You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Allied Democratic Forces
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mapigano makali yazuka upya mashariki mwa Kongo
Umoja wa Mataifa wasema wanajeshi wake wanane walijeruhiwa katika shambulizi la bomu kwenye mji wa Sake, karibu na Goma.
Mashambulio ya Pakistan yaua watu kadhaa Afghanistan
Serikali ya Afghanistan imesema watu wanane nchini humo wameuawa kutokana na mashambulio yaliyofanywa na Pakistan.
Walinda amani wajeruhiwa katika mapigano mashariki mwa DRC
Mapigano mapya yamezuka kati ya vikosi vya serikali na waasi wa M23, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Mapigano mapya yazuka mashariki mwa DRCongo
Msemaji wa jeshi katika jimbo hilo, amevishutumu vikosi vya Rwanda kwa kukilenga kituo cha Umoja wa Mataifa huko Sake
Hamas na Houthi wajadili kutanua makabiliano na Israel
Wahouthi wasema wataendelea na mashambulizi katika bahari ya Sham.
Samia, Museveni na Ruto wakutana kujadili EAC
Majadiliano hayo yanafanyika kuelekea uundwaji wa shirikisho la Jumuiya ya EAC yenye nchi 8 wanachama.
Wahouthi wadai wanakombora lenye kasi ya juu
Madai haya ya Wahouthi yanaongeza hatari inayoweza kutokana na mashambulizi yao ya meli katika Bahari ya Shamu
Hatua za kuimarisha masomo ya Hisabati na Sayansi kwa vitendo Uganda
Mbinu ya kufunza sayansi, teknolojia, uhandisi na hisabati kama somo jumuishi lijulikanalo kwa ufupi kama STEM, imependekezwa hivi karibuni Uganda ili kuwasaidia wanafunzi waweze kukumbatia masomo ya Sayansi.
Waasi wapinga kuwekwa serikali ya mpito nchini Haiti
Rais wa Kenya William Ruto amesema mpango wa kuwapeleka maafisa wake wa polisi nchini Haiti bado upo.
Afrika Mashariki inaweza kuwa na viwango sawa vya kodi?
Bunge la EALA limepitisha muswada wa kusawazisha sheria za kodi na ushuru lakini kuna mashaka ikiwa utaridhiwa.
Mahakama Uganda yakataa rufaa ya usajili wa kundi la LGBTQ
Mahakama ya rufaa ya Uganda ilisema usajili wa kundi la SMUG ni kinyume cha maslahi ya umma na sera ya taifa.
Shirika la MSF laonya kuhusu mgogoro wa kibinadamu Nigeria
Waasi katika eneo hilo huvamia mara kwa mara jamii, vijiji na kufanya utekaji nyara kwa lengo la kulipwa fidia.
Angola yatarajia mkutano wa Rwanda-DR Congo kupunguza uadui
Waziri wa mambo ya nje wa Angola amesema Rais wa Rwanda Paul Kagame amekubali kukutana na rais wa DR Congo Tshisekedi
Marekani na washirika wake zadungua droni 15 za Yemen
Waasi wa Houthi wanasema lengo la mashambulizi ni kuishinikiza Israel kusitisha mashambulizi Gaza.
Somalia yajiunga rasmi na EAC
Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imeikaribisha rasmi Somalia kuwa mwanachama wake mpya.
M23 wadhibiti mji mwingine mashariki mwa Kongo
Duru zinasema kufikia jana, M23 walikuwa wameudhibiti mji wa Kibirizi, kilometa 30 upande wa Kaskazini Mashariki.
Kaiko Njike: Waasi bado wanatatiza raia mashariki ya Kongo
Sudi Mnette anazungumza na Kanali Kaiko Njike, msemaji wa jeshi la Kongo linalopambana na waasi mashariki ya nchi hiyo.
Wahouthi wazilenga meli za Marekani, Washington yajibu
Waasi wa Houthi wa nchini Yemen wamesema wamefanya operesheni ya kijeshi iliyozilenga meli mbili za kivita za Marekani.
M23 yafanya mashambulizi makubwa Mashariki mwa Kongo
Rwanda yaitolea mwito AU kutoidhinisha au kufadhili kikosi cha SADC kinachonuia kukomesha uasi Kongo.
Watu 15 wameuawa baada ya mashambulizi ya M23 nchini Kongo
Watu 15 wameuawa na maelfu wamekimbia mashambulizi ya waasi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Vijana wa Kitanzania wanaopigania ustawi wa miti ya asili
Katika kipindi cha karibuni cha 09.03.2024 utasikia juhudi za asasi isiyo ya kiserikali SAHO inayoudwa a vijana wa Kitanzania yenye shabaha ya kudumisha uhai na uwepo wa miti ya asili katika uso wa dunia kwa kukusaya mbengu na kuotesha katika maeneo mengine ya taifa lao.
Noa Bongo na simulizi za kizazi cha kidijitali
Katika kipindi cha Karibuni cha 02.03.2024 utasikia mchezo mpya wa kuigiza wa DW Kiswahili DW,"Kizazi cha Kidijitali" zaidi Sudi Mnette amezungumza na Grace Kabogo kuhusu mfululizo wa simulizi hizo.
Mashambulizi ya M23 yaua watu 15 mashariki mwa Kongo
Waasi wa M23 iwamefanya mfululizo wa mashambulizi mashariki mwa Kongo na kusababisha vifo vya watu 15.
Waasi wa Yemen waapa kuendelea kuzamisha meli za Uingereza
Wahouthi wa Yemen wanaoungwa mkono na Iran wameapa kuendelea kulenga meli za Uingereza katika Ghuba ya Aden.
ICC yaamuru waathiriwa wa Ongwen walipwe euro milioni 52
Majaji wa ICC wametoa amri kwa waathiriwa wa ukatili wa LRA kulipwa fidia ya dola mil.52.
Wahanga wa Ongwen kulipwa yuro milioni 52
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC imeamua kwamba karibu wahanga 50,000 wa kamanda wa Uganda Dominic Ongwen, wanastahi
Kamati ya siri Ethiopia yadaiwa kuamuru mauaji ya waasi
Uchunguzi wa Shirika la habari la Reuters umeonesha maafisa waaandamizi jimboni Oromia waliagiza mauaji dhidi ya waasi.
Kenya kuongoza vita dhidi ya ugaidi Afrika Mashariki
Mikakati ya kupambana na ugaidi na vitisho imepata msukumo mpya baada ya wadau kukutana nchini Kenya.
ICC yaanza mchakato wa kesi ya Kony
ICC imeanzisha mchakato wa kusikiliza kesi dhidi ya kiongozi wa kundi la waasi la LRA nchini Uganda, Jopseph Kony.
Marekani, Uingereza zawashambulia Wahouthi huko Yemen
Marekani na Uingereza zimesema mashambulizi yalilenga maghala ya silaha, ndege zisizo na rubani na mifumo ya ulinzi.
Jeshi la Ujerumani kwenda kupiga doria bahari ya Shamu
Wabunge 538 waliunga mkono kuwaruhusu wanajeshi wa Ujerumani kwenda katika bahari ya Shamu.
Ombwe la uongozi DRC linaweza kuwapa nguvu waasi
Kujiuzulu kwa Lukonde kunafuatia uamuzi wake wa kubakia kuwa mbunge katika bunge la taifa.
Marekani yazionya Rwanda na Kongo kujiepusha na vita
Kongo, Umoja wa Mataifa na nchi za Magharibi wanaituhumu Rwanda kwamba inaliunga mkono kundi la waasi
UN yawawekea vikwazo waasi wa Kongo
Baada ya miezi kadhaa ya utulivu, mapigano makali yalizuka Januari karibu na Goma, mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini
Wakaazi mashariki mwa Congo wakabiliwa na uhaba wa chakula
Mzozo wa kiusalama mashariki mwa Kongo, umesababisha maelfu ya wakaazi kung'ania chakula.
Kitisho cha waasi wa M23 chazidi kuukabili mji wa Goma
Hali ya usalama inazidi kuzorota nchini mjini Goma nchini Kongo kutokana na kitisho cha waasi wa M23 mjini humo.
Waasi wa Kihuthi waendelea na mashambulizi Bahari ya Shamu
Wapiganaji wa Kihouthi nchini Yemen wamethibitisha kuishambulia kwa makombora na kuiharibu meli Bahari ya Shamu.
Matamshi ya Jenerali Otafire kuutikisa utawala wa Museveni?
Matamishi ya waziri wa mambo ya Ndani Uganda, akionya waganda kuwa waangalifu na kuchagua viongozi yamezusha mjadala.
Afrika katika Magazeti ya Ujerumani
Angela Mdungu amekukusanyia yale yaliyoandikwa na wahariri wa magazeti ya Ujerumani kuhusu bara la Afrika wiki hii. Sikiliza makala hayo.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Magazeti ya Ujerumani wiki hii
Hali ya kiusalama Mashariki mwa DRCongo
Hali ya kiusalama imekuwa mbaya katika siku za hivi karibuni huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambapo jeshi la taifa nchini humo FARDC limekuwa likipambana na waasi wa M23 hasa katika mji wa Sake uliopo takriban kilometa 27 kutoka mji wa Goma. Bakari Ubena amezungumza na Reagen MIVIRI, mtafiti na mchambuzi wa masuala ya usalama katika shirika la Congo Research Group.
Uganda kuzungumza na Tanzania ili kupitisha mafuta yake
Uganda yasema inafanya mazungumzo ya kusafirisha mafuta yake kupitia Tanzania
Wanawake waandamana kutaka vita kukomeshwa DRC
Mamia ya wanawake walimiminika kwenye mitaa ya Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wakitaka vita vinavyoendelea Mashariki mwa DRC vikomeshwe.
Urusi, China zapinga mashambulizi ya Marekani na UK Yemen
Urusi na China zinasema mashambulizi ya Marekani na Uingereza dhidi ya Wahouthi nchini Yemen ni kinyume cha sheria.
Urusi, China zaishutumu Marekani na Uingereza kuhusu Wahuthi
Waasi wa Kihouthi wamekuwa wakizishambulia meli za kibiashara katika Bahari ya Shamu.
Kongo: Mji wa Sake haujadhibitiwa na waasi
Duru zimesema mji wa kimkakati wa Sake "haujadhibitiwa na M23" licha ya mapigano makali kuendelea.
Waasi wa M23 wauzingira mji wa Sake, DRC
Jeshi la Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo limetumia ndege za kivita kuwarudisha nyuma waasi wa M23 waliokuwa wameuzingir
Baraza la Usalama lahofia kuongezeka ghasia Kongo
Wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa pia wamelaani shambulizi la waasi wa M23 la Februari 7.
Vuguvugu la MK la Uganda lajigeuza asasi ya kiraia
Vuguvugu la MK linalotaka Jenerali Muhoozi kumrithi baba yake, Rais Museveni, limegeuka kuwa Shirikisho la Uzalendo.
Jeshi la DR Kongo lawazuiwa waasi wa M23 kuutwaa mji wa Sake
Jeshi la Kongo jana lilizima jaribio la waasi wa M23 waliokuwa tayari wamekaribia kuutwaa mji wa Sake.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 7 wa 56
Ukurasa unaofuatia