You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Matangazo
App
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
16.10.2024 Matangazo ya Jioni
Uingereza, Ufaransa na Algeria wametoa wito wa mkutano wa dharura kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kujadili hali ya kiutu katika Ukanda wa Gaza / Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa WFP limesema mamilioni ya watu Kusini mwa Afrika wanakabiliwa na njaa
16.10.2024 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Baraza la Senate limeanza mchakato wa kusikiliza tuhuma zinazonuwia kumtimua naibu wa rais Rigathi Gachagua, nchini Kenya / Jeshi la Israel lashambulia tena mji wa Beirut
15.10.2024 - Matangazo ya Jioni
Mahakama nchini Kenya imetupilia mbali ombi la Naibu Rais Rigathi Gachagua la kuitaka kusitisha kesi yake iliyopangiwa kuanza kusikizwa kesho katika bunge la Seneti+++Taifa Stars ya Tanzania imepoteza mechi yake ya kufuzu kwa mashindano ya kombe la mataifa ya Afrika AFCON 2025 nchini Moroko kwa kichapo cha goli 2-0 kutoka kwa DR Kongo
15.10.2024 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Israel yasema 'maslahi ya taifa' kwanza katika kuijibu Iran / Shirika la kimataifa la utetezi wa haki za binaadamu la Human Rights Watch limechapisha ripoti mpya inayosema, mamlaka nchini Rwanda zinafanya ukiukaji mkubwa wa haki za binaadamu magerezani, ikiwemo kuwatesa wafungwa.
14.10.2024 Matangazo ya Mchana
Israel inaendelea kupambana kwa wakati mmoja na wanamgambo wa Hamas huko Gaza na wale wa kundi la Hezbollah nchini Lebanon// Leo kunafanyika maadhimisho ya kilele cha mbio za mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya miaka 25 ya mwasisi wa taifa hilo Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
13.10.2024: Matangazo ya Mchana
Vita vya Mashariki ya Kati: Israel yaendelea kupambana na makundi ya Hamas huko Gaza na Hezbollah nchini Lebanon. Mamia ya watu waandamana katika miji mbalimbali ya Uturuki kupinga mauaji ya wanawake. Na makumi ya watu wauawa katika shambulio nchini Sudan.
Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 12 Oktoba 2024
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 12 Oktoba 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 12 Oktoba 2024
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 12 Oktoba 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Waangalizi uchaguzi wa Msumbiji watilia shaka mchakato mzima
Waangalizi wa kimataifa kwenye uchaguzi wa Msumbiji wameelezea kuwepo kwa matukio kadhaa ya udanganyifu,
Kais athibitishwa kushinda asilimia 90.7 Tunisia
Rais Kais Saied kuwa mshindi wa uchaguzi uliofanyika wiki iliyopita, kwa kupata asilimia 90.7 ya kura.
Mfalme wa Moroko tayari kuutatuwa mkwamo wa Sahara Magharibi
Moroko imethibitisha kuutatuwa mzozo wa muda mrefu wa mamlaka ya Sahara Magharibi kunaendelea kuwa suala muhimu.
11.10.2024 - Matangazo ya Jioni
Rais wa Kenya William Ruto amesema nchi yake itapeleka kikosi kingine cha maafisa 600 wa polisi nchini Haiti kudumisha amani hivi karibuni+++Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaongoza Watanzania kujiandikisha katika daftari la wapiga kura la uchaguzi wa serikali za mitaa+++Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz ameahidi msaada zaidi wa silaha kwa Ukraine
11.10.2024 - Matangazo ya Mchana
Kamati ya Nobel ya Norway imelitangaza shirika la Kijapani Nihon Hidankyo kuwa mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel ya mwaka huu+++Wakati leo dunia ikiadhimisha siku ya mtoto wa kike+++Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ilipata ushindi baada ya mchezaji Clement Mzize wa Tanzania kujifunga katika mechi za kuwania kufuzu AFCON
Kimbunga Milton chaua 10 Florida
Kimbunga Milton kinachopiga kwenye jimbo la Florida nchini Marekani kimesababisha hadi sasa vifo vya watu kumi.
Pakistan, Saudi Arabia zasaini mikataba ya mabilioni ya dola
Wafanyabiashara wa Pakistan na Saudi Arabia wamesaini mikataba 27 yenye thamani ya dola bilioni mbili za Kimarekani.
China, Japan zadhamiria kuimarisha uhusiano
Waziri Mkuu wa China, Li Qiang, amesema anatazamia nchi yake na Japan zitayarejesha mahusiano yao kwenye njia sahihi
Korea Kaskazini yaadhimisha miaka 79 ya ukomunisti
Korea Kaskazini imeadhimisha miaka 79 ya chama cha kikomunisti kwa sherehe kubwa iliyohudhuriwa na maafisa wa Urusi.
Zelensky autangaza 'mpango wa ushindi' Ulaya
Zelensky amewatembelea washirika wake wa Ulaya kupigia upatu kile anachokiita "mpango wa ushindi".
Ramaphosa hatashitakiwa kwa kashfa ya "farmgate"
Ramaphosa hatakabiliwa na mashitaka kwenye kashfa ya fedha taslimu zilizofichwa kwenye nyumba yake.
11.10.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 11 Oktoba 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
11.10.2024 - Matangazo ya Asubuhi
Wakati leo dunia ikiadhimisha siku ya mtoto wa kike, watetezi wa haki za kundi hilo nchini Tanzania wametoa ripoti ya utafiti inayoangazia madhila yanayoendelea kuwaandama watoto hao katika maeneo mbalimbali nchini humo+++Rais mpya wa Ethiopia, Taye Atske Selassie ameapa kuleta amani nchini Ethiopia na nje ya mipaka ya nchi hiyo.
10.10.2024 - Matangazo ya Jioni
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Lebano UNIFIL umesema vikosi vya Israel vimeshambulia makao makuu yake yaliopo kusini mwa nchi hiyo na kuwajeruhi walinda amani wake wawili+++Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo ni miongoni mwa mataifa 15 yaliyochaguliwa kuchukuwa nafasi katika Baraza la Haki za Binaadamu la Umoja wa Mataifa
10.10.2024 - Matangazo ya Mchana
Kimbunga Milton kimepiga jimbo la Florida nchini Marekani na kusababisha uharibifu mkubwa kote katika eneo la katikati mwa jimbo hilo pamoja na kuacha zaidi ya nyumba na biashara milioni 3 bila umeme+++Msumbiji imeanza shughuli ya kuhesabu kura za uchaguzi wa rais na wabunge uliofanyika jana Jumatano, ambao unatarajiwa kurefusha miaka 49 ya chama tawala cha Frelimo madarakani
10.10.2024 - Matangazo ya Asubuhi
Rais wa Namibia Nangolo Mbumba anasema nchi yake, inayokabiliwa na ukame mkubwa+++Hadi sasa waasi wa Houthi wamenusurika mashambulizi ya Marekani na Israel+++Tuzo ya amani ya Nobel inatarajiwa kutolewa Ijumaa na kutoa mwanga wa matumaini wakati dunia ikikabiliwa na machafuko katika baadhi ya mataifa
Makombora ya Urusi yauwa 6 Odessa
Watu sita wameuawa kwa mashambulizi ya anga ya Urusi kwenye mji wa bandari ya kusini mwa Ukraine, Odessa.
Kimbunga Milton chatuwa Florida
Biden amemshambulia Trump kwa 'kusambaza uongo' juu ya jinsi serikali yake inavyolishughulikia suala la Kimbunga Helene.
Saudi Arabia yakosa kiti Baraza la Haki za Binaadamu UM
Saudi Arabia imeshindwa kupata kiti kwenye Baraza la Haki za Binaadamu la Umoja wa Mataifa.
Japan yalalamikia 'harakati za jeshi' China
Waziri wa mambo ya kigeni wa Japan amewasilisha kwa China malalamiko juu ya kuongezeka kwa harakati za kijeshi.
Mto Logone wavunja rikodi ya miaka 30 kwa kufurika
Mto Logone umeanza kufurika kwa kiwango kikubwa kabisa kuwahi kushuhudiwa kwa zaidi ya miaka 30 illiyopita.
Vifo vya genge lenye silaha Haiti vyafikia 109
Idadi ya vifo vilivyotokana na mashambulizi ya kikatili ya genge moja lenye silaha nchini Haiti imefikia watu 109.
10.10.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi ya Jumatano 10 Oktoba 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Bilionea Ratan Tata wa India afariki dunia akiwa na miaka 86
Mkuu wa makampuni ya Tata Sons ametangaza kifo cha mwanzilishi wa makampuni hayo, bilionea Ratan Tata.
08.10.2024 - Matangazo ya Jioni
Naibu Rais Rigathi Gachagua yuko bungeni kujitetea kufuatia hoja ya kutaka kumuondowa madarakani+++Wizara ya afya nchini Rwanda imesema kuwa serikali ya nchini humo imeendelea kutoa chanjo dhidi ya virusi vya Marburg zoezi lililoanz tangu siku ya Jumapili.
08.10.2024 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Ukraine Volodymry Zelensky asema hali ni mbaya Donetsk / Marekani yatoa tahadhari kwa raia wake kuelekea Rwanda
08.10.2024 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inagombea kiti kwenye baraza la haki za binaadamu la Umoja wa mataifa / Msumbiji inajiandaa kwa uchaguzi wa rais na bunge tarehe 9 Oktoba, kuashiria mwisho wa kipindi cha mihula miwili ya Rais Filipe Nyusi
Taarifa ya Habari ya Asubuhi 08.10.2024
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Oktoba 08.10.2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW, Bonn.
07.10.2024 - Matangazo ya Jioni
Wakati Israel ikiadhimisha kumbukumbu ya mwaka mmoja wa shambulio la Oktoba 7 mwaka uliopita, Israel imeendeleza mashambulizi yake huko Gaza+++Wanasayansi wa Marekani Viktor Ambros na Gary Ruvkun wameshinda tuzo ya masuala ya tiba ya mwaka huu wa 2024
07.10.2024 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mwaka mmoja tangu shambulio la Hamas kusini mwa Israel/ Wafuasi wa Kais Saied tayari wameanza kusherehekea kwa kupiga honi barabarani muda mfupi tu baada ya zoezi la kupiga kura nchini Tunisia.
07.10.2024 Matangazo ya Asubuhi
Katika matangazo yetu ya asubuhi hivi leo utasikia makala zetu za Mbiu ya Mnyonge, Makala yetu Leo, Mtu na Mazingira, Vijana Tugutuke na Jukwaa la manufaa
Kongo yaanza kutoa chanjo ya mpox baada ya mkwamo
Chanjo hizo ilipangwa zianze kutolewa siku ya Jumatano lakini mamlaka za afya ziliarifu kwamba mpango huo ulishindikana.
Makala ya Afrika Wiki Hii
Huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo watu zaidi ya 100 wamefariki kutokana na ajali ya meli kwenye ziwa kivu. Nchini Kenya, Naibu wa Rais Rigathi Gachagua anaandamwa na mchakato wa kuondolewa madarakani. Huko Rwanda watu kadhaa wameripotiwa kufariki dunia kufuatia mlipuko wa virusi vya Marburg.
04.10.2024 - Matangazo ya Jioni
Maafisa wa Ukraine na Urusi wameripoti kuuliwa afisa wa shughuli za usalama wa kinu cha Nuklia cha Zaporizhizhia, Andriy Korotky+++Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa leo anawakaribisha viongozi wa nchi zinazozungumza Kifaransa katika mkutano wa kilele wa "Francophonie" Mkutano anaotumai kuwa utasaidia kuongeza ushawishi wa Ufaransa barani Afrika
Umoja wa Mataifa wawaomba wafadhili kuisaidia Somalia
Umoja wa Mataifa nchini Somalia umeihimiza jumuiya ya kimataifa kuendelea kuisaidia Somalia.
Mauritius yatangaza tarehe ya uchaguzi, yavunja Bunge
Mauritius imetangaza itafanya uchaguzi wa bunge mnamo Novemba 10 na kwamba bunge la sasa limevunjwa.
Umoja wa Ulaya waidhinisha ushuru mkubwa kwa gari za China
Umoja wa Ulaya umeidhinisha nyongeza kubwa ya ushuru wa forodha kwa magari ya umeme yanayoundwa nchini China.
Wafanyakazi wa ndani Lebanon wako mashakani - UM
Umoja wa Mataifa umesema wafanyakazi wa majumbani nchini Lebanon wanapitia kipindi kigumu wakati huu wa vita.
Ukraine yashambulia bohari ya mafuta ya Urusi
Ukraine imesema imeishambulia bohari ya mafuta ya Urusi kwa kutumia droni kwenye mkoa wa mpakani wa Voronezh.
Iran yaahidi kuishambulia tena Israel endapo itashambuliwa
Araghchi amesema Iran itajibu vikali iwapo Israel kuishambulia Tehran baada ya makombora ya Oktoba Mosi.
Mafuriko yaua 14 Bosnia Herzegovina
Watu wasiopungua 14 wamekufa kutokana na mafuriko makubwa yaliyoikumba Bosnia Herzegovina.
IMF yapokea maombi ya kuitathmini Kenya
Hayo yanatokana na shinikizo kutoka mataifa ya Magharibi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 128
Ukurasa unaofuatia