You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Allied Democratic Forces
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Kongo yaapa waasi wa M23 hawataudhibiti mji wa Goma
Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo limeahidi kuendelea kuudhibiti mji muhimu wa Goma licha ya kusonga mbele kwa M23.
Wahouthi waapa kujibu mashambulizi ya anga ya Marekani
Waasi wa Kihouthi wameapa kujibu kwa "mashambulizi makali," baada ya mashambulizi ya anga ya Marekani na Uingereza.
03.02.2024 Matangazo ya Jioni
Watu 34 waripotiwa kuuawa kwa mashambulizi ya Marekani huko Iraq na Syria,Borrell atoa rai kwa pande zote kupunguza mvutano Mashariki ya Kati na Ruto alaumu watendaji wazembe baada ya mripuko wa gesi.
Wageni wanaoingia- kutoka mji wa Goma kuandikishwa
Jeshi jimboni katika mji wa Goma nchini jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limechukua hatua kukabiliana na waasi wa M23.
Wahouthi wafyatua makombora kuelekea meli za Marekani
Wahouthi hao wamefanya mashambulizi zaidi ya 30 dhidi ya meli za kibiashara.
Mashambulizi ya kushtukiza katika mji wa Sake, Kongo
Mkururo wa mashambulizi ya makundi ya kujihami kwa silaha na vikosi vya serikali nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, umesababisha wakimbizi waliokimbilia mji wa Sake kama sehemu salama, kukimbia tena kutafuta pahala salama.
Tshisekedi: Hatuwezi kufanya mazungumzo na Rwanda
Rais Felix Tshisekedi amesisitiza kwamba hakuwezi kuwepo na majadiliano yoyote kuhusu uhuru na mamlaka ya Kongo.
Baadhi ya makundi ya wapiganaji yajisalimisha Kongo
Mamia ya wanachama wa kundi la ulinzi wa jamii wamejisalimisha kwa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Kinagaubaga: Kenya, Tanzania na Uganda kuandaa AFCON 2027
Rais wa shirikisho la soka la mpira wa mguu Tanzania TFF Wallace Karia aelezea nafasi ya Tanzania AFCON 2027.
Jordan: Wanajeshi watatu wa Marekani wauawa katika shambulio
Maafisa wa Marekani wametathmini kwamba moja ya makundi kadhaa yanayoungwa mkono na Iran ndiyo yaliyoendesha tukio hilo.
Uganda yajitenga na msimamo wa Sebutinde katika ICJ
Uganda imejitenga na maoni yaliyoandikwa na jaji wa nchini humo Julia Sebutinde.
Serikali ya Mali yaandaa mazungumzo ya amani
Mwaka 2015 serikali ilipatana na makundi yanayotaka kujitenga kaskazini mwa Mali baada ya miezi kadhaa ya mvutano.
Marekani yaharibu kombora la Wahouthi kabla ya kufyatuliwa
Wahouthi wanashambulia meli za washirika wa Israel zinazopita pwani ya Yemen ili kuonyesha mshikamano na Hamas.
Wahouthi wazidisha mashambulizi katika Bahari ya Shamu
Meli nyingi zinakwepa kutumia njia ya Bahari ya Shamu
Makala ya Afrika Wiki Hii
Waasi wa M23 nchini Kongo washambulia wilaya ya Masisi na kusababisha mauji ya raia. Visiwani Zanzibar waziri wa utalii na mambo ya kale ajiuzulu wakati nchini Kenya mahakama ya Juu yauzuia mpango wa kupeleka kikosi cha askari wake kwenda nchini Haiti kulinda usalama .Jiunge na Saumu Mwasimba katika Afrika Wiki Hii.
Takriban raia 20 wauawa katika shambulizi nchini Kongo
Pande hizo mbili zashtumiana kwa kuanzisha shambulizi hilo
Mali yasitisha makubaliano ya amani ya 2015 na waasi
Utawala wa Mali wasema baadhi ya makundi yameonesha mabadiliko
Uingereza na washirika washambulia waasi ya Kihouthi Yemen
Uingereza imesema nchi 24 zimeyashambulia maeneo yanayodhibitiwa na waasi wa Kihouthi nchini Yemen.
Je, meli za kivita za EU zitawazuwia waasi wa Houthi?
Baada ya kusitasita awali pamoja na mgawanyiko, EU inapanga kuingilia kati mzozo wa Wahouthi, lakini hatari ni kubwa.
Marekani yafanya duru mpya ya mashambulizi dhidi ya Wahouthi
Mashambulizi hayo yananuia kupunguza makali na uwezo wa Wahouthi.
G77 yahitimisha mkutano wake Kampala
Mkutano mkuu wa kundi la mataifa ya G77 umemalizika baada ya mjadala wa mabadiliko ya taasisi za kimataifa za kifedha.
Meza ya Duara: Kinachomkabili Tshisekedi muhula wa pili
Maoni Mbele ya Meza ya Duara inajadili kile kinachomsubiri kukitenda ama kukikamilisha ndani ya miaka minne ijayo.
Marekani yaharibu makombora 14 ya waasi wa Kihouthi
Marekani imesema mashambulizi yao yananuia kupunguza makali ya Wahouthi katika bahari ya Sham.
Wapinzani Uganda waungana kumkabili Museveni 2026
Viongozi hao wameelezea kuweka kando maslahi yao binafsi ili kuung'oa utawala wa rais Museveni.
Marekani yasambaratisha makombora ya waasi wa Houthi
Jeshi la Marekani limefanya mashambulizi mengine dhidi ya miundombinu ya waasi wa Houthi wa nchini Yemen.
Mivutano inazidi kushuhudiwa EAC
EAC imewahi kuvunjika mwaka 1977 kabla ya kufufuliwa tena Novemba 1999 na kuendelea kuongeza idadi ya nchi wanachama
Waasi wa Houthi wasema wataanza kuzilenga meli za Marekani
Kundi la waasi wa Houthi wa nchini Yemen limesema linatanua operesheni zake kwenye Bahari ya Shamu.
Rais wa Iran alaani mashambulizi ya Marekani dhidi ya Houthi
Rais wa Iran, Ebrahim Raisi, amelaani mashambulizi ya anga yaliyofanywa na Marekani nchini Yemen.
Maeneo ya Wahouthi yashambuliwa tena Yemen
Hiyo baada ya wapiganaji hao wanaoungwa mkono na Iran kuonya kuendelea na mashambulizi ya meli katika Bahari ya Shamu.
Marekani yafanya shambulizi jipya dhidi ya waasi Yemen
Hii ni baada ya Wahouthi wanaoungwa mkono na Iran kuonya dhidi ya mashambulizi zaidi kwenye meli za Bahari ya Shamu
UN: Hali katika Ukanda wa Gaza ni ya kutisha
Mratibu wa misaada ya dharura wa Umoja wa Mataifa Martin Griffiths ametoa wito wa kusitishwa kwa vita Gaza.
Guterres atoa wito wa kupunguza mvutano Bahari ya Shamu
Guterres ametoa kauli hiyo baada ya Marekani na Uingereza kufanya mashambulizi ya angani dhidi ya waasi wa Kihouthi.
NATO: Mashambulizi dhidi ya Wahouthi yalikuwa ya kujihami
Msemaji wa NATO, amesema mashambulizi ya Marekani dhidi ya waasi wa Kihouthi wa Yemen yalikuwa ya kujihami.
Wafanyabiashara Uganda walia Burundi kufunga mpaka na Rwanda
Wafanyabiashara nchini Uganda wameeleza kusikitishwa na hatua ya Burundi kufunga mpaka wake na Rwanda.
Marekani na Uingereza zashambulia ngome za wahouthi, Yemen
Waasi wa Houthi wamesema wapiganaji wao watano wameuawa na kuapa kulipiza kisasi
Marekani na Uingereza zashambulia waasi wa Yemen
Marekani na Uingereza zimefanya mashambulizi makubwa ya anga yaliyoyalenga maeneo yanayoshikiliwa na waasi nchini Yemen.
Marekani na Uingereza zashambulia maeneo ya Kihouthi
Mashambulizi hayo ya angani yamepiga miji kadhaa ya Yemen, ambako waasi wa Kihouthi wanadhibiti maeneo makubwa.
Uganda kuharibu dozi za chanjo ya uviko-19
Huku shehena zaidi ya chanjo ikitazamiwa kuisha muda wake kufikia mwishoni mwa mwaka.
Azimio la UN la laani hujuma za waasi wa Houthi
Mashambulizi yanayofanywa na waasi wa Houthi dhidi ya meli za mizigo kwenye ujia wa Bahari ya Shamu yalaaniwa na UN.
Taarifa ya habari ya asubuhi 11.01.2024
Muhtasari wa Habari: Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lapitisha azimio la kulaani mashambulizi ya waasi wa Kihuthi katika bahari ya Shamu // Wanamgambo wa Al-Shabaab nchini Somalia, waikamata helkopita ya Umoja wa Mataifa // Mwanadiplomasia mkuu wa Marekani Antony Blinken afanya mazungumzo na kiongozi wa Mamlaka ya Palestina.
Baraza la Usalama la UN lalaani mashambulizi ya Wahouthi
Azimio hilo limepitishwa kwa kura 11 kwa 0 huku Urusi, China, Algeria na Msumbiji zikijizuia kupiga kura.
Waasi wa Houthi washambulia tena meli katika Bahari ya Shamu
Baraza la Usalama la UN linapanga kulipigia kura azimio ambalo linataka kusitishwa kwa mashambulizi ya waasi hao
Uganda yapinga kuondolewa AGOA
Hii ina maana kuwa Uganda imepoteza soko la bidhaa zake mbalimbali ikiwemo zile za vitu vya sanaa, viungo na ngozi.
Kampuni ya meli ya Maersk kuikwepa njia ya Bahari ya Sham
Kampuni ya meli ya Maersk imesema itabadili njia lwa meli zake kukwepa mashambulizi ya Wahouthi kwenye bahari ya Sham.
Baada ya ushindi, Tshisekedi anao mlima mrefu wa kupanda
Rais Felix Tshisekedi anao muhula wa pili kibindoni, lakini katika miaka mitano ijayo anakabiliwa na changamoto lukuki.
Mwanaharakati wa jamii ya LGBTQ nchini Uganda ashambuliwa
Wanaharakati nchini Uganda wamekuwa na hofu tangu taifa hilo lilipopitisha sheria mpya dhidi ya jamii hiyo.
Watu 6 wafa baada ya boti 2 kuzama katika Ziwa Victoria
Makundi ya wavuvi yanaendelea kutafuta miili ya watu wengine ambao wanadhaniwa walikuwa abiria kwenye boti hizo.
Wawili washikiliwa kwa mauaji ya mwanariadha Kiplagat.
Wawili washikiliwa kwa mauji ya mwanariadha Kiplagat.
02.01.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
02.01.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Mwanariadha wa Uganda Benjamin Kiplagat auawa nchini Kenya
wito watolewa kuharakishwa kwa uchunguzi
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 8 wa 56
Ukurasa unaofuatia