Zanzibar ni sehemu ya Tanzania inayoundwa na visiwa vya unguja na Pemba nje ya pwani ya Afrika Mashariki. Ni sehemu ya Tanzania yenye utawala wake wa ndani.