You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Allied Democratic Forces
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
10.07.2024: Matangazo ya asubuhi
Sikiliza matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili
Uganda yakanusha shutma za kuiunga mkono M23
Miongoni mwa shutuma kwa Uganda ni kuwaruhusu waasi wa M23 na vikosi vya Rwanda kuitumia ardhi yake kuivamia Kongo
UN yathibitisha kuwa jeshi la Rwanda linashirikiana na M23
Inadaiwa kwamba jeshi la Rwanda "lina udhibiti na hutoa mwelekeo wa operesheni za M23"
Vita kusitishwa kwa muda mashariki mwa Kongo
Ulanguzi wa binadamu unatokana na migogoro na watu kuyakimbia makazi yao katika eneo la mashariki mwa Kongo.
Waasi wa M23 waendelea kukamata miji muhimu ya Kongo
Mzozo unaoendelea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unasababisha maelfu ya watu kukimbia maskani zao.
UN yalaani shambulizi dhidi ya shirika la kiutu Kongo
Shambulizi hilo liliulenga msafara katika mkoa wa Kivu Kaskazini usiku wa Jumapili.
Hofu DRC juu ya M23 kuiteka miji zaidi wilaya ya Lubero
M23 wanajaribu kukiteka kijiji cha Kitsombiro ambacho hakiko mbali sana na mji mdogo wa Lubero.
Mamlaka za afya Uganda zatahadharisha juu ya homa ya nyani
Ugonjwa wa homa ya nyani una madhara makubwa kwa akina mama wajawazito na huenda ukasababisha kuharibika mimba.
Msafara wa misaada ya kibinadamu washambuliwa Butembo
Wafanyakazi wa kibinaadamu wamekuwa wakikabiliwa na kitisho cha kushambuliwa katika maeneo ya mapigano.
Muelekeo mpya wa waasi wa M23 utawafikisha wapi?
Mwishoni mwa wiki, waasi wa M23 walichukua udhibiti wa miji ya Kanyabayonga na Kirumba.
M23 yauteka mji wa Kirumba wenye wakazi 120,000
Kundi la M23, lilichukua udhibiti wa mji wa Kirumba wenye wakazi zaidi ya 120,000.
Waasi wa M23 wauteka mji wa Kanyabayonga
Mji wa Kanyabayonga umekuwa mikononi mwa waasi wa M23 tangu Ijumaa.
Kituo cha elimu ya awali kwa watoto wakimbizi
Jamii za wakimbizi na wenyeji Kaskazini Magharibi mwa Uganda wameanzisha vituo vya kutoa elimu ya awali kwa watoto. Walimu na walezi ni wanajamii ambao wamejitolea kuendesha shughuli hiyo baada ya kupokea mafunzo maalum. Ebu tazama vidio na uwapongeze walimu hawa.
Biashara Uganda zaathirika na maandamano ya Kenya
Athari hii inashuhudiwa hata kwa watu wa kawaida ambao walikuwa na shughuli kati ya nchi hizo mbili na usafiri.
Waasi wa CODECO waua zaidi ya watu 20 nchini Kongo
Zaidi ya raia 20 wameuawa na waasi wa kundi la Codeco kwenye mkoa wa Ituri nchini Kongo.
Umoja wa Falme za Kiarabu kujenga uwanja wa ndege Uganda
Uganda imesaini mkataba na shirika la biashara la Umoja wa Falme za Kiarabu kujenga uwanja mpya wa ndege wa kimataifa.
Baraza la Usalama laonya dhidi ya hali mbaya Kongo
Baraza la Usalama limeonya kuhusu harakati za makundi yenye silaha mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Marekani yaharibu droni nane za waasi wa Houthi nchini Yemen
Wahouthi wamekuwa wakizishambulia meli katika bahari ya Sham na ghuba ya Aden tangu Novemba mwaka 2023.
Jamhuri ya Afrika ya Kati yakumbwa na ongezeko la uasi
Umoja wa Mataifa umetahadharisha juu ya kuongezeka kwa makundi yaliyojihami kwa silaha katika Jamhuri ya Afrika ya Kati
AU walaani mauaji ya watu wengi nchini DR Congo
Umoja wa Afrika walaani mauaji yanayofanywa na waasi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
AU yakosoa mauaji yanayofanywa na ADF Mashariki mwa Kongo
Umoja wa Afrika umekosoa mauaji yanayoendelea Mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.
Uganda yakanusha madai ya kuwaunga mkono waasi wa M23
Jeshi la Uganda limekanusha madai ya kutoa msaada kwa wapiganaji wa M23 ambao wanaendesha harakati zao Kongo.
Watu 42 wauwawa na waasi wa ADF nchini Kongo
Mashambulizi yanayofanywa na ADF yamegharimu maisha ya maelfu ya raia nchini Kongo.
Mataifa manne ya Afrika Mashariki yawasilisha bajeti 2024/25
Mataifa manne ya Afrika Mashariki hapo jana yaliwasilisha bungeni bajeti za mwaka wa fedha unaokuja.
Watu 42 wauawa katika shambulizi la waasi wa ADF Kongo
Maafisa kutoka serikali wamesema shambulio hilo lililotokea jana katika kijiji cha Mayikengo katika wilaya ya Lubero.
Radio, chombo cha kueneza amani Kongo
Wanahabari wakimbizi nchini Kongo wanatumia radio kama chombo cha kueneza amani mashariki mwa nchi hiyo.
10.06.2024 Matangazo ya Asubuhi
Makala ya Mbiu ya Mnyonge inaangazia jitihada ya kukabiliana na vitendo vya kibaguzi nchini Uganda
Idadi ya vifo yaongezeka hadi 41 kufuatia shambulio Kongo
ADF wenye mafungamano na kundi la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu wanaendesha harakati zao mashariki mwa Kongo.
Zaidi ya raia 50 wauawa na ADF mashariki mwa DRC
Kundi la ADF, asili yake ni waasi wenye itikadi kali za kiislamu kutoka Uganda.
Wafanyakazi wa UN washikiliwa na Waasi wakihouthi Yemen
Takriban wafanyakazi tisa wa mashirika ya UN nchini Yemen washikiliwa na Waasi wakihouthi.
Namna ya kukabiliana na changamoto za hedhi
Unakabiliana na changamoto hedhi, ni zipi na unakabiliano kwa namna ipi? ungana na Thelma Mwadzaya kwa kupata ufumbuzi.
Watu wa nje ya Umoja wa Ulaya kufanya kazi Germany
Sura ya Ujerumani na Sheria mpya ya kuwaruhusu watu kutoka nje ya Umoja wa Ulaya kuja kufanya kazi Ujerumani.
Jeshi la Marekani ladungua droni na makombora ya Wahouthi
Taarifa ya jeshi imesema mabomu hayo yaliangushwa Jumamosi (01.06.2024) katika matukio mawili tofauti.
Jimbo la Kivu Kusini lahitaji dola mil. 56 kujijenga upya
Kiasi hicho kinahitajika ili jimbo hilo listawi baada ya Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa MONUSCO kuondoka.
Jeshi la Kongo latangaza kuzima jaribio la waasi wa M23
Mapigano kati ya jeshi la Kongo na waasi wa M23 yalishika kasi katika baadhi ya vijiji karibu na mji wa Sake.
Wakazi wakimbia, waasi wa M23 wakiusogelea zaidi mji wa Goma
Eneo la mashariki mwa Kongo limekumbwa na mizozo kwa muda sasa na kusababisha wakazi wengi kuyakimbia makazi yao.
Wahouthi kuendelea kuwaunga mkono Wapalestina
Tangu mwezi Novemba, kundi hilo limekuwa likishambulia meli zenye mafungamano na Israel katika Bahari ya Shamu.
Uganda imeanza kutowa chanjo ya homa ya manjano nchi nzima
Kabla ya kampeini hiyo kuanzishwa Waganda walihitajika kupata chanjo hiyo katika hospitali za binafsi.
Uganda yaanza kampeni ya chanjo dhidi ya homa ya manjano
Uganda imeanza tena kampeni ya kutoa chanjo ya homa ya manjano ili kuulinda umma dhidi ya ugonjwa unaosambazwa na mbu.
Marekani kuondoa marufuku ya uuzaji silaha kwa Saudi Arabia
Mara tu baada ya kuingia madarakani, Rais Joe Biden alionekana kuchukua msimamo mkali juu ya kampeni ya Saudi Arabia.
Uganda yawarejesha raia waliodanganywa ajira Thailand
Uganda imewarejesha nyumbani raia wake 23 waliokuwa wamepelekwa Myanmar wakidanganywa kupata kazi nchini Thailand.
Upinzani wakaidi marufuku ya polisi kufanya mikutano Uganda
Upinzani wakaidi marufuku kufanya mikutano ya kisiasa kutoka kwa polisi
Changamoto za mikopo midogomidogo
Mikopo ya haraka, mikopo poa inayotolewa na watu binafsi au taasisi ndogo za kifedha imekuwa tatizo kwa wafanyabiashara.
Uganda yatangaza kumkamata kamanda wa kundi la ADF
Wakati wa operesheni hiyo, watu tisa wakiwemo watoto pia waliokolewa kutoka eneo la jimbo la Ituri mashariki mwa Kongo.
Uganda yatangaza kumkamata kamanda wa kundi la ADF
Jeshi la Uganda limesema limemkamata kamanda wa kundi la waasi la ADF.
Uganda yasema imemkamata kamanda muunda mabomu wa ADF
Jeshi la Uganda limesema limemkamata kamanda wa kundi la waasi wa ADF inayeamini ni mtaalamu wa kuunda mabomu.
Marekani yaonya kuhusu uwezekano wa mashoga kushambuliwa
Hivi karibuni, baadhi ya nchi zimepitisha sheria kali dhidi ya mashoga.
Wasichana wa sasa katika kuzienzi tamaduni zao
Katika safu yetu ya Msichana Jasiri, mjadala unaopewa nafasi unahusu. "Wasichana katika kuzienzi tamaduni zao."
Je, M23 imehusika na shughuli za uchimbaji madini?
Mashirika ya kiraia Kivu Kaskazini yamesema madini ya Coltan yamepanda bei baada ya waasi wa M23 kuuteka mji wa Rubaya.
Kenya na Uganda zaafikiana kuweka kando tofauti zao
Makubaliano haya yanajiri katika ziara rasmi ya Rais Yoweri Museveni nchini Kenya inayodhamiria kuimarisha uhusiano.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 5 wa 56
Ukurasa unaofuatia