigeria: Kura zahesabiwa baada ya uchaguzi wa bunge.
Shughuli ya kuhesabu kura imeanza nchini Nigeria.
Shughuli ya kuhesabu kura imeanza nchini Nigeria.
Wanaijeria wanapiga kura leo katika uchaguzi wa magavana
Mamilioni ya Wanaijeria wanapiga kura katika uchaguzi wa magavana, baada ya uchaguzi wa Rais wa mwezi uliopita.
Mahakama ya Juu Nigeria yabatilisha muundo wa sarafu mpya
Mahakama ya Juu ya Nigeria imesema muundo wa sarafu mpya ya nchi hiyo, Naira, uliotolewa na Benki Kuu ni batili.
Maoni: Nigeria inaelekea wapi sasa baada ya kumchagua Tinubu?
Wanigeria wameamua na wamemchagua Bola Ahmed Tinubu wa chama tawala cha All Progressives kuwa rais mpya wa nchi hiyo lakini kumekuwa na malalamiko mengi hasa kutoka kwa vyama vya upinzani wakisema wataupinga mahakamani uchaguzi huo. Je, Tinubu ataweza kuyatimiza yale mabadiliko waliyokuwa wanyataka vijana nchini humo. Saumu Mwasimba ndiye aliyekuandalia kipindi hiki.
Rais mteule wa Nigeria ataka ushirikiano na upinzani
Rais mteule wa Nigeria ataka ushirikiano na upinzani
Mwanadada anayehamasisha wenzake kwa njia ya karate
Mtaalamu wa mchezo ya Karate amekuja na mpango wa kuwafundisha wanawake mchezo huo ili waweze kujikinga na unyanyasaji
Maoni: Uchaguzi wa Nigeria na mwanga wa matumaini
Je, Rais mteule wa Nigeria Asiwaju Ahmed Bola Tinubu anawakilisha chaguo na imani ya vijana katika taifa hilo?
Obi kupinga mahakamani matokeo ya uchaguzi Nigeria
Bola Ahmed Adekunle Tinubu atangazwa rais mteule Nigeria
Kwenye hotuba yake ya ushindi, Tinubu, mwanasiasa mkongwe Nigeria mwenye umri wa miaka 70 amewahimiza waliokuwa wagombea wenzake kuungana naye kuitumikia Nigeria. #Kurunzi
Baada ya kushinda urais, Tinubu ahimiza mshikamano
Tinubu amejizolea jumla ya kura milioni 8.79 katika uchaguzi uliofanyika mwishoni mwa Juma akiwa mbele ya wpinzani wake.
Tinubu rais ajae wa Nigeria
Tinubu mshindi wa urais Nigeria
Tinubu akaribia kupata ushindi wa uchaguzi nchini Nigeria
Matokeo ya mwanzo katika uchaguzi wa Nigeria wamueka mbele aliyekuwa gavana wa Lagos
Tinubi aongoza katika matokeo ya mwanzo ya uchaguzi Nigeria
Tinubi aongoza katika matokeo ya mwanzo ya uchaguzi Nigeria uluiofanyika mwishoni mwa wiki
Tinubu aongoza awali katika matokeo ya Nigeria
Tinubu aongoza katika matokeo ya awali ya uchaguzi Nigeria
Upinzani wapata kura nyingi, Lagos Nigeria
Chama cha upinzani chapata kura nyingi katika jimbo la Lagos,Nigeria
Mgombea upinzani ashinda urais jimbo la Lagos
Mshindi rasmi anategemewa kurithi kiti cha Rais Muhammadu Buhari anayemaliza muhula wake wa pili madarakani.
Matokeo yaanza kutangazwa uchaguzi wa Nigeria
INEC itachukuwa siku kadhaa kumtangaza mrithi wa kiongozi anayeondoka madarakani, Rais Muhammadu Buhari.
Zoezi la kuhesabu kura linaendelea nchini Nigeria
Zoezi la kuhesabu kura linaendelea nchini Nigeria
Nigeria yaendelea na zoezi la kuhesabu kura
Zoezi hilo linafanyika baada ya uchaguzi wa siku ya Jumamosi baada ya watu takriban milioni 90 kupiga kura.
Nigeria yapiga kura kuchagua rais na bunge
Nigeria yapiga kura kuchagua rais na bunge
Nani atakuwa Rais mpya wa Nigeria?
Mamilioni ya raia wa Nigeria wamepiga kura leo Jumamosi kumchagua rais mpya na Bunge jipya.
Uchaguzi Mkuu kufanyika Nigeria licha ya uhaba wa fedha
Tume ya Uchaguzi ya Nigeria imetupilia mbali wasiwasi wa kuaahirshwa uchaguzi wa Jumapili kwa sababu ya mzozo wa noti.
Marekani, serikali nyingine zahimiza utulivu Nigeria
Nigeria yagubikwa na mashambulizi kuelekea uchaguzi wa rais
Nigeria inatarajiwa kuchagua rais mpya mnamo Februari 25 baada ya Mohammadu Buhari kumaliza mihula miwili madarakani
Rais Buhari atangaza siku zaidi kurudisha fedha za zamani
Rais Buhari atangaza siku zaidi kurudisha fedha za zamani
Uhaba wa mafuta,pesa vyatia doa kampeni ya uchaguzi, Nigeria
Uchaguzi wa rais unatarajiwa kufanyika Februari 25 mwaka huu.
Habari za uongo zinavyogubika kampeni za kisiasa Nigeria
Katika makala ya Sema Uvume Sylvia Mwehozi anatazama namna habari za uongo za kwenye mitandao zilivyogubika kampeni za uchaguzi wa Nigeria na kutumiwa na wanasiasa.
Wanajeshi 10 wauawa Niger na wanaoshukiwa kuwa magaidi
Idadi ya vifo huenda ikaongezeka kufuatia watu kadhaa kutoweka.
Nigeria na teknolojia ya simulizi za hadithi kwa kidijitali
Kama ilivyo kawaida msikilizaji hapa unasikia hatua zinazopigwa kila uchwao katika sekta ya sayansi na teknolojia. Na hii leo tutakupelaka hadi huko nchini Nigeria ambako kumeanzishwa Programu ya kusimulia watoto hadithi za kiafrika kupitia njia ya dijitali, lakini pia utasikia juu ya programu mpya ya ChatGBT iliyoundwa ili kuigiza mazungumzo ya binaadamu. Sikiliza Sema Uvume.
Bomu laua wafugaji 40 Nigeria
Idadi ya watu waliokufa katika shambulizi la bomu dhidi ya kundi la wafugaji katikati ya Nigeria imefikia 40.
Nigeria yasema uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa
Mkuu wa tume ya uchaguzi nchini Nigeria amesema nchi hiyo haitaahirisha uchaguzi mkuu wa mwezi ujao.
Nigeria yaweka kikomo cha utoaji pesa zilizopo benki
Kikomo hicho ni cha kwenye mashine za kutolea fedha maarufu kama (ATM).
Wanamgambo 200 waliuwawa desemba katika mapigano Nigeria
Mapigano kati ya Boko Haram na IS ambalo limejikita katika jimbo la kaskazini-mashariki mwa Nigeria la Borno.
Je Afrika yaweza kuimarisha demokrasia mwaka 2023?
Nchi kadhaa za Afrika zitafanya uchaguzi mwaka 2023. Wachambuzi wasema chaguzi hizo zitatoa taswira ya demokrasia.
Vijana wakamatwa kwa kuhudhuria 'harusi ya mashoga' Nigeria
Mnamo mwaka 2014, Nigeria ilipitisha sheria inayoharamisha ndoa za watu wa jinsia moja
Ujerumani kurejesha turathi za Benin
Uamuzi huu wa Ujerumani unabeba dhima ya kuimarisha mashirikiano baina ya maitaifa hayo mawili
Baerbock kurudisha mwenyewe kazi za sanaa Nigeria
Watoto kadhaa watekwa nyara katika jimbo la Katsina, Nigeria
Watoto kadhaa wametekwa nyara na watu waliojihami kwa silaha katika jimbo la Kaskazini la Katsina nchini Nigeria.
Tarifa ya Habari za Asubuhi ya DW Kiswahili: 17.10.2022
Vita vya Ukraine vyapelekea watoto milioni 4 kuishi katika umaskini. Idadi ya vifo kufuatia mafuriko Nigeria yapindukia 600. Moto wasababisha vifo vya watu 4 katika gereza moja nchini Iran.
Nusu ya nchi duniani hazina mifumo ya tahadhari ya majanga
Umoja wa Mataifa umesema nusu ya nchi ulimwenguni hazina mifumo ya kutoa tahadhari kuhusu majanga ili kuepusha maafa.
Mihadarati yatishia mustakabali wa vijana Kano, Nigeria
Katika mji wa kibiashara wa Nigeria Kano, vijana ni wahanga wa mihadarati. Baadhi ya waathiriwa kama Bazooka, wanajizatiti kujirekebisha. Lakini kwa kuwa matumizi ya mihadarati yanaongezeka, bidi zaidi huhitajika kufanikisha azma hiyo. #VijanaMubashara #77Asilimia
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 6 wa 20
Ukurasa unaofuatia